Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba umeongea ndivyo sana, wanaokupinga ni either sukuma gang au ni wakwepa kodi full stopWakuu Salam,
Naomba nitangaze maslah, mimi ni mfanyabiashara, nipo Kariakoo, nje ya kariakoo na mkoa wa Pwani.
Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable.. lakini hili la kumlaumu Mwigulu Nchemba bila supporting evidence is ungrounded.
Kuna watu wanatumia udhaifu wa migogoro ya sheria zilizopo kumgandamiza bila sababu.
Mfano.
1. Hoja ya fine ya kutokutoa EFD recept sio ya leo, na hii ilipingwa sana na aliekuwa mbunge wa Muleba Anna Tibaijuka, nilishangaa saana yale mapendekezo, kama kawaida ya bunge letu.. papatu papatu hoja ikapita ikawa sheria, Kipindi hicho Mwigulu ni Wazir wa mambo ya ndani.
2. Hoja ya ushuru wa malori, Ndugu Chuki anaweza kuwa ana issues personal na Mwigulu na siwez kuwaingilia , ila kodi ya 2.7M sio kubwa kama anavyodai, kumbuka kubeba tonneau 10 had mwanza ni zaid ya 1.5M na hiyo ni non negotiable.... kutaka hiyo gharama iingizwe kwenye diesel ni ku shift tax burden to non beneficiaries, ambayo ni unfair taxing.
3. Hoja za registration of warehouse sio kitu kipya na wengi tumesajili nikiwemo, hoja za umiliki ni jambo jingine, labda tuseme issue ya With holding Tax ndio haijakaa Sawa, lakini kulalamika kwamba tusisajili sio Sawa kabisa.
Kwenye ethical business ni lazima usajili store na ulipie usimamiz wake, ikiwa na vigezo vyote.... hii ni excuse ambayo kumlaumu nayo Mwigulu ni ku choose easy victim.
4. Hoja za task force zilikuwepo toka kipind cha mwendazake... kwamba tunasumbuliwa hili ni kweli na ni sualq la kuweka utaratibu tu wa namna ya ku control, ambayo sikuona sabab ya kumzodoa mwamba vile.
5.Utitiri wa kodi kwenye biashara na mamlaka nyingi zinazosimamia jambo moja ni suala la kurith na Mwigulu sidhan kama ni wa kulaumiwa 100% , issue hapo ni CCM kuweka na kuunda hizi taasisi kutafutia washkaj wao ulaji.
Kuna kila sabab ya kuunganisha taasisi nyingi sana ili kuondoa usumbufu.
Ni hayo tu... tumuhukumu Mwigulu kwa mengine lakini sio moja kwa moja kwa baadhi ya sheria ambazo amezikuta.
Wewe na fortilo nimewafuatilia michango yenu nimegundua yafuatayo;Kwanza hawezi badili sheria ya Bunge,hili amewahi lizungumza mara nyingi tuu,kama jambo Hilo au sheria ilipitishwa na Ngazi zote haliwi la Mwigulu Bali la Serikali yote Ili libadiloke ni lazima Rais aingilie kati..
Ujue watu wengi hamjielewinna sijui nyie mnafanya kazi zipi, Mwigulu hatungia sheria Wala kupendekeza sheria ,hayo yote hufanywa na Wataalamu wa Fedha, uchumi na Kodi baada ya kujiridhisha..
Waziri anaenda ku act kama.msemaji na mjenga hoja ya hicho kilichopendekwzwa na anaanzia kwenye Baraza la Mawaziri ndio linaenda Bungeni,wote hao wakipitisha na Rais kusaini haliwi suala la Mwigulu,sheria inaipa Wizara mamlaka ya kutunguia kanuni na miongozo kwenye sheria mama.
Kwa hiyo Mwigulu hawezi kulaumiwa kwenye sheria za Bunge,mara ooh utitiri wa Kodi Sasa hizo ni Kodi za Mwigulu au za Serikali? 🤣🤣🤣
Tumekwambia VAT ianzie billion 1 sio million 100Hizi ndio sababu Magufuli anawapa watu ukweli uliopo, sio kupotosha potosha haya ndio madhara.
