Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Yes hapa jf kelele nyingiiiiiiii Leo wambie hapo wanataka michango ya kuendesha chama na hawatotoa
Hii ina uhusiano gani na kuchukua pesa za walipa kodi kwenda kuwanunua wabunge wa kike chadema badala ya maendeleo?
 
Ni mataga tu ndiyo watawaamini kina Mdee.

Masikini tazama sura za majonzi za hawa wasaliti.

1606307864282.png
 
bungeni marufuku kuvaa sare za chama, huwezi kuapishwa ubun

ge na sare za chama

bungeni marufuku kuvaa sare za chama, huwezi kuapishwa ubunge na sare za chama
Asante kwa kunielimisha. Mbona watatu wameapishwa wakiwa wamevaa sare za chama? Sidhani kama wasingewaapisha kama wangefaa sara za chama chao. Wangesema tu kwa sababu wako nje ya ukumbi basi huo utaratibu unalegezwa.

Amandla...
 
Mnyika ameshalegea wabunge wote watafika Ufipa siku ya Ijumaa kukamilisha taratibu za chama.

CCM ni chama kikubwa!
Ijumaa ndipo watanzania wote wenye Akili timamu wataizika chadema na kugeuka kuungana na TLP NCCR na CUF kuhaha njaa
 
Kilichonishangaza ni kutokumuona mh.Mbowe katika hiyo PRESS hata kama si lazima kusema ila Kulikuwa na umuhimu kuutaja UDHURU WA MWENYEKITI WAO...

Hata kama hiyo ijumaa ya tarehe 27 mwenyekiti wao atakuwepo kikaoni....ila ijulikane Kulikuwa na umuhimu wa kutoa SINTOFAHAMU siku hii ya LEO...kwani japo siku 3 mbele si mbali ila KISIASA ni mbali....

Inawezekana MBOWE anawachezesha KADENGE wafuasi wao wa CHADEMA.
Me Nina waunga mkono hao akina mama bila wao chadema ingepoteza zaidi wamekifanya kibakie kuwa chama Kikubwa cha upinzani Tanzania!
Pengine ile ndoto ya kuifuta au kukiondoa kwenye iyo nafasi haikutimia na haita timia hakuna anayeweza kujuwa kesho nini kita tokea kwa upande wa ccm!
 
Mbowe ametisha

Wakuu sina mengi ya kusema maana roho yangu i dhaifu kiasi cha kufa.

Jana tulishuhudia uapishwaji wa wabunge viti maalumu was CHADEMA pale Dodoma, moja ya suala la kushitua ni kiongozi wa Wanawake hao kulitangazia bunge na Taifa kwa ujumla kuwa anamshukuru Mwenyekiti Fremon Mbowe kwa kufanikisha jambo hilo.

Hapa ndipo ulipo uasi wa Mbowe.

1. Amemwachia Katibu Mkuu kuzungumzia swala nyeti la uvunjifu wa katiba huku yeye kama kiongozi mkuu wa chama akiwa amejitenga.

2. Ametanjwa na Halima Mdee kama mtoa baraka.

3. Amekuwa kimya tangu suala hili liwe wazi.

Don't trust anybody. Nchi imejaa mamluki kila sehemu.
Toka siku aliyomkaribisha lowasa na kumpa tiketi ya urais sikuwahi kumuamini sana mwenyekiti,
 
Mtaelewana tu

Ngamia nyie 😂😂😂

1.KUNA SABABU GANI YA MSINGI YA KUTUMIA LUGHA YA KUUZI KWA MWEZIO KUMWITA NGAMIA??

2. Umeshindwa akujibu hoja zake za msingi badala yake unajikita kutukana na kumdhalilisha mwenzio.

3. N.B. Naomba umuombe radhi kwa mustakabali wake.

JITAHIDINI KUWA NA SIASA SAFI KAMA BABA WA TAIFA ALIVYO TUHUSIA.

OTHERWISE HATUNA HAJA YA KURIPOTI JF KAMA UKIOMBA MSAMAHA.
 
Kuna ujumbe wenu wanawake Dr Bagonza anao...

Kuhusu Dr Bagonza sina neno juu yake mpakwa mafuta wa bwana... tulishaamriwa kuzitii mamlaka zote bila shurti😎😐

1 Samwel 24:6-7 "Akawaambia watu wake, Hasha! Nisimtendee bwana wangu, masihi wa BWANA, neno hili, kuunyosha mkono wangu juu yake, kwa maana yeye ni masihi wa BWANA. 7 Basi Daudi akawazuia watu wake kwa maneno hayo, asiwaruhusu kumshambulia Sauli"
 
Mbowe ndie mwenyechama,makamanda wengi awapeleki mashambulizi kwake,wanawahangushia jumba bovu wakina Halima.
 
Hii ina uhusiano gani na kuchukua pesa za walipa kodi kwenda kuwanunua wabunge wa kike chadema badala ya maendeleo?
Hakuna mtu yoyote kanunuliwa trust me acha hayo maneno ya mtaan

Kama unakumbuka mm ndio wa kwanza kuleta taarifa ya majina kwenda bungeni siku ya J2 usiku na watu wakabisha Sana na kunitukana

Me nimeona mchezo wote hakuna mtu kapewa ela
 
Wewe utakuwa mnufaika wa mgao huo ndiyo maana unatetea ushetani wao
 
Sasa wafuasi wa chadema tunapaswa tufahamu kuwa siasa sio chuki wala uadui...walicho kifanya mdee na wenzake kinadhibitisha umoja na upendo wa watanzania kwa nchi, huu ndio uzalendo.

Chadema imeonyesha mfano mzuri sasa ni wakati muafaka kwa ACT nao kuapa na kuingia ktk baraza la wawakilisha ili tuijenge znz.
 
Back
Top Bottom