Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hila mi CCM haijui Kiswahili.Hila MICHADEMA Inajichekesha na kucheka yenyewe
Tuma na wewe sasa.Haka kamtindo kakupost habari ambazo ndo tunaangalia sasa hivi kafutwe,.
Yaani mtu ukiona kipengele kimoja cha habari hata haijaisha ushapost.
Huku sio FB au udaku spesho.
Mimi sisapoti unafiki. Tume hawawezi kutangaza majina bila kupokea barua iliyosainiwa na mamlaka inayotambuliwa na msajili wa vyama plus muhuri. Huyo Mdee yuko very close na Mbowe. Hakuna kughushi hapo.Sina nia ya kuwatetea chadema, wala sitaki kupinga kwamba mnyika na mbowe lao moja, ila tusitumie njia haramu kuhalalisha vya haramu viwe haki/sawa. Kama NEC, mahakama na spika wametumika tuseme na tusikubali kufata unachotaka wewe; kukaa kimya kuhalalisha uovu..
Iweje?Tuma na wewe sasa.
Ili ujisikie vizuriIweje?
Kuwa close na Mbowe, so what?Mimi sisapoti unafiki. Tume hawawezi kutangaza majina bila kupokea barua iliyisainiwa na mamlaka inayotambuliwa na msajili wa vyama plus muhuri. Huyo Mdee yuko very close na Mbowe. Hakuna kughushi hapo.
Kila la heri na mapoambano yako ya kupigania hakiHaki kuifadhiwa haizuii haki hiyo kuendelea kupiganiwa.Hata wakoloni waliifadhi haki za waafrika ila mwisho wa siku waliziachia.
Hivi aliekuwa anasema kufanya kosa sio kosa, kosa kurudia kosa ni nani!?? Mzee mwenzangu mlenda sio mzubo? Au ndo ukiwa mjenzi ujue kubomoa?Hii ni habari njema, kwa vile hakuna kikao chochote cha dharura cha Kamati Kuu, then kesho CC itakaa kati ya leo na kesho, hiyo keshokutwa ni kukabidhiwa barua zao za mashitaka mchakato wa nidhamu uanze. At least now Chadema wame grow up, wanafanya mambo yao kiutu uzima, kwa heshima, staha na kuzingatia taratibu na kanuni.
Big up Chadema.
P
Siasa mchezo mchafuDaaah hiz siasa za bongo ni hatar
Mnyika msanii tu, hivi unakuaje watu kama Halima Mdee na akina Matiko, waamke asubuhi, wavae suti wapendeze, waende bungeni kuapa bila hata kumpigia simu yeye au mwenyekiti wa CHADEMA? Hapa wanataka kuwazingua tu hao wamamaWanachadema wanasubiri jambo moja tu hapa...FUKUZA!