Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Halima mdee..shame on you!!
Watu walivokupigania kule kawe dhidi ya gwajima Leo unawasaliti!
Watu walivokupigania kule kawe dhidi ya gwajima Leo unawasaliti!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu halima mdee na wenzie?Serikali ime-highjack autonomy ya kila institution nchi hii...
Niko natafakari nukuu mbalimbali za baba wa taifa Mwalimu Nyerere.
Nadhani tangu asubuhi ya leo wanachadema wanakiri kwamba Chadema siyo baba wala mama yao.
Karibuni nyote CCM ili kwa pamoja tujenge taifa letu.
Maendeleo hayana vyama!
Hivi mgombea ubunge wa jimbo akishindwa ni halali awe mbunge wa viti maalumu? Maana wakati wa uchaguzi huwa kuna wawakilishi wa viti maalumu toka kada mbalimbali!Kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi na kanuni zake orodha ya wabunge watarajiwa wa viti maalumu yanapaswa kupelekwa lini NEC na vyama vya siasa?....
Kwa vitendo hivyo unadhani kuna haja ya wananchi kupambana na CCM kama wapinzani wenyewe ndio hawa wanapasuana?Chama kitafanya kikao....wote wameshaitwa....watahojiwa...hukumu itatolewa na kamati kuu
Huenda wakafukuzwa au adhabu yeyote ile..
"Atatoka" au "atatokea " kuwa mna mislead maneno sana
Hapa hatupambani na CCM tunapambana na dikteta anaetumia kila kitu kumaliza Demokrasia Tanzania anaetumia Mahakama.. TRA.JESHI LOTE. USALAMA WA TAIFA. TAKUKURU n, kKwa vitendo hivyo unadhani kuna haja ya wananchi kupambana na CCM kama wapinzani wenyewe ndio hawa wanapasuana?
Mapambano yenyewe mtapambana kwa kutumia chadema hiihii?Hapa hatupambani na CCM tunapambana na dikteta anaetumia kila kitu kumaliza Demokrasia Tanzania anaetumia Mahakama.. TRA.JESHI LOTE. USALAMA WA TAIFA. TAKUKURU n, k
Sio rahisi kupambana na vuzingiti vote hivyo lakini pia mapambano yanawwzekana
Kumbuka Makaburi walikua zaidi ya jiwe
Chadema ni chama kidogo ndio maana 2015 Esther Bulaya aligombea viti maalumu na jimbo na akashinda kote akaamua kuwakilisha jimbo!Hivi mgombea ubunge wa jimbo akishindwa ni halali awe mbunge wa viti maalumu? Maana wakati wa uchaguzi huwa kuna wawakilishi wa viti maalumu toka kada mbalimbali!
Kwani CCM haina wenyewe? Mbona mnaimba kila siku.Kumbe nilifanya makosa kupuuza wale waliokuwa wakidai kuwa CHADEMA kina wenyewe! Na wenyewe hao ndio wanaopanga mustakabali na mwelekeo wake!
Ngoja tuendelee kusubiri muendelezo wa tamthiliya hii!
Orodha ya majina ya akina Halima imeandaliwa na nani ambaye anawajua wabunge vizuri.Utaratibu wa NEC uko wazi, majina ya viti maalum yanapaswa kupelekwa na chama husika kupitia katibu mkuu wa chama husika wakati wowote baada ya Tume ya uchaguzi kutangaza kwisha kwa uchaguzi mkuu na utaratibu wa tume kuwekwa wazi...
Una elimu gani? Tuanzie hapoKwa mujibu wa tamko la Kimataifa kuhusu haki za Binadamu la mwaka 1948 ambalo lilibainisha msingi wa kutokubaguliwa kifungu cha (2)kinakariri
’kila binadamu ana haki sawa na uhuru bila kubaguliwa kwa misingi ya rangi utaifa jinsia lugha na itikadi za kisiasa’...
Mkuu inamaana hujui hata blue tick huyo ni aikaeli mbowe inaonesha haupo twitter kwasababu sio level zako kule pole mkuu ukipata pesa karibu twitterKwa akili ya kawaida tu Mbowe hawezi kuandika huo ujinga . Waambie maafisa vipeuo wamechemka na hii mbinu very poor .
Kuna mkono wa serekali hapa chadema hakuna mwenye uwezo wa kumchomoa mtu mahabusu.Ndugu yangu tumia akili angalau kidogo...jifunze kupambanua mambo...usikariri tu mambo...kwa mawazo yako serikali imefoji...hivi Mdee na wenzake wanaweza kukubali serikali ifoji halafu wao waapishwe?!
Hamna swali hapo....Maswali yafuatayo yanapaswa kujibiwa na Mbowe/ Mnyika:
1. Nani amepeleka Orodha ya Majina ya Wabunge wa Viti Maalum NEC?
2. Orodha hiyo imepelekwa kwa njia gani?
3. Kama msimamo wa chama na wa Katibu Mkuu ni kuwa Orodha haikupelekwa, walioapishwa jana walipatikanaje?
4. Hatua gani zinachukuliwa na CHADEMA ikiwa usaliti umetokea?
5. Ilikuwaje Nusrat Hanje aachiwe tu kutoka mahabusu na asubuhi yake aapishwe kuwa Mbunge wa Viti Maalum?
6. Nani yuko nyuma ya suitafahamu hii nzima ndani ya CHADEMA na anashughulikiwaje?