Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Why kama mlijua hana makosa, mkamtesa kwa kumuweka rumande muda wote huo halafu mnakuja kumpa rushwa ya kumpa viti maalum ili kumfunga mdomo, kinyume na taratibu za chama chake..?? Corrupt system
CCM inaendesha Nchi kishamba na kishetani mno
 
Njia pekee ya kujiokoa chadema ni kuwafukuza hao watumwa waliouzwa Bungeni kinyume na hapo chadema inafariki ghafra
 
Na hilo ndio la muhimu.

Ndio maana inaonekana kabisa kuna kiongozi wa CHADEMA amepeleka yale majina kwa Tume.

Mbowe alipaswa awepo, Salum Mwalimu alipaswa awepo pia.

Wamemuachia Mnyika kwa kuwa wanajua walichofanya. View attachment 1634539
Salum mwalimu ndiyo Kagoshi sahihi ya mnyika na bwana yake Esta matiko kuna upumbavu umefanyika hapo na huo ndiyo chanzo cha chadema kufariki moja kwa moja maana sasa ipo ICU
 
Chama sio biashara binafsi. Huwezi kufukuza watu kwenye chama kwa kigezo cha hisia tu.

CHADEMA haina hoja ya kupinga matokeo ya Uchaguzi na kuzuia Wabunge kufanya kazi yao....

Hivi wewe umesoma ulichokiandika hapa au? Hebu tuambie hao watu 19 walioapishwa jana walichaguliwa na nani na lini?
Mtu anaweza kufukuzwa katika chama kwa kufanya jambo kwa niaba ya chama bila ya baraka za uongozi wa chama.

Kama hawa watu 19 hawakuchaguliwa na chadema na kupewa baraka za chadema kuingia bungeni kwa viti maalum vilivyotengwa kwa wanachama wanawake wa chadema, then wanastahiki kuitwa na kutakiwa kujieleza na ikiamuliwa hata kuvuliwa uanachama.
 
Amen na iwe hivyo ukasikie sauti ya Bwana ambayo ayaambia makanisa....
 
Mbowe na Mnyika ni kitu kimoja. Kiongozi wa chama chochote kile cha siasa huwa anamteua katibu mkuu wanaeendana, ndio maana kila mwenyekiti mpya lazima aje na katibu mkuu mpya.

Hivyo Mnyika anajua vyema kinachoendelea na huko Tume iko barua rasmi ya CDM iliyosaimiwa na mamlaka halali.
 
Asante kwa kunielimisha. Mbona watatu wameapishwa wakiwa wamevaa sare za chama? Sidhani kama wasingewaapisha kama wangefaa sara za chama chao. Wangesema tu kwa sababu wako nje ya ukumbi basi huo utaratibu unalegezwa.

Amandla...
hao waliovaa sare wamefanya makosa, labda ni mara yao ya kwanza hawajui taratibu!... ndio maana wazoefu wa bunge akina halima hawajavaa wanajua kanuni za bunge.
 
Njia pekee ya kuiokoa chadema isifariki ni kuwafukuza hao waganga njaa
 
Uzalendo gani huo? Kutwa kubambikiwa kesi kupigwa risasi uonevu kibao kisha useme kuna Uzalendo huko?
 
Hili wala hutawaona Polisi wakiwatimua kikao sijui mkutano usio na kibali! Si wanamalizana wenyewe kwa wenyewe? Ndio furaha ya upande wa pili na vyombo vyao.
Mkuu achana na mambo ya upande wa pili. Malizaneni kwanza. Imeisha hiyoooooooooooo
 
Mbowe hajakanusha kauli ya Mdee. Mnyika naye hajakanusha ushiriki wa Mbowe.
Ndiyo maana mnaitwa misukule ya Magufuli. Mnakuwa kama hamna ubongo. Ameelezea kwa kirefu na amesema hakuna kiongozi au kikao chochote kilichopitisha majina. Namna akili zenu zimelezwa na kusujudu kila mnapopita mbele ya Magufuli au kusimama attention anapotaja majina yenu.
 
Kama hakuna serikali hivi yule aliyekuwa mahabusu ilikuwaje akatolowa usiku maana utaratibu hata kama DPP hataki kuendelea na kesi huwa hiyo kauli inatolewa na Wakili wa serikali mbele ya hakimu sasa huko kutolewa kwa usiku kumekaaje...
Intelligence mkuu, hapo serikali iliona viti maalum wa cdm wanataka kwenda kuapishwa, lakini Kuna mmoja atakosekana kwa sababu yupo mahabusu kwa sababu zisizoeleweka, serikali ikamtoa faster ili kuizima hiyo kiki yao waliokuwa wanataka kuitengeneza
 
Umemaliza

Mnyika kawa peke yake hapa anatia huruma

Mbowe hawezi kukataa mpunga
Mwenyekiti yupo kipesa zaidi kuliko hizi sarakasi anazoleta Mnyika, Mbowe alishapiga pesa za Edo na alimchinjia baharini Dr Slaa.

Itakuwa Mnyika?
 
Acha kiherehere cha unafiki wew mzee hayàkuhusu
 
Mkuu kuna jukwaa la taarabu fuatilia upewe mwongozo hii sio mahala pake...
 
Mnyika ni mteule lakini Halima Mdee ni Mchaguliwa.

So in short Mnyika ki uongozi ni mdogo kwa Mdee.
Mnyika ameajiliwa tu na anaweza kufukuzwa.
Naam

Au Mnyika analijua hili ila kwa kutaka kujenga imani kwa wafuasi wao kahitisha press conference ili haonekane mwenye msimamo?

Akumbuke Mbowe alimchinjia baharini Dr Slaa kisa Edo kwasababu ya pesa,mwenyekiti yupo kipesa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…