Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Halima mdee..shame on you!!
Watu walivokupigania kule kawe dhidi ya gwajima Leo unawasaliti!
 
Niko natafakari nukuu mbalimbali za baba wa taifa Mwalimu Nyerere.

Nadhani tangu asubuhi ya leo wanachadema wanakiri kwamba Chadema siyo baba wala mama yao.

Karibuni nyote CCM ili kwa pamoja tujenge taifa letu.

Maendeleo hayana vyama!
 
"Atatoka" au "atatokea " kuwa mna mislead maneno sana
Niko natafakari nukuu mbalimbali za baba wa taifa Mwalimu Nyerere.

Nadhani tangu asubuhi ya leo wanachadema wanakiri kwamba Chadema siyo baba wala mama yao.

Karibuni nyote CCM ili kwa pamoja tujenge taifa letu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi na kanuni zake orodha ya wabunge watarajiwa wa viti maalumu yanapaswa kupelekwa lini NEC na vyama vya siasa?....
Hivi mgombea ubunge wa jimbo akishindwa ni halali awe mbunge wa viti maalumu? Maana wakati wa uchaguzi huwa kuna wawakilishi wa viti maalumu toka kada mbalimbali!
 
Kwa vitendo hivyo unadhani kuna haja ya wananchi kupambana na CCM kama wapinzani wenyewe ndio hawa wanapasuana?
Hapa hatupambani na CCM tunapambana na dikteta anaetumia kila kitu kumaliza Demokrasia Tanzania anaetumia Mahakama.. TRA.JESHI LOTE. USALAMA WA TAIFA. TAKUKURU n, k
Sio rahisi kupambana na vuzingiti vote hivyo lakini pia mapambano yanawwzekana
Kumbuka Makaburi walikua zaidi ya jiwe
 
Mapambano yenyewe mtapambana kwa kutumia chadema hiihii?
 
Utaratibu wa NEC uko wazi, majina ya viti maalum yanapaswa kupelekwa na chama husika kupitia katibu mkuu wa chama husika wakati wowote baada ya Tume ya uchaguzi kutangaza kwisha kwa uchaguzi mkuu na utaratibu wa tume kuwekwa wazi.

Usichanganye utaratibu rasmi wa NEC na utaratibu wa ndani ya vyama husika.

Yote kwa yote, kilichofanywa na kina Mdee na genge lake ni uhuni wa kushibisha matumbo yao(yaani wamejiteua wenyewe, wakapeleka majina yao, wakapokelewa na kuapishwa). Bahati mbaya sana uhuni ule ukabarikiwa haraka haraka na NEC na spika wa bunge. Kamwe mhuni hawezi kufuata taratibu.
 
Hivi mgombea ubunge wa jimbo akishindwa ni halali awe mbunge wa viti maalumu? Maana wakati wa uchaguzi huwa kuna wawakilishi wa viti maalumu toka kada mbalimbali!
Chadema ni chama kidogo ndio maana 2015 Esther Bulaya aligombea viti maalumu na jimbo na akashinda kote akaamua kuwakilisha jimbo!
 
Kumbe nilifanya makosa kupuuza wale waliokuwa wakidai kuwa CHADEMA kina wenyewe! Na wenyewe hao ndio wanaopanga mustakabali na mwelekeo wake!

Ngoja tuendelee kusubiri muendelezo wa tamthiliya hii!
Kwani CCM haina wenyewe? Mbona mnaimba kila siku.
 
Utaratibu wa NEC uko wazi, majina ya viti maalum yanapaswa kupelekwa na chama husika kupitia katibu mkuu wa chama husika wakati wowote baada ya Tume ya uchaguzi kutangaza kwisha kwa uchaguzi mkuu na utaratibu wa tume kuwekwa wazi...
Orodha ya majina ya akina Halima imeandaliwa na nani ambaye anawajua wabunge vizuri.

Orodha hii haitofautiani sana na lile ya mzee Mgaya sema tu Upendo Peneza, Suzan Kiwanga na CPA Ruge ndio sijawaona!
 
Una elimu gani? Tuanzie hapo
 
Ufunuo wa Yohana 18:4
Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.
Na pia Nikukumbushe kipind cha mfalme dario alitunga sheria ila Daniel Mtu wa Mungu alikaidi hiyo sheria
 
Kwa akili ya kawaida tu Mbowe hawezi kuandika huo ujinga . Waambie maafisa vipeuo wamechemka na hii mbinu very poor .
Mkuu inamaana hujui hata blue tick huyo ni aikaeli mbowe inaonesha haupo twitter kwasababu sio level zako kule pole mkuu ukipata pesa karibu twitter
 
Ndugu yangu tumia akili angalau kidogo...jifunze kupambanua mambo...usikariri tu mambo...kwa mawazo yako serikali imefoji...hivi Mdee na wenzake wanaweza kukubali serikali ifoji halafu wao waapishwe?!
Kuna mkono wa serekali hapa chadema hakuna mwenye uwezo wa kumchomoa mtu mahabusu.
 
Ni swali la msingi kuwa iwapo chadema wataamua kufuata taratibu na kuwaandikia NEC majina ya wabunge wa viti maalumu na ku-prove wrong hiyo wanayoiita fake ya kina mdee itakuwaje ?

Naona badala ya kupiga ramli tu kwenye media waende mbele kabisa wateuwe wapya na waweke majina kwenye media kuonesha kuwa ile haikuwa list yao?

USSR
 
Hamna swali hapo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…