Mo Dewji Aipaisha Tanzania Kimataifa on CNN "Unfortunately We Don't Have The Right Framework & Policies to Deal With Large Investment in Agricalture!"

Mi naona yuko sawa
 
Umeongea la maana mno
 
Mimi huwa nakumbuka alivyotekwa na Makonda siku ile 'alipopatikana' polisi wakaenda nyumbani kwake na Azim Dewji akawa anamshukuru Magu kurudi kwa Mo wakati tunaambiwa aliibuka tu akajikuta yuko viwanja vya Gymkhana.
Wonders shall never end.
Nyinyi ndio wale wenye nongwa.
Umeeingia tu kuchafua Uzi.
Makonda alimteka Mo Dewji wapi?

Wacheni hizo propaganda. Wacha uhasama wewe!
Msitafufe kuchafua nchi


Ukalegee huko uliko
 
Hii nchi kila asiye na kazi ni mkulima kosa linaanzia hapo, utasaidia wangapi!
 

Unasomeka.
Utalegea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…