Uchaguzi 2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

Bora iwe hivyo tupunguze wapumbavu bungeni.
 
Ukisimama nchale na ukikaa nchale[emoji2957][emoji2957]
Makamanda wa MIGA

[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kukubaliana na hizo kanuni, na inatakiwa iwekwe wazi wananchi wote wajue. Huo ni ushahidi kuwa ccm imechoka kushindana.
Ccm haijawahi kushindana. Na chini ya huyu mungu mtu ndiyo rasmi inataka kuufuta upinzani. Wanasema mwendawazimu hana aibu na ndicho kinachokwenda kufanyika. Ukichaa_kichaa ndio unaoendelea.
 
Hakuna Jambo baya Kama kujua jambo kidogo mfano, elimu, mpira, kombat, swimming, nk. Ni afadhali ya asiyelijua Jambo kabisa anaweza nusurika na madhara yake.

Mwenyezi Mungu katika Qur'an Kareem anasema HAWAFANANI WANAOJUA NA WASIOJUA, pia Allah Kareem anasema AMALI NYEMA NI ZILE ZINAZOAMBATANISHWA NA ELIMU.

Wasalaam
 
CHADEMA nzima wewe ndio inaonekana unaakili.
 
Magufuli kishafahamu kwamba hakubaliki sasa anaamua kutengeneza mazingira ya vita (maana wananchi hawatakubali huo ujinga ) , miaka mitano yote kafanya siasa peke yake lakini bado anaogopa !
Mwafrika hajawahi kuwa na akili.

Kila uchao hakosekani makanisani na nyumba za ibada lakini haachi tiba za kishirikina,mf kikombe cha babu na mafusho.

Kila siku wanahuniri demokrasi lkn wao wenyewe ndiyo wanaopindisha sheria za uchaguzi ili kuiba kura ama kupata kura za upendeleo.

Wao wenyewe wanahimiza watu wafanye kazi ili kuleta maendeleo wakati wa janga la korona wakati wao wamejificha porini ili wasife na korona.

Tunaishi maisha ya nyani,kujificha juu kabisa ya mti ili hali wanao umewaacha matawi ya chini ili waliwe na chui.

Si ajabu wazungu kutuita nyani kasoro mkia.

Na sijui kwanini walituambia nchi ili kujitawala.
 
Ccm haijawahi kushindana. Na chini ya huyu mungu mtu ndiyo rasmi inataka kuufuta upinzani. Wanasema mwendawazimu hana aibu na ndicho kinachokwenda kufanyika. Ukichaa_kichaa ndio unaoendelea.

Halafu siku anaapishwa anahonga viongozi wa dini wamuombee!
 
mimi kanisa langu nilishaachana nalo baada ya kuruhusu viongozi wa ccm kuingia humo , huwezi kuruhusu shetani aingie mazabauni na siye waumini tukakaa kimya
Susieni uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…