Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Kamati kuu ya Chadema leo itakuwa na kikao maalumu kwa ajili ya kuwahoji wabunge 19 wa viti maalumu kupitia chama hicho walioapishwa jijini Dodoma wiki hii.

Binafsi nawatakia kila la kheri wanachadema wote katika kufanikisha kikao hiki cha kihistoria.

Mungu Ibariki Tanzania

Maendeleo hayana vyama!
Hakuna wabunge hapo . Labda Nusrat Hanje
 
Kamati kuu ya Chadema leo itakuwa na kikao maalumu kwa ajili ya kuwahoji wabunge 19 wa viti maalumu kupitia chama hicho walioapishwa jijini Dodoma wiki hii.

Binafsi nawatakia kila la kheri wanachadema wote katika kufanikisha kikao hiki cha kihistoria.

Mungu Ibariki Tanzania

Maendeleo hayana vyama!
COVID-19
 
Bwashee Utakula teuzi lini?
Au unasubiri mamluko wa chadema waje huko ndio wale teuzi huku uvccm mnaendelea kupiga domo?
Cheamani hawapendi aisee
 
Unamaanisha Mbowe na Mnyika sio kitu kimoja kikazi?.
Kama hujui kuwa nyuma ya migogoro yote ndani ya chama ni Mbowe, M/kiti na mwenye chama, basi subiri matokeo ya kikao cha Kamati Kuu ya chama leo.

Maamuzi ya Mbowe huwa ya mwisho. Hata hili sakata la wabunge wa viti maalumu Mnyika atafukuzwa au kujiuzuru, kwani kujitokeza hadhari kushutumu uteuzi huo ni kama amekalia kuti kavu.
 
Kamati kuu ya Chadema leo itakuwa na kikao maalumu kwa ajili ya kuwahoji wabunge 19 wa viti maalumu kupitia chama hicho walioapishwa jijini Dodoma wiki hii.

Binafsi nawatakia kila la kheri wanachadema wote katika kufanikisha kikao hiki cha kihistoria.

Mungu Ibariki Tanzania

Maendeleo hayana vyama!
Leo kuna mawili chadema idharaulike mno au iheshimike zaidi Duniani
 
Wanafanya ambacho hata wewe ungefanya, simple and clear, tuache unafiki.
Cha kuacha members wa team campaign zao na mavyesi majimboni kuwahi kuapa !!. Kwanini viti 19 za Cdm zimekuwa na ushabiki huko kwenye dola ?!.

UPUUZI mtupu kutumia hazina kudhoofisha democracy ndani ya nchi
 
Sasa angemlaumu nani mkuu ilihali katiba imevunjwa? Yaani unaapishaje wabunge ambao hawajapitishwa na kamati kuu? Huyo Nusrat alijaza lini hizo fomu na kula kiapo cha jaji?

Mkuu Kma Dr Slaa na Zitto waliondoka na CHADEMA haikufa Aisee hta watimuliwe kamati kuu nzima chama kitasimama tu. Baada ya wabunge wote wale kusepa ulitarajia kampeni zingekua za mafanikio vile?

CHADEMA is bigger than individuals who r opportunistic

Ni kweli kama ulivyodai CHADEMA is bigger than individuals who r opportunistic, ila unasahau nyuma ya migogoro yote ni udikteta wa Mbowe, mwenye chama. Aidha Mnyika atafukuzwa au atajiuzuru kwani Mbowe hawezi kukubali kukosa hiyo fedha ya Ruzuku na michango ya hao wabunge ambayo inahitajika sana kukiendesha chama. Labda, labda, labda kama Mnyika ana mipango mbadala ya kupata pesa ya kuendesha chama ikiwa ni pamoja na mshahara wake?
 
Ukishatumika huna thamani tena. Hawa hawa wanaojifanya wema kwao , wamehakikisha hawapiti majimboni.
Wakike 19! wa Ndungai wameonyesha dharau kubwa kwa uongozi na huenda wasije kwenye hicho kikao na hata wakiwepo hawatakuwa tayari kukubali Dhambi zao zijadiliwe kwani mdee ana kiburi na anaudharau mno Uongozi wa chadema
 
Kwa namna hali ya uchaguzi ilivyokuwa na kwa jinsi jumuiya za kimataifa zinavyochukulia hao ni kufukuzwa tu kama CHADEMA kinataka kuendelea kuwepo katika ramani kisipowafukuza hao wananchi watakosa imani. Hao wafukuzwe wote kwa umoja wao ili waende huko CCM na ubunge wao wa viti maalum
Je, umefikiria chama kitajiendeshaje bila Ruzuku na michango ya wabunge? Wakifukuzwa hao, kundi kubwa la wanachama wanawake litakihama chama na hivyo kukosa hata ada yao ya kila mwaka. Wahenga walinena "hapendwi mtu ila pesa tu"
 
Wakike 19! wa Ndungai wameonyesha dharau kubwa kwa uongozi na huenda wasije kwenye hicho kikao na hata wakiwepo hawatakuwa tayari kukubali Dhambi zao zijadiliwe kwani mdee ana kiburi na anaudharau mno Uongozi wa chadema
Aliyewaapisha keishasema hawataenda kujadiliwa !!. Only in Tz
 
Cha kuacha members wa team campaign zao na mavyesi majimboni kuwahi kuapa !!. Kwanini viti 19 za Cdm zimekuwa na ushabiki huko kwenye dola ?!.

UPUUZI mtupu kutumia hazina kudhoofisha democracy ndani ya nchi
Wanandungai 19 wamejiteua ubunge kienyeji pasipo idhini baraka ya wanachadema wote leo ndiyo wataivua hadhi ya chadema na kuwa level ya chauma UDP DP TLP NCCR na CUF ya Lipumba endapo hawatafukuzwa chadema
 
Msanii huyu subirini hicho hicho mcheke ni shida
 
Wanafanya ambacho hata wewe ungefanya, simple and clear, tuache unafiki.
Chadema ipo ICU mda wowote itapona au kufariki, itapona tu endapo itawafukuza wakike 19 wa Ndungai na endapo itasalia nao inafariki ghafra na kuwa level ya chauma UDP DP TLP NCCR na CUF ya Lipumba
 
Back
Top Bottom