mkamanga original
JF-Expert Member
- Jan 21, 2015
- 637
- 663
Sawa,lakini lengo lilikuwa ni kutaka kuonyesha tu, kwamba walitoka watu wenye heshima na wenye majina makubwa chadema na bado chadema ilivuka salama, na si hao MalayaMbona kwenye list yako aliefukuzwa ni zitto tu!
weka citation... Masters umesoma wapi? Kampala Uni? weka resume, siyo unaleta matatizo hapa JF.Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Haya tupe majawabu!Mambo mengine muwe mnauliza kabla hamjaandika aisee.
Bila shaka wameibuka na Id nyingine 😂😂 huoni kuna ID mpya nyingi humu ?Imhotep na Minyoo wamepotea kabisa.🤔🤔🤔
MAGUFULI4LIFE.
Mbowe na Halima Mdee ndio wamiliki wa Chadema by Mwita Waitara!Kuna tetesi kuwa wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wanapanga kugomea wito uliotolewa na Katibu Mkuu J. Mnyika kufika mbele ya Kamati Kuu kesho tarehe 27...
Noted with interest.Sio kila mtu ana imani na Mbowe, ila hii uliyoileta ni fake news. Nenda kwenye chanzo cha hiyo taarifa yako utakutana na maelezo ya huo upotoshwaji wa makusudi.
Wameshasahau!! Wako bize kutoa ushauri mandazi kwenye mitandao! Hao wanawake na Mbowe lao moja.Mbowe na Halima Mdee ndio wamiliki wa Chadema by Mwita Waita
Tena wa Maharage yaKisukuma!Imejaza Uharo kichwani
Wafutwe uanachama hao malaya wa kisiasaKuna tetesi kuwa wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wanapanga kugomea wito uliotolewa na Katibu Mkuu J. Mnyika kufika mbele ya Kamati Kuu kesho tarehe 27....
Pamoja na yule wa Sumbawanga futa uachama kabisa wajiunge rasmi na CCM wenzaoFukuza hao wasaliti wabaki kuwa wabunge wa CCM.
Majawabu ni kwamba form number 8 d ya Mfungwa Nusrat imezidi kuwaacha uchi CCM 🤣🤣🤣Haya tupe majawabu!
Kwa uwezo wa akili yako hayo ndio uliyoyaona. Hali halisi nchi haikufanya chaguzi zozote.Ndugu yangu tumia akili angalau kidogo...jifunze kupambanua mambo...usikariri tu mambo...kwa mawazo yako serikali imefoji...hivi Mdee na wenzake wanaweza kukubali serikali ifoji halafu wao waapishwe?!? Kama ni kufoji kwanini usifikirie kuwa pengine baadhi ndani ya Chadema wamefoji saini za kiongozi wao na kuwasilisha majina bungeni?!...