Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Hakuna wabunge hapo . Labda Nusrat HanjeKamati kuu ya Chadema leo itakuwa na kikao maalumu kwa ajili ya kuwahoji wabunge 19 wa viti maalumu kupitia chama hicho walioapishwa jijini Dodoma wiki hii.
Binafsi nawatakia kila la kheri wanachadema wote katika kufanikisha kikao hiki cha kihistoria.
Mungu Ibariki Tanzania
Maendeleo hayana vyama!
COVID-19Kamati kuu ya Chadema leo itakuwa na kikao maalumu kwa ajili ya kuwahoji wabunge 19 wa viti maalumu kupitia chama hicho walioapishwa jijini Dodoma wiki hii.
Binafsi nawatakia kila la kheri wanachadema wote katika kufanikisha kikao hiki cha kihistoria.
Mungu Ibariki Tanzania
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee Utakula teuzi lini?Kamati kuu ya Chadema leo itakuwa na kikao maalumu kwa ajili ya kuwahoji wabunge 19 wa viti maalumu kupitia chama hicho walioapishwa jijini Dodoma wiki hii.
Binafsi nawatakia kila la kheri wanachadema wote katika kufanikisha kikao hiki cha kihistoria.
Mungu Ibariki Tanzania
Maendeleo hayana vyama!
Covid-19, wafuate bila barakoa uone.....Hakuna wabunge hapo . Labda Nusrat Hanje
Kama hujui kuwa nyuma ya migogoro yote ndani ya chama ni Mbowe, M/kiti na mwenye chama, basi subiri matokeo ya kikao cha Kamati Kuu ya chama leo.Unamaanisha Mbowe na Mnyika sio kitu kimoja kikazi?.
Ukishatumika huna thamani tena. Hawa hawa wanaojifanya wema kwao , wamehakikisha hawapiti majimboni.Covid-19, wafuate bila barakoa uone.....
Mdee na wenzake hao hamumuwezi
Wanafanya ambacho hata wewe ungefanya, simple and clear, tuache unafiki.Ukishatumika huna thamani tena. Hawa hawa wanaojifanya wema kwao , wamehakikisha hawapiti majimboni.
Leo kuna mawili chadema idharaulike mno au iheshimike zaidi DunianiKamati kuu ya Chadema leo itakuwa na kikao maalumu kwa ajili ya kuwahoji wabunge 19 wa viti maalumu kupitia chama hicho walioapishwa jijini Dodoma wiki hii.
Binafsi nawatakia kila la kheri wanachadema wote katika kufanikisha kikao hiki cha kihistoria.
Mungu Ibariki Tanzania
Maendeleo hayana vyama!
Cha kuacha members wa team campaign zao na mavyesi majimboni kuwahi kuapa !!. Kwanini viti 19 za Cdm zimekuwa na ushabiki huko kwenye dola ?!.Wanafanya ambacho hata wewe ungefanya, simple and clear, tuache unafiki.
Sasa angemlaumu nani mkuu ilihali katiba imevunjwa? Yaani unaapishaje wabunge ambao hawajapitishwa na kamati kuu? Huyo Nusrat alijaza lini hizo fomu na kula kiapo cha jaji?
Mkuu Kma Dr Slaa na Zitto waliondoka na CHADEMA haikufa Aisee hta watimuliwe kamati kuu nzima chama kitasimama tu. Baada ya wabunge wote wale kusepa ulitarajia kampeni zingekua za mafanikio vile?
CHADEMA is bigger than individuals who r opportunistic
Wakike 19! wa Ndungai wameonyesha dharau kubwa kwa uongozi na huenda wasije kwenye hicho kikao na hata wakiwepo hawatakuwa tayari kukubali Dhambi zao zijadiliwe kwani mdee ana kiburi na anaudharau mno Uongozi wa chademaUkishatumika huna thamani tena. Hawa hawa wanaojifanya wema kwao , wamehakikisha hawapiti majimboni.
Je, umefikiria chama kitajiendeshaje bila Ruzuku na michango ya wabunge? Wakifukuzwa hao, kundi kubwa la wanachama wanawake litakihama chama na hivyo kukosa hata ada yao ya kila mwaka. Wahenga walinena "hapendwi mtu ila pesa tu"Kwa namna hali ya uchaguzi ilivyokuwa na kwa jinsi jumuiya za kimataifa zinavyochukulia hao ni kufukuzwa tu kama CHADEMA kinataka kuendelea kuwepo katika ramani kisipowafukuza hao wananchi watakosa imani. Hao wafukuzwe wote kwa umoja wao ili waende huko CCM na ubunge wao wa viti maalum
Aliyewaapisha keishasema hawataenda kujadiliwa !!. Only in TzWakike 19! wa Ndungai wameonyesha dharau kubwa kwa uongozi na huenda wasije kwenye hicho kikao na hata wakiwepo hawatakuwa tayari kukubali Dhambi zao zijadiliwe kwani mdee ana kiburi na anaudharau mno Uongozi wa chadema
Wanandungai 19 wamejiteua ubunge kienyeji pasipo idhini baraka ya wanachadema wote leo ndiyo wataivua hadhi ya chadema na kuwa level ya chauma UDP DP TLP NCCR na CUF ya Lipumba endapo hawatafukuzwa chademaCha kuacha members wa team campaign zao na mavyesi majimboni kuwahi kuapa !!. Kwanini viti 19 za Cdm zimekuwa na ushabiki huko kwenye dola ?!.
UPUUZI mtupu kutumia hazina kudhoofisha democracy ndani ya nchi
Hao wakike 19 wa Ndungai ni CCM moyoni ingawa huzuga na mavazi ya chadema kuwahadaa watanzania kuwa na wao ni wapinzaniAliyewaapisha keishasema hawataenda kujadiliwa !!. Only in Tz
Chadema ipo ICU mda wowote itapona au kufariki, itapona tu endapo itawafukuza wakike 19 wa Ndungai na endapo itasalia nao inafariki ghafra na kuwa level ya chauma UDP DP TLP NCCR na CUF ya LipumbaWanafanya ambacho hata wewe ungefanya, simple and clear, tuache unafiki.
Chadema ichague moja idharaulike au iheshimike Duniani,Hata hao waliobaki nikijani pia,ccm wamebakiza pigo moja takatifu ambalo litaaashiria buriani chadema