Uchaguzi 2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

Tulishawazoea kulialia nyinyi.
 
Halafu siku anaapishwa anahonga viongozi wa dini wamuombee!
Nendeni majimboni acheni kulialia mitandaoni hakuna kitakachowasaidia zaidi mjiandae na maumivu tu watz hawana mpango na chadema anymore!
 
Tunajua mmeshajua mtashindwa sasa mnaanza kusambaza uongo. Mawakala kupewa fomu ni takwa la kisheria na kanuni. Haliwezi kubadilishwa hivyo. Acheni upotoshaji.
 
ufipa mnaanza kujishtukia.
ccm ni chama cha kinabii kimeletwa na bwana wamajeshi muumba mbingu na nchi kuipeleka tanzania kwenye neema
 
Nendeni majimboni acheni kulialia mitandaoni hakuna kitakachowasaidia zaidi mjiandae na maumivu tu watz hawana mpango na chadema anymore!

Majimbo gani, hayo mnayosema watu hawaruhusiwi kufanya siasa kama hawajachaguliwa? Kama nyie kinachowasaidia ni kwakuwa mko majimboni, haya mambo ya aibu mnayofanya kunajisi uchaguzi ni ya nini?
 
ufipa mnaanza kujishtukia.
ccm ni chama cha kinabii kimeletwa na bwana wamajeshi muumba mbingu na nchi kuipeleka tanzania kwenye neema
Hata kuandika hujui
Eti bwana wa majeshi

Vilaza wamejaa Lumumba tu. Ndio ninyi vijana mliopata division four na zero mnaleta uharo hapa jf gt
 
Hivi ni kwanini CCM huogopa uchaguzi pamoja na majigambo yote ya kutekeleza ilani?
 
CCM ni chama cha mashetani, na wewe ni kapepo kachafu ndio maana unafurahia vitendo hivi vya dhuluma
Ndio uchaguzi huru na wa haki huo. Ila kwa TLP na NCCR na CUF wao wanaona ni poa tuu. Maana wao wana sindikiza. Usishangae kusikia wali saini jana
 
Hata kuandika hujui
Eti bwana wa majeshi

Vilaza wamejaa Lumumba tu. Ndio ninyi vijana mliopata division four na zero mnaleta uharo hapa jf gt
nyinyi simnamuona mbowe mungu,kila analosema hewala,sasa sisi tunasema mungu tuvushe.kwa uwezo wa bwana wamajeshi tutashinda ushindi wa kishindo cha corona.atuna muda mchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…