Wewe kama ni retailer wa finished products halafu utaki kusajiliwa kulipa VAT maana yake unaigharamie kwa sababu uwezi dai uliyolipia mzigo.
Mtu mwenye maslahi ya kutosajiliwa VAT ni mtu anaeuza huduma, lakini muuza bidhaa kukataa inakula kwako.
Kuna capital gain taxes ipo kesheria sasa ukitupiwa hiyo ukiuza fixed asset za biashara usishangae siku jamaa wakikudai chako; awafanyi tu hayo kwa sasa. Au wewe unauza magari unatakiwa ulipe income tax huna ata TIN ila by law unatakiwa usajiliwa kulipa kodi, bado wapangishaji na wengineo wengi. Kodi sio mchezo nchi za wenzetu.
Mkuu Mbogi heshima kwako.Wewe na fortilo nimewafuatilia michango yenu nimegundua yafuatayo;
1. Id mbili ni mtu mmoja.
2. Hamjawasikiliza vizuri wafanyabiashara.
3. Umejikita kumtetea mwigulu bila kuonesha hao wafanyabiashara walipaswa kufanya nini?
4. Wewe siyo mfanyabiashara.
5. Hili ndilo haswa lililo nifanya nichangie mada ni kwamba hata wewe haujui kazi ya waziri.
Siyo kweli kwamba waziri ni msikilizaji tu wa utngaji wa sheria hapa unadanganya maksudi ili Mwigulu asionekane na kosa ktk sakata hili.
Moja ya kazi muhimu Sana na inayotarajiwa kwa waziri yeyote ni kutoa ushauri wa kitaalam ktk sekta husika, haijalishi yeye ni mtaalam au laa atajua atumie nini ili kutumiza wajibu huo. Ktk wajibu huu hapa ndipo palipo na makosa ya Mwigulu kama ifuatavyo;
(a) Yeye kama waziri alikuwa na uwezo wote wa kushauri juu ya sheria mbovu za kikodi ambazo wewe unakiri kuwa hazikuanza leo wala jana. Fursa ya ushauri ipo ktk baraza, bunge, na kwa Rais mwenyewe.
(b) Huyu Mwigulu amekaa na wafanyabiashara na kupata changamoto zao wala hakujali (rejea nukuu za wafanyabiashara).
(c) Waziri wa fedha anayehusika na uchumi hakupaswa hata kidogo kupuuzia mvutano wa wafanyabiashara na TRA hata kama sheria zilikwisha pitishwa eti tu suala hilo linamhusu mkuu wa mkoa, kea waziri wa namna hii hakika hafai ni sawa na yule wa biashara. Yaani mgogoro uko ndani mwako unakaa eti mkuu wa mkoa asiye na wajibu huo aingilie Kati! Hapa Elimu haijatumika!
(d) Pamoja na makosa mengine pia kauli ambazo Mwigulu amekuwa akizitoa juu ya kudhadadia sheria zinazokandamiza nayo imeibua hisia hasi ktk mgogoro huu ikiwa ni pamoja na kauli ya waziri wa viwanda. Na hii imekuwa tabia mbaya kwa baadhi ya mawaziri.
Vitu vingi vimeanza zamani.....Mkuu chuki sio nzur
Huwezi kuwa mfanyabiashara ukaja kumtetea Mwigulu..
Mfumo WA Kodi WA kukadiria unaotoa mwanya Kwa watu wa TRA sio fair..
Mtu anakdiriwa Kodi milioni 350 wakati Kenya Kodi milioni 45 Kwa kontena Hilo Hilo...yote hayo ni policy..na usimamizi na Mwigulu ndo mhusika wa kubadilisha vyote...na kashauriwa kagoma ....
Wewe labda kakutuma uje umsafishe
Tofauti ya unafuu unaitoa wapi hapoTumekwambia VAT ianzie billion 1 sio million 100
Nami nikushukuru kwa kumsoma vizuri Quambly na amekazia vizuri ila kwa neno kali moja lenye maana juu ya uhusika wa Mh Mwigulu.Mkuu Mbogi heshima kwako.
Kwanza nikanushe kwamba hizi ID mbili ni mtu mmoja, labda ni kufanana mitazamo kinakufanya ufikiri hivyo, na huwa linatokea.
Lengo la uzi huu haikuwa kumtetea ndugu Mwigulu, lakini kuonyesha namna gani anahukumiwa kwa hisia zaidi kuliko uhalisia.
Kama umefuatilia mjadala vizur,
mkuu Mayor Quimby amejibu na maelezo yake mazuri sana kuhusiana na hili Sakata, hasa upande wa matokeo ya uelewa mdogo na wanasiasa wetu kupenda siasa nyepesi, lakini ziaid ukilinganisha na utayar wa wananchi wengi kwenye mazoea ya kulipa Kodi .
Hili la Mwigulu kuwa na kiburi na jeuri mara nyingine ndio matokeo yake anabebeshwa lawama hata kwa mambo ambayo angeweza toa ahadi ya kuyafanyia kazi.
Kuhusu wazir wa Biashara sijamzungumzia kabisa kwakuwa sijawah ona umuhim wake kabisa hasa ukilinganisha na majibu aliyotoa bungeni.
Suala la yeye kukaa na wafanyabiashara na kupuzia changamoto linaweza kuwepo, lakin malalamiko mengi yapo juu sana ya uwezo wake, na hizi sheria kusema ukwel ni zakupitiwa upya kabisa .
Kwahiyo mimi msimamo wangu ni kwamba Mwigulu hajahukumiwa kwa haki, kama utaangalia kwa undani hoja za wafanyabiashara.
Ahsante.
Hasira za Mwigulu ni lugha yake mbovu na tozo za miamala watu wamezitolea hapo. But it has nothing na malalamiko yao ya kodi huko ni purely lack of their understanding.Mkuu Mbogi heshima kwako.
Kwanza nikanushe kwamba hizi ID mbili ni mtu mmoja, labda ni kufanana mitazamo kinakufanya ufikiri hivyo, na huwa linatokea.
Lengo la uzi huu haikuwa kumtetea ndugu Mwigulu, lakini kuonyesha namna gani anahukumiwa kwa hisia zaidi kuliko uhalisia.
Kama umefuatilia mjadala vizur,
mkuu Mayor Quimby amejibu na maelezo yake mazuri sana kuhusiana na hili Sakata, hasa upande wa matokeo ya uelewa mdogo na wanasiasa wetu kupenda siasa nyepesi, lakini ziaid ukilinganisha na utayar wa wananchi wengi kwenye mazoea ya kulipa Kodi .
Hili la Mwigulu kuwa na kiburi na jeuri mara nyingine ndio matokeo yake anabebeshwa lawama hata kwa mambo ambayo angeweza toa ahadi ya kuyafanyia kazi.
Kuhusu wazir wa Biashara sijamzungumzia kabisa kwakuwa sijawah ona umuhim wake kabisa hasa ukilinganisha na majibu aliyotoa bungeni.
Suala la yeye kukaa na wafanyabiashara na kupuzia changamoto linaweza kuwepo, lakin malalamiko mengi yapo juu sana ya uwezo wake, na hizi sheria kusema ukwel ni zakupitiwa upya kabisa .
Kwahiyo mimi msimamo wangu ni kwamba Mwigulu hajahukumiwa kwa haki, kama utaangalia kwa undani hoja za wafanyabiashara.
Ahsante.
Jua kuwa TRA iko chini ya wizara ya fedha, TRA wanapoboronga na waziri akashindwa kuchukua hatua lazima alaumiwe, pili ana majibu ya hovyo, anatakiwa kuheshimu taasisi mbalimbali anazofanya nazo kazi kitenda cha kukataa kuwasikiliza viongozi wafanya wa wafanyabiashara namna ya kuongeza au kupunguza kodi ni kosa kubwa sana hastahili kuwepo hapo wizarani.Awe na adabu iweje mbunge mwenzake amwite mganga wa kienyeji hiyo si ni dharau kubwa.Mkuu haya mambo nakuelewa sana, hoja yangu hapa ni kwamba Mwigulu amekosea nini?
Tumelia na haya masheria mabovu kwa miaka hata kabla ya Mwigulu, leo nashangqq kishabiki kabisa anabebeshwa zigo lote.
Bro kuna watanzania zaidi ya milioni 60. Kama wafanyabiashara wamemkataa Mwigulu tuna watanzania idadi hiyo hiyo wanaoweza jaza nafasi yake. Mwigulu sio Mungu mmoja hadi atetewe hivyo.Wakuu Salam,
Naomba nitangaze maslah, mimi ni mfanyabiashara, nipo Kariakoo, nje ya kariakoo na mkoa wa Pwani.
Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable.. lakini hili la kumlaumu Mwigulu Nchemba bila supporting evidence is ungrounded.
Kuna watu wanatumia udhaifu wa migogoro ya sheria zilizopo kumgandamiza bila sababu.
Mfano.
1. Hoja ya fine ya kutokutoa EFD recept sio ya leo, na hii ilipingwa sana na aliekuwa mbunge wa Muleba Anna Tibaijuka, nilishangaa saana yale mapendekezo, kama kawaida ya bunge letu.. papatu papatu hoja ikapita ikawa sheria, Kipindi hicho Mwigulu ni Wazir wa mambo ya ndani.
2. Hoja ya ushuru wa malori, Ndugu Chuki anaweza kuwa ana issues personal na Mwigulu na siwez kuwaingilia , ila kodi ya 2.7M sio kubwa kama anavyodai, kumbuka kubeba tonneau 10 had mwanza ni zaid ya 1.5M na hiyo ni non negotiable.... kutaka hiyo gharama iingizwe kwenye diesel ni ku shift tax burden to non beneficiaries, ambayo ni unfair taxing.
3. Hoja za registration of warehouse sio kitu kipya na wengi tumesajili nikiwemo, hoja za umiliki ni jambo jingine, labda tuseme issue ya With holding Tax ndio haijakaa Sawa, lakini kulalamika kwamba tusisajili sio Sawa kabisa.
Kwenye ethical business ni lazima usajili store na ulipie usimamiz wake, ikiwa na vigezo vyote.... hii ni excuse ambayo kumlaumu nayo Mwigulu ni ku choose easy victim.
4. Hoja za task force zilikuwepo toka kipind cha mwendazake... kwamba tunasumbuliwa hili ni kweli na ni sualq la kuweka utaratibu tu wa namna ya ku control, ambayo sikuona sabab ya kumzodoa mwamba vile.
5.Utitiri wa kodi kwenye biashara na mamlaka nyingi zinazosimamia jambo moja ni suala la kurith na Mwigulu sidhan kama ni wa kulaumiwa 100% , issue hapo ni CCM kuweka na kuunda hizi taasisi kutafutia washkaj wao ulaji.
Kuna kila sabab ya kuunganisha taasisi nyingi sana ili kuondoa usumbufu.
Ni hayo tu... tumuhukumu Mwigulu kwa mengine lakini sio moja kwa moja kwa baadhi ya sheria ambazo amezikuta.
Kunguni kaziniHuu ni upuuzi,hizo Kauli aliongea Bungeni baada ya kumjibu mpuuzi mmja hivi ambae hata Mimi ningemjibu .
Mkuu, nchi hii siku hizi hutakiwi kutumia akili ili mambo yako yaende sawa.Naomba nitangaze maslah, mimi ni mfanyabiashara, nipo Kariakoo, nje ya kariakoo na mkoa wa Pwani.
Ni wazi, wewe unalako jambo. Inawezekana ni mshindani wa Mwigulu, unasubiri tu mkono udondoke, ukitegemea utanufaika wewe.Bro kuna watanzania zaidi ya milioni 60. Kama wafanyabiashara wamemkataa Mwigulu tuna watanzania idadi hiyo hiyo wanaoweza jaza nafasi yake. Mwigulu sio Mungu mmoja hadi atetewe hivyo.