Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Halima hana jinsi tangu jiwe kaingia madarakani Leo Ndio mara ya kwanza kalala bila kesi
Sina ubaya nao pia naamini alikua hana jinsi
If you can't fight them just join them
Huyu bint kweli kateseka sana
Kuanzia leo hutamuona tena mahakama ya kisutu
Yawezekana asiendelee kupata kesi ila si kwa unanavyofikiria. Anaweza kuanza kufanya siasa za kistaarabu maana ameshaona watu hawapendi siasa za vurugu.
 
Hapa hatupambani na CCM tunapambana na dikteta anaetumia kila kitu kumaliza Demokrasia Tanzania anaetumia Mahakama.. TRA.JESHI LOTE. USALAMA WA TAIFA. TAKUKURU n, k
Sio rahisi kupambana na vuzingiti vote hivyo lakini pia mapambano yanawwzekana
Kumbuka Makaburi walikua zaidi ya jiwe
Kwa kweli hiyo mifano ya kaburu mnayotoaga haiendani na tatizo letu. Weusi wote (nadhani ) walikuwa hawataki kutawaliwa na mzungu. Hapa kwetu baadhi wako huku, wengine wako kule (ingawa nyie mnaamini wengi wako kwenu, ila mimi siamini hivyo ).
 
Chama sio biashara binafsi. Huwezi kufukuza watu kwenye chama kwa kigezo cha hisia tu.

CHADEMA haina hoja ya kupinga matokeo ya Uchaguzi na kuzuia Wabunge kufanya kazi yao.

Kisheria huwezi kumfukuza mtu kwenye Chama kama anatimiza wajibu wake wa kikatiba.

Wakifanya hivyo, basi litaamuliwa Mahakamani. Mahakama huangalia maslahi mapana ya taifa.
Wajibu upi ? Wa kwenda bungeni kinyume na katiba ya chama ? Hivi hata kama ni pale ccm ulishaona wabunge wake wamepitishwa bila kamati kuu kuridhia ? Acha ushabiki wa kijinga mzee
 
5. Ilikuwaje Nusrat Hanje aachiwe tu kutoka mahabusu na asubuhi yake aapishwe kuwa Mbunge wa Viti Maalum?
Hili swali lako la tano limetutia aibu zaidi kama taifa na tunaoneka punguani sana hasa kwa jirani zetu. Na ndio maana hawa majirani zetu hasa Kenya wanatudharau sana kutokana na umaamuma wetu kitaifa kama huu
 
And because the political influence of these groups is significant, their members make sure that Party decisions and programs serve their private interest, even when this means doing less to accomplish noble public objectives.
An absolutely fantastic process especially to scholars of Political Science
 
Kwani wanaokinzana humu ni watendaji wa CCM au CHADEMA? Sidhani kama Abasi, Polepole n.k ndio wana-post humu.
 
Yawezekana asiendelee kupata kesi ila si kwa unanavyofikiria. Anaweza kuanza kufanya siasa za kistaarabu maana ameshaona watu hawapendi siasa za vurugu.
Hakuna virugu
Alikua Ana kesi za kuhujumu uchumi na zinginezo ambazo hazihusiani na siasa
Nchi ikutawaliwa ki dikteta vyombo vote hutumika kisiasa kuanzia mahakama. TRA. TAKUKURU. USALAMA WA TAIFA. Jeshi n, k
Hizi zote ni taasisi za CCM
 
"The art of political war", kuna stages 10, stage ya III tuu, Tuna chemka.

Stage III inasema :

a) Unatakiwa katika any political contest mshindani wako umpige sana achakae na adhalilike , na umwache hajitambui na hata kuomba msaada ashindwe kwa kuwa hajui anahitaji nini na afanye nini.

( you have to strike hard and once to eliminate you leave him for dead, the impact must be beyond self examination )

b) Hata ikitokea amejikusanya kurudisha shambulizi, mashambulizi yake hayo yawe hafifu mno kiasi hayawezi kuwa na madhara na bila kulenga.

c) Lazima umwachie makovu makubwa (in his body politics and leadership) ambayo akitaka kuyatibu haraka basi makovu hayo yatamuuwa.

Na muda si mrefu stage IV inakuja na tunaweza tusibaki salama.

JEE UNAKISIA NI NINI KINAFUATA?
 
Kwa kweli hiyo mifano ya kaburu mnayotoaga haiendani na tatizo letu. Weusi wote (nadhani ) walikuwa hawataki kutawaliwa na mzungu. Hapa kwetu baadhi wako huku, wengine wako kule (ingawa nyie mnaamini wengi wako kwenu, ila mimi siamini hivyo ).
Kumbe hujui historia ya Sauzi
Polisi wengi waliokuwa wakiumiza wazalendo walikua ni weusi
Kulikua kuna weusi wengi (lakini sio wengi kupita wazelendo) walikua wanaunga juhudi za makaburi
Hata hapa Tanzania kulikua kuna watu wengi wakipinga juhudi za TANU mpaka ilifikia mwaka 1959 kule Sumbawanga na Bukoba watu waliandamana kuingia TANU
Sauzi watu kila kukicha walikua wanapinga ANC
 
Mnyika hajawahi kufeli kutolea ufafanuzi jambo lolote lile la siasa.

Hii inji ingezingatia demokrasia nadhani tungepata viongizi thabiti sana watokanao na utashi wa wananchi.
 
Kamati kuu ya CHADEMA leo itakuwa na kikao maalumu kwa ajili ya kuwahoji wabunge 19 wa viti maalumu kupitia chama hicho walioapishwa jijini Dodoma wiki hii.

Binafsi nawatakia kila la kheri wanachadema wote katika kufanikisha kikao hiki cha kihistoria.

Mungu Ibariki Tanzania

Maendeleo hayana vyama!
 
Usaliti ni kirusi hatari sana
Once a traitor always a traitor
Watu wana ujasiri wa kula njama kuipoka kamati kuu mamlaka yake hawa si wanaweza kuuza chama kabisa hawa wakipewa mlungula?

Chadema ifukuze Wajinga wote wale ili kytunza heshima ya chama mbele ya umma.

Chadema ikifanya hivyo itaheshimiwa zaidi na wanachama na wananchi kiujumla, na itasaidia kuwanyima madhalimu kete ya legitimacy wanayoitafura kwa udi na uvumba kwa kuhonga vyeo
 
Naamiin wanaenda toa baraka zao zotee kwa warembo haoo
 
Ni muendelezo wa Isidingo tu, msitegemee jipya hapo.


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Ni muendelezo wa Isidingo tu, msitegemee jipya hapo.


Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Kabla ya Isidingo kulikuwa na Egoli; na maisha ya watazama film yaliendelea.

Kwa kuwa kuna uhitaji wa ruzuku; na njaa haina rafiki, lazima compromise iwepo tu.
 
Back
Top Bottom