Hii ina uhusiano gani na kuchukua pesa za walipa kodi kwenda kuwanunua wabunge wa kike chadema badala ya maendeleo?Yes hapa jf kelele nyingiiiiiiii Leo wambie hapo wanataka michango ya kuendesha chama na hawatotoa
Chadema ipo ICU mda si mrefu inaenda kufarikiUkimtaka mtu ofisini unamuandikia barua ya wito au unamuitia waandishi wa habari?
Lichama la hovyo kabisa hili...
bungeni marufuku kuvaa sare za chama, huwezi kuapishwa ubun
ge na sare za chama
Asante kwa kunielimisha. Mbona watatu wameapishwa wakiwa wamevaa sare za chama? Sidhani kama wasingewaapisha kama wangefaa sara za chama chao. Wangesema tu kwa sababu wako nje ya ukumbi basi huo utaratibu unalegezwa.bungeni marufuku kuvaa sare za chama, huwezi kuapishwa ubunge na sare za chama
Kwa hiyo unasema kuwa chadema ni mali ya mbowe?Mtu hawezi kuwa muasi kwa kufanya maamuzi kwenye mali yake binafsi
Ijumaa ndipo watanzania wote wenye Akili timamu wataizika chadema na kugeuka kuungana na TLP NCCR na CUF kuhaha njaaMnyika ameshalegea wabunge wote watafika Ufipa siku ya Ijumaa kukamilisha taratibu za chama.
CCM ni chama kikubwa!
Me Nina waunga mkono hao akina mama bila wao chadema ingepoteza zaidi wamekifanya kibakie kuwa chama Kikubwa cha upinzani Tanzania!Kilichonishangaza ni kutokumuona mh.Mbowe katika hiyo PRESS hata kama si lazima kusema ila Kulikuwa na umuhimu kuutaja UDHURU WA MWENYEKITI WAO...
Hata kama hiyo ijumaa ya tarehe 27 mwenyekiti wao atakuwepo kikaoni....ila ijulikane Kulikuwa na umuhimu wa kutoa SINTOFAHAMU siku hii ya LEO...kwani japo siku 3 mbele si mbali ila KISIASA ni mbali....
Inawezekana MBOWE anawachezesha KADENGE wafuasi wao wa CHADEMA.
Le mutuz kala tenda ya kuwapelekea waganda wa kienyeji wairoge Kamati kuu ijumaa ilegee iruhusu chadema kufariki iwe kama TLP NCCR na CUFkamati kuu imewaita tarehe 27 kwa hiyo suburi matokeo.
Me Nina waunga mkono hao akina mama bila wao chadema ingepoteza zaidi wamekifanya kibakie kuwa chama Kikubwa cha upinzani Tanzania!Mbowe ametisha
Toka siku aliyomkaribisha lowasa na kumpa tiketi ya urais sikuwahi kumuamini sana mwenyekiti,Wakuu sina mengi ya kusema maana roho yangu i dhaifu kiasi cha kufa.
Jana tulishuhudia uapishwaji wa wabunge viti maalumu was CHADEMA pale Dodoma, moja ya suala la kushitua ni kiongozi wa Wanawake hao kulitangazia bunge na Taifa kwa ujumla kuwa anamshukuru Mwenyekiti Fremon Mbowe kwa kufanikisha jambo hilo.
Hapa ndipo ulipo uasi wa Mbowe.
1. Amemwachia Katibu Mkuu kuzungumzia swala nyeti la uvunjifu wa katiba huku yeye kama kiongozi mkuu wa chama akiwa amejitenga.
2. Ametanjwa na Halima Mdee kama mtoa baraka.
3. Amekuwa kimya tangu suala hili liwe wazi.
Don't trust anybody. Nchi imejaa mamluki kila sehemu.
Mtaelewana tu
Ngamia nyie 😂😂😂
Kuna ujumbe wenu wanawake Dr Bagonza anao...
Chadema ipo ICU tarehe 27 wasipofukuzwa akina mdee inafariki rasmi na kuzikwa kwani hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atasalia huko tenaChadema ya kabla 2015 ndiyo ilikuwa chama
Hakuna mtu yoyote kanunuliwa trust me acha hayo maneno ya mtaanHii ina uhusiano gani na kuchukua pesa za walipa kodi kwenda kuwanunua wabunge wa kike chadema badala ya maendeleo?
Hii ya sasa ni kufulu haifanani na enzi CJ chande na CDF mwamunyangeMahakamaccm hakuna haki kunako kesi ya chadema
Njia pekee ya kuiokoa chadema ni kuwafukuza uanachama kinyume na hapo chadema itakufa kifo kibaya cha AibuMungu ibariki Chadema
Wewe utakuwa mnufaika wa mgao huo ndiyo maana unatetea ushetani waoHakuna mtu yoyote kanunuliwa trust me acha hayo maneno ya mtaan
Kama unakumbuka mm ndio wa kwanza kuleta taarifa ya majina kwenda bungeni siku ya J2 usiku na watu wakabisha Sana na kunitukana
Me nimeona mchezo wote hakuna mtu kapewa ela
Majibu anayo NdugaiMaswali yafuatayo yanapaswa kujibiwa na Mbowe/ Mnyika:
1. Nani amepeleka Orodha ya Majina ya Wabunge wa Viti Maalum NEC?...