Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kwani kipimo cha akili ni kuwa mwanachama wa CHADEMA.Kumbe huna akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kipimo cha akili ni kuwa mwanachama wa CHADEMA.Kumbe huna akili
Duh! Kwa hiyo baada ya uchaguzi tusitegemee kesi za kupinga matokeo maana hakutakuwa na ushahidi kwa walalamikajiMnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo.
Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha.
Goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
Hapo ndio pa kutoshiriki uchaguzi. Afadhali ijulikane tu kwamba wameshiriki peke yao. Kushiriki uchaguzi kwa kanuni hizi ni "kuhalalisha" ushindi wa Magufuli na ccm yake, na vyama "washirika" CUF na NCCR na vingine kama TLP nk.Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo.
Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha.
Goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
Hakuna uchaguzi ni kuhalalisha wateuliwa wa mkuluHapo ndio pa kutoshiriki uchaguzi. Afadhali ijulikane tu kwamba wameshiriki peke yao. Kushiriki uchaguzi kwa kanuni hizi ni "kuhalalisha" ushindi wa Magufuli na ccm yake, na vyama "washirika" CUF na NCCR na vingine kama TLP nk.
Mm sijaisoma, ila iwapo kipo hicho kpengele basi haiasksi tafsiri halisi ya haki na wajibu. Iweje asipewe alichokisimamia kama ushahidiMnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo.
Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha.
Goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
Mkuu tindo unaongelea Wananchi wa nchi gani hiyo?Hakuna kukubaliana na hizo kanuni, na inatakiwa iwekwe wazi wananchi wote wajue. Huo ni ushahidi kuwa ccm imechoka kushindana.
Napendekeza vyama vya upinzani wasiishie hapo, kulalamika tu. Huu ndio wakati mwafaka wa kuwahusisha wananchi wayaelewe vyema mambo yanayopangwa kufanyika kabla ya uchaguzi.Hakuna kukubaliana na hizo kanuni, na inatakiwa iwekwe wazi wananchi wote wajue. Huo ni ushahidi kuwa ccm imechoka kushindana.
Itapendeza sana kama kutakuwepo mjadala hapa JF kuhusu viwanda vilivyoanzishwa Tanzania miaka minne (tukiondoa mwaka wake wa kwanza, kwani hivyo ni mipango ya mtangulizi wake).Wakati viwanda vikivyoachwa na JK tu vimeshakufa
Mkuu tindo unaongelea Wananchi wa nchi gani hiyo?
Umesahau yaliyofanyika katika uchaguzi wa serikali za Mitaa na yamepita na kusahaulika?
Na wasipo saini uchaguzi Mkuu ndio basi tena kama uchaguzi wa serikali za Mitaa mapema mwaka huu!
Hii nchi ngumu sana aisee!
Siku nchi ikipata Uhuru na Katiba mpya kanuni za Uchaguzi Mkuu ziwekwe katika Katiba, ili zisitungwe na watawala kwa maslahi ya chama tawala.Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo.
Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha.
Goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
Bora arudi mkoloni mzungu aendelee kututawala kuliko kutawaliwa na mkoloni mweusi maana mpk roho zao nyeusiMnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo.
Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha.
Goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
Duuuu! Sio mzima weweNi jambo jema!