moto wa kifuu
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 390
- 60
Id yako imedukuliwa? Usikiombee mabaya chama chako, siasa ni imani.Chadema ipo ICU mda wowote inafariki
Kama hilo lilipita na hili litapita, na chama kitabaki salama.Toka siku aliyomkaribisha lowasa na kumpa tiketi ya urais sikuwahi kumuamini sana mwenyekiti,
Yawezekana asiendelee kupata kesi ila si kwa unanavyofikiria. Anaweza kuanza kufanya siasa za kistaarabu maana ameshaona watu hawapendi siasa za vurugu.Halima hana jinsi tangu jiwe kaingia madarakani Leo Ndio mara ya kwanza kalala bila kesi
Sina ubaya nao pia naamini alikua hana jinsi
If you can't fight them just join them
Huyu bint kweli kateseka sana
Kuanzia leo hutamuona tena mahakama ya kisutu
Kwa kweli hiyo mifano ya kaburu mnayotoaga haiendani na tatizo letu. Weusi wote (nadhani ) walikuwa hawataki kutawaliwa na mzungu. Hapa kwetu baadhi wako huku, wengine wako kule (ingawa nyie mnaamini wengi wako kwenu, ila mimi siamini hivyo ).Hapa hatupambani na CCM tunapambana na dikteta anaetumia kila kitu kumaliza Demokrasia Tanzania anaetumia Mahakama.. TRA.JESHI LOTE. USALAMA WA TAIFA. TAKUKURU n, k
Sio rahisi kupambana na vuzingiti vote hivyo lakini pia mapambano yanawwzekana
Kumbuka Makaburi walikua zaidi ya jiwe
Aisee . . . . yaani hakuna sehemu mfumo umetia aibu kama hapaKwa katiba ya CHADEMA, mamlaka ya uteuzi wa wabunge yapo kwa kamati kuu ya chama. Kamati kuu ya chama haijawahi kufanya kikao cha kuteua majina ya wabunge wa viti maalum wakati wowote.
Wajibu upi ? Wa kwenda bungeni kinyume na katiba ya chama ? Hivi hata kama ni pale ccm ulishaona wabunge wake wamepitishwa bila kamati kuu kuridhia ? Acha ushabiki wa kijinga mzeeChama sio biashara binafsi. Huwezi kufukuza watu kwenye chama kwa kigezo cha hisia tu.
CHADEMA haina hoja ya kupinga matokeo ya Uchaguzi na kuzuia Wabunge kufanya kazi yao.
Kisheria huwezi kumfukuza mtu kwenye Chama kama anatimiza wajibu wake wa kikatiba.
Wakifanya hivyo, basi litaamuliwa Mahakamani. Mahakama huangalia maslahi mapana ya taifa.
Hili swali lako la tano limetutia aibu zaidi kama taifa na tunaoneka punguani sana hasa kwa jirani zetu. Na ndio maana hawa majirani zetu hasa Kenya wanatudharau sana kutokana na umaamuma wetu kitaifa kama huu5. Ilikuwaje Nusrat Hanje aachiwe tu kutoka mahabusu na asubuhi yake aapishwe kuwa Mbunge wa Viti Maalum?
An absolutely fantastic process especially to scholars of Political ScienceAnd because the political influence of these groups is significant, their members make sure that Party decisions and programs serve their private interest, even when this means doing less to accomplish noble public objectives.
Hakuna viruguYawezekana asiendelee kupata kesi ila si kwa unanavyofikiria. Anaweza kuanza kufanya siasa za kistaarabu maana ameshaona watu hawapendi siasa za vurugu.
"The art of political war", kuna stages 10, stage ya III tuu, Tuna chemka.
Kumbe hujui historia ya SauziKwa kweli hiyo mifano ya kaburu mnayotoaga haiendani na tatizo letu. Weusi wote (nadhani ) walikuwa hawataki kutawaliwa na mzungu. Hapa kwetu baadhi wako huku, wengine wako kule (ingawa nyie mnaamini wengi wako kwenu, ila mimi siamini hivyo ).
Hahahaaaa....... Halima ndio Cebisa au Morongwa?!!!Ni muendelezo wa Isidingo tu, msitegemee jipya hapo.
Let's meet at the top, cheers 🍻
Kabla ya Isidingo kulikuwa na Egoli; na maisha ya watazama film yaliendelea.Ni muendelezo wa Isidingo tu, msitegemee jipya hapo.
Let's meet at the top, cheers [emoji482]