Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Hakuna wabunge hapo . Labda Nusrat HanjeKamati kuu ya Chadema leo itakuwa na kikao maalumu kwa ajili ya kuwahoji wabunge 19 wa viti maalumu kupitia chama hicho walioapishwa jijini Dodoma wiki hii.
Binafsi nawatakia kila la kheri wanachadema wote katika kufanikisha kikao hiki cha kihistoria.
Mungu Ibariki Tanzania
Maendeleo hayana vyama!