mkamanga original
JF-Expert Member
- Jan 21, 2015
- 637
- 663
Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyeweKweli wanasiasa hawapo kwa ajili ya wananchi bali matumbo yao na familia zao. Watajuana wenyewe kwa vilemba
Mbona kwenye list yako aliefukuzwa ni zitto tu!Chadema wako vizuri sana kwenye kuchukua maamuzi magumu, hao wafukuzwe tu, alifukuzwa Slaa Zitto , na katibu mkuu Dr. Mashinji na bado wakashinda uchaguzi mkuu wa 2020,na ccm wakakimbia na maboksi
Propaganda zenu za kijani kibichi ndio mnafikiri mtatutoa kwenye reli , majitu mizima Haina hata aibu inaenda kuteka wanawake na kuwalazimisha ubunge wa viti maalum ? Mlivyo majinga mkaenda kumtoa na Nusrat Hanje jela ,kesi yake si haina dhamana?Mnyika akiri tu bila aibu kuwa hili jambo hakushirikishwa na wenzake if at all ni kweli hana taarifa.
Na asipoangalia hii ndio tiketi yake kutoka CHADEMA toka ziwepo fununu za kutaka kujitoa Slaa alipoondoka.
Yaani haiingii akilini watu wazima 19 wafunge safari toka huko walikokuwa mpaka Dodoma kuapa Bila Baraka za Chama. No way.
Jomba lazima watu wajue matumizi ya sheria wakati wote..na hi itatujenga wananchi...sheria ifuate mkondo wake..ukizungumzia busara hapa utafika sehem utakwamaKatibu mkuu wa CDM leo katika mkutano wake na vyombo vya habari, pamoja na mambo mengine aliwaomba wadau kutoa maoni na ushauri wao kwa kamati kuu ya chama itakayokutana tarehe 26/11/2020 kuamua hatua za kuchukua dhidi ya wabunge 19 wa viti maalum walioapishwa jana...
Tuachane na hiyo dhana ya CCM kupora ushindi kwani hadi sasa hakuna hata mgombea ubunge yeyote aliyeshindwa katika uchaguzi huo aliyefungua kesi mahakama kuu kulalamikia kuporwa kura zake.Hizi busara na hekima hazikutumika mlipo pora ushindi na kutoheshimu maamuzi ya wananchi ili muendelee kutawala kwa mabavu.
Hizi mahakama za bongo zimeshakuwa na element za "kuunga mkono juhudi" , haziaminiki, ukienda huko CCM watafuraaahi, maana wataitumia mahakama kulegitimise uhuni waoTuachane na hiyo dhana ya ccm kupora ushindi kwani hadi sasa hakuna hata mgombea ubunge ye yote aliyeshindwa katika uchaguzi huo aliyefungua kesi mahakama kuu kulalamikia kuporwa kura zake.
Turudi kwenye mada. Tushauri kamati kuu ya cdm ili maamuzi watakayoyatoa hiyo kesho kutwa yawe ya busara na hekima wakimtanguliza Mwenyezi Mungu!
Kwa hiyo wewe hata familia yako unaiendesha kwa mtindo wa STK ie Sheria, Taratibu na Kanuni tu?Jomba lazima watu wajue matumizi ya sheria wakati wote..na hi itatujenga wananchi...sheria ifuate mkondo wake..ukizungumzia busara hapa utafika sehem utakwama
Inawezekana,angalia tweets ya Mbowe.
Mkuu Missile of the Nation hadi leo sijui unaamini nini zaidi ya lawama tu, kama huamini Tume ya Uchaguzi, ushindi halali wa CCM, utawala wa sheria, maendeleo yaliyopatikana, nk lakini unamwamini M/Kiti wa chama mlevi kupindukia. Sakata la wabunge wateule kuidhinishwa na yeye kinyume cha Katiba ya chama ni ushahidi wa utawala wa kidikteta ndani ya chama.Hizi mahakama za bongo zimeshakuwa na element za "kuunga mkono juhudi" , haziaminiki, ukienda huko CCM watafuraaahi, maana wataitumia mahakama kulegitimise uhuni wao
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787][emoji85] Umeweka na namba moja kwa moja !!. Mbona baba yako amesema hateui tena ?!.JOHN MNYIKA AMEMNTANTALIZE TUNDU LISSU.
Leo 22:05 hrs 25/11/2020
Nianze kwa kusema kuwa Tundu Lissu siyo mwanasiasa makini bali ni mwanaharakati mropokaji tu! Chadema hawawezi kamwe kuendelea na mtu kama Tundu Lissu,huwezi kuwa unatoa matamko yako binafsi halafu unataka yawe ndo msimamo wa Chadema!?....
Maswali yafuatayo yanapaswa kujibiwa na Mbowe/ Mnyika:
1. Nani amepeleka Orodha ya Majina ya Wabunge wa Viti Maalum NEC?
2. Orodha hiyo imepelekwa kwa njia gani?
3. Kama msimamo wa chama na wa Katibu Mkuu ni kuwa Orodha haikupelekwa, walioapishwa jana walipatikanaje?
4. Hatua gani zinachukuliwa na CHADEMA ikiwa usaliti umetokea?
5. Ilikuwaje Nusrat Hanje aachiwe tu kutoka mahabusu na asubuhi yake aapishwe kuwa Mbunge wa Viti Maalum?
6. Nani yuko nyuma ya suitafahamu hii nzima ndani ya CHADEMA na anashughulikiwaje?