MO afuatiliwe kwa utakatishaji wa pesa

MO afuatiliwe kwa utakatishaji wa pesa

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,369
Lekaga gete, nahene milimo.

Mlimpola bhagosha bhane!

Shalom!
Mpaka sasa hakuna anaeweza kuthibitisha kuwa MO amesha weka ile bilioni 20 kwenye account ya simba au Ile ya kampuni,sidhani hata BMT sidhani wamewahi kuthibitisha. Mzee Rage hapa karibuni amesisikika akiomba BMT audition ya kifedha ,kwenye vilabu hivi.

Maana hakuna ajuaye mapato ya klabu kwa mwaka,mikataba kama mo extra na halisi, bajeti ya usajili na gharama za uendeshaji kwa msimu uliopita. Kubwa logo ya klabu ni mkutano gani ulioidhinisha.

Kwanini tunahofu na money laundry usajili unaofanyika tunahisi unatoka nje ya mapato ya klabu, zipo hisia kuwa kuna genge linaitumia klabu kutakatisha fedha. Maana kama ni udhamini lazima uwe kwenye mkataba. N.a. flow yake ieleweke!

NB:ni ushauri tu sijasema anatakatisha!Ila wanazengo tuna mashaka tu.

Wapinga rushwa tunawasilisha.
 
Shabiki wa utopolo katika ubora wao inawezekana yule beberu alimaanisha kweli alichokizungumza, shabiki wa simba anahitaji vikombe hayo mengine baadae
 
Hakuna mwenye uhakika kuwa zile milioni 50 kila kijiji zilisha pelekwa huko wala ile 1.5trilion ilikwenda wapi. Hao wote kwa mazingira yao wachunguzwe kwa utakatidhaji fedha
😂😂😂😂😂
 
Shabiki wa utopolo katika ubora wao inawezekana yule beberu alimaanisha kweli alichokizungumza, shabiki wa simba anahitaji vikombe hayo mengine baadae
Source na flow yake iwe undoubtable
 
Back
Top Bottom