Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Status
Not open for further replies.
Kabla hatujakubali au kukataa. Kama kuna mwenye orodha yote ya wachezaji wa Simba,na benchi la ufundi pamoja na gharama zao za mishahara kila mwezi aiweke hapa ndio tuanze kukubali au kukataa juu ya kauli yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mo anadhani biashara ya mpira ni rahisi , haya matamko anayafanya kwa jazba sana

Kwanza walikosea sana kumtimua Aussem , alishaanza kulijua soka la Bongo
 
Hapo tuseme simba INA wachezaji 33 na lila mmoja analipwa 10milion/month ndo itakuja 4billion

Apache kutuona mandeI
 
Simba kama timu tumeingiza kiasi gani..

Mo ni mwana siasa mnyonyaji kama wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mo anadhani biashara ya mpira ni rahisi , haya matamko anayafanya kwa jazba sana

Kwanza walikosea sana kumtimua Aussem , alishaanza kulijua soka la Bongo
Simba walikosea kumfukuza yule kocha aliyewatengenezea kizazi cha akina ajibu na ndemla enzi hizo wakiwa wadogo.
 
sasa unajiuzulu kwa tweet tu bila hata kukaa na wenzako huo upimbi.

ilifaa kwanza akae hata na Bodi yake kwanza ndio awape sababu na aamue hivyo kwa mambo makubwa na ya Kimataifa anayotaka kufanya hili ni la aibu aisee.

*ANAJIUZULU UENYEKITI WA BODI KWA TWEET YAKE TU*
Tena dk chache tu baada ya game kwisha aisee, yaani kama alikua anatafuta sababu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kakosa sababu sasa, anataka kulazimisha hii mapinduzi cup


Sent using Jamii Forums mobile app
 
technically,
Tp mazembe inamilikiwa na Moise katumbi na ndio timu yenye mafanikio Africa kuliko timu yoyote ile ya watu weusi ukiwatoa waarabu na wanamtegemea Moise katumbi kwa kila kitu? Azam ya juzi tu INA viwanja viwili wewe yanga una nini? Si ndo wewe ulipitisha bakuli uchangiwe?
 
Kumbuka


1. Jezi zote kwa mwaka ni zaidi ya bil 15.

2. Matangazo kwenye jezi ya products zake kama angelipia ni zaidi ya bil 10.

Kisha mtu anakuja hapa sijui bil 4, na uhakika mo hajaingiza hata sent.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndugu yangu Mo, kagoli kamoja tu umeamua ujiuzuru na uenyekiti wa bodi...
Wangetandikwa goli 3 si ungebaki kuwa shabiki tu? Hahahaaah!

Leo Mtibwa wamejua kuwafurahisha wale jamaa wa upande ule..., yaani wamechukua kikombe wakaona haitoshi wakamchukua na Mo kabisa... Teh Teh Teeeh!
Mi sitaki misiba, najiendea kwenye sherehe ya jirani...
 
Mo anadhani biashