Alafu mumwambie aache tabia ya kujifanya kila mwaka anapata hasara, hasara awe anapata yeye tu GSM mbona hana hisa Yanga na halii kupata hasara.Mambo ni kimya kimya hapa bongo, Umewahi kuuona hata mkataba original wa jezi wa Simba na Vunja bei ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu mumwambie aache tabia ya kujifanya kila mwaka anapata hasara, hasara awe anapata yeye tu GSM mbona hana hisa Yanga na halii kupata hasara.Mambo ni kimya kimya hapa bongo, Umewahi kuuona hata mkataba original wa jezi wa Simba na Vunja bei ???
GSM ni waarabu mkimya kama BakhresaAlafu mumwambie aache tabia ya kujifanya kila mwaka anapata hasara, hasara awe anapata yeye tu GSM mbona hana hisa Yanga na halii kupata hasara.
Akikujibu nishtueAliweka account ipi?
Kupitia cheque ipi?
Una ushahidi wa benk statement?
Dah kumbe wewe ni kilaza hivi🙌🏽🙌🏽😩😩😩20bn plus za wanachama ziko kwenye account gani . Tuache kupiga kelele za Mo peke yake. Leteni balance ya hela za wanachama period.
Upewe ushahidi wewe ni nani katika Klabu ya Simba?Kakutuma mjinga wewe ama? Hivi mnawajua wahindi au mnawaskia. Aondoke bana. Hajaweka hiyo pesa hakuna ushahidi wa kibenki. Mjinga mmoja wewe. Anawahadaa na vihela vya hapa na pale wakati ni timu yenye potential kubwa sana. Hamna akili.
Kipindi mnatembeza bakuli hizo gate collection, sportpesa hazikuwepo?Ndiyo kusema wakati hayo yote yanafanyika timu haikuwa na mapato yake nje ya udhamini wa Mwekezaji?
Yaani mapato yaliyotokana na gate collection, fedha za CAF, wadhamini kama Sportpesa, Mbet, Azam Media, nk!!!
Mwekezaji mwingine sio issue, issue jee ni mwanamichezo? Jee ana mapenzi ya dhati kwa Simba?Mo ni mwizi narudia ni mwizi anayenibishia kesho aende kwenye maduka yake yaliyopo mataa ya mnazi mmoja kuelekea mnara wa saa Kuna kanga za Simba zinauzwa zimezalidhwa na kiwanda chake Cha morogoro bila Simba kuwa na mkataba na hawapati hata senti tano.
Watu wanaomtetea mitandaoni Tena anawalipa kijiwe Chao kipo msikitini karibu na Zahri hotel Kama inaelekea DTB bank nyuma ya ofisi zake.
Mo akiondoka hauzidi nusu saa wawekezaji wengine wanajitokeza.
Kupitia haya maelezo yako, hivyo vyanzo vya mapato havina tija, na ndiyo maana mwekezaji wenu anadai mpaka hela aliyonunulia mchicha siyo!Kipindi mnatembeza bakuli hizo gate collection, sportpesa hazikuwepo?
Hivi unajua gharama za kuendesha timu zinaweza kuwa covered na vyanzo vidogo vya pesa kama hiyo mifano yako?
Saizi mmepata mwekezaji lakini bajeti yenu ya mwaka imekuja na pancha kuwa mmepata hasara.
Na hapo mwekezaji yupo.
Haya niambie bila mwekezaji hali ingekuwaje?
.
Well said. Hivi km kuna watu wanafikiria matangazo kwenye jezi na udhamini Wa Azam, Mbet au Sportpesa vinaweza kuendesha timu kwann Yanga haikutoka kwenye dhiki hadi alipoingia GSM? Au bado anafanya nn pale Yanga kama mapato hayo yanatosha? Watu hawajui wanachokiongea. Akitoka Mo ndo watajua walikuwa hawajui. Biashara ya uwekezaji katika hizi timu za Nchi km Tanzania bado hazitoi faida yoyote ya kuweza kuwavutia wawekezaji. Hawa tulio nao/ tuliye naye si muwekezaji hasa, bali ni kama mfadhili tu mwenye mapenzi na timu. Ht Mo mwenyewe najua anajua kuwa hatarajii faida yoyote ya kifedha kutokana na huo uwekezaji wake any time sooneri. Ndo mana huku kwetu hatujawekewa ile Sheria ya FIFA ya financial fair play ambayo inavilazimisha vilabu kutumia kile tu kinachopata kutokana na biashara ya mpira. Sisi bado tunajiendesha kwa ufadhili wa matajiri wenye fedha, wawe wamiliki au wapenzi Wa vilabu hivyo.Unajua kitu ambacho watanzania tuko nacho vizuri ni kuongea na hasa kwemye criticism.
Kuongea ni kitu rahisi sana ambacho kinaweza kufanywa na mtu yeyote ila linapokuja swala la utendaji ni watu wachache sana wenye kuweza.
Kama matangazo yanalipa kiasi cha kuifanya timu iweze kujiendesha bila mwekezaji kwanini hatukuprint jezi zenye nembo ya Simba ili tupate hela ambazo zingeingia direct kwenye Account ya Simba kuliko kumtafuta mwekezaji ambaye anaenda kunufaikia kupitia brand ya timu?
Kama wewe una amini mwekezaji akiweka matangazo kwenye jezi ya timu yako anaenda kunufaika kwanini usitumie hiyo fursa kujiendesha mwenyewe kwa kuweka matangazo ya Club yako ili uwe unanufaika mwenyewe?
Mpaka unamuachia mtu aweke matangazo yake kwenye jezi yako ili wewe uweze kuendesha timu kupitia hela zake maana yake ni kwamba wewe umeshindwa kupata hiyo faida ambayo saizi unaiona.
Sasa kwanini uwe obsessed na mtu anayepata faida kupitia rotaion ya hela zake?
Vipi wanaomiliki 51% ambayo ni kubwa wao wametoa bei gani mpaka sasa?
Au sisi wenye 51% kazi yetu ni kuchambua faida anazopata mwekezaji kupitia ads?
Kabla ya MO Dewj Simba ilikuwa katika hali gani?
Naskia chinichini kuna mwekezaji ambaye anatajwa kuwa yupo tayari kuichukua Simba, na huyo mwekezaji yupo nyuma ya hao wanaopiga kampeni za Mo atoke
Alikuwa wapi kipindi hicho ambacho Simba ilikuwa inataabika?
So ni wazi kuwa ameanza kuiona value ya Simba kutokana na hela za MO.
No offense lakini namuona kama shangingi wa bar anayefuata meza yenye bia nyingi.
Ni kama Zubeda mke wa Profesa Jay aliyemtoa kijijini sitimbi akila magimbi akijipaka mafuta ya kupikia lakini alipomleta mjini na kuanza kumgharamia demu akaamza kushoboka na mataita wa mjini.
Some spazz gotta say "Ooh MO unajua anapata sana faida halafu anasingizia Simba inampa hasara"
Mimi na wewe kama mashabiki hatufaidiki na chochote kwenye Simba zaidi ya furaha (labda kama kuna wenzangu mpo kwenye payyrol) ni Furaha ambayo tunaipata kupitia matokeo mazuri tu ndio malipo yetu.
Kama MO anapata faida ni non of our business just like Man U au Man City ambazo tunazishabikia kwa mapenzi yetu kwa lengo la kupata furaha.
Unaongea Pumba tupu mzee.Well said. Hivi km kuna watu wanafikiria matangazo kwenye jezi na udhamini Wa Azam, Mbet au Sportpesa vinaweza kuendesha timu kwann Yanga haikutoka kwenye dhiki hadi alipoingia GSM? Au bado anafanya nn pale Yanga kama mapato hayo yanatosha? Watu hawajui wanachokiongea. Akitoka Mo ndo watajua walikuwa hawajui. Biashara ya uwekezaji katika hizi timu za Nchi km Tanzania bado hazitoi faida yoyote ya kuweza kuwavutia wawekezaji. Hawa tulio nao/ tuliye naye si muwekezaji hasa, bali ni kama mfadhili tu mwenye mapenzi na timu. Ht Mo mwenyewe najua anajua kuwa hatarajii faida yoyote ya kifedha kutokana na huo uwekezaji wake any time sooneri. Ndo mana huku kwetu hatujawekewa ile Sheria ya FIFA ya financial fair play ambayo inavilazimisha vilabu kutumia kile tu kinachopata kutokana na biashara ya mpira. Sisi bado tunajiendesha kwa ufadhili wa matajiri wenye fedha, wawe wamiliki au wapenzi Wa vilabu hivyo.
Kumtoa Mo mnaweza kuona ni ushindi lkn huyo mnayemfikiria atawatoa hapo mlipokwama, hawezi kuwa Kigwangwala wala huyo CPA Massoud. Hawana uwezo huo.
Haya yote hayahalalishi UTAPELI anaotaka kuufanya MO ili amiliki Simba au sehemu ya Simba.View attachment 3013139
mnadhani hivi vyote vimetokea kimiujiza ? furaha tulizokuwa tunazopata hasa kimataifa mnadhani ni mpera umetoa zabibu ?
- Kufuzu robo fainali mashindano ya caf ishakuwa kawaida,
- timu kubwa kama al ahly zinaiheshimu Simba,
- Simba ni klabu ya 7 kwenye ranking za Afrika,
- wachezaji wa simba wana soko kubwa wapo waliosajiliwa Al Ahly, Ufaransa, n.k.
- Makocha wa klabu kubwa Afrika wanatamani kufanya kazi Simba
Imekuwa ni dhahiri kwamba wanasimba wengi hawana elimu ya hizi bilioni 20 na hivyo wana kila haki ya kuzihoji zilipo sababu hawana elimu, Mjinga ni mtu anaebisha sababu hajui hivyo inahitaji aelimishwe nami natoa elimu, lakini hata baada ya kuelimika ukishupaza shingo unapandishwa cheo kuitwa mpumbavu.
Simba ya enzi hizo kabla ya Mo ilikuwa imejichokea, Mo akaahidi kununua asilimia 49 ya umiliki wa timu kwa bilioni 20, Kwa mantiki ya kawaida timu inapopata pesa huwa inawekeza kwenye timu ifanya vizuri zaidi, Mo alianza kutia pesa na kweli tulijionea kwa macho yetu mapinduzi makubwa sana hayajawahi kutokea hapa nchini kwenye soka letu, Kwa misimu minne mfululizo alikuwa anatia bilioni 5 kwa njia ya kuigharamia timu na mwaka 2021 rasmi akamaliza deni lake na kupewa umiliki wa timu.
Wanoulizia aliingiza benki gani hawa ndio kundi wanalodhani kila kitu kinauzwa kwa pesa taslimu, ningependa kuwaeleimisha si kila kitu huuzwa kwa pesa taslimu, Mfano Diamond Platnumz ni mwanahisa wa wasafi tv na radio kapewa hisa za umiliki wa asilimia kadhaa kwa kuweka jina lake tu ambalo lina thamani kiasi flani, Mtu unaweza kuwa na hoteli yako imechoka ukawa unatafuta mwekezaji umuuzie umiliki nusu kwa milioni 100, lakini pia ni sawa hata yeye mwenyewe akifanya ukarabati unaoweza kuthaminika ni milioni 100, Basi ndicho kilichotokea simba, umiliki wa asilimia 49 enzi hizo ulithaminishwa kuwa bilioni 20, Haikuwa lazima Mo atoe pesa cash Taslimu, kilichotokea ni kwamba aliigharamia timu kwa miaka minne kwa thamani iliyofikia bilioni 20 na timu ilipojiridhisha kweli ni kiasi hicho ikampa umiliki, hizi ndizo gharama alizotumia.
- Usajili wa wachezaji + signing fee (hasa wachezaji ghali wa nje)
- Gharama za kuvunja mikataba ya wachezaji ili kuwapisha wapya
- Mishahara wachezaji (hasa wachezaji ghali wa nje)
- Makocha ghali wenye uzoefu mkubwa kimataifa
- Usafiri (Safari za ndege mikoani na nje ya nchi, gharama za basi, n.k.)
- Malazi (Hoteli za kifahari mikoani na nje ya nchi, Hostel, n.k)
- Vyakula na vinywaji (wachezaji, benchi la ufundi, viongozi, n.k.)
- Matibabu kwa wachezaji wenye majeraha
- Kiwanja cha Bunju
hayakuwa mazingaombwe ni PESA !!!
Mkuu agreement 20B siyo ya matumizi bali ni mtaji ukawekwe Bank na ununue Bonds.Swali fikirishi kwanini muonekano wa Hundi ulikuwa wa bilioni 20, kumbe alikuwa analipa kwa dose tuanzie hapo kwanza yanakuja maswali mengine, kwakifupi huyo siyo muwekezaji halisi kwa maana km timu inahitaji bilioni 5 nadhani wanachama wanaweza kuzichanga
Unajua 20B katika MOU zilitakiwa kununua wachwzaji au matumizi??.Unadhani wachezaji na makocha ghali walikuwa wanatua simba kama zabibu chini ya mpera ?
Ninyi MBINA WAJINGA SANA aisee.?Mo si mmiliki wa timu yeye ana 49% pekee
Hata GSM anafanya hivyo. Je umesikia anamiliki Yanga au ana Hisa Yanga?kusajili wachezaji na mishahara ya wafanyakazi pamoja na wachezaji, usafiri wa ndani na nje ya nchi,malazi pamoja gharama za kuvunja mikataba ya wachezaji na makocha,
Kwa huu mgogoro unaoendelea sina imani kama simba itafanya vzuri msimu ujao tena. ILA mbali ya yote hata kama mo ni tapeli au viongozi wanahujumu kwa timu zetu za kitanzania hazina uwezo wa kujiendesha zenyewe kwa mapato yake yenyeweMoto unawaka, hakikisheni mnasajili vinginevyo msimu ujao tutawaokota nafasi ya 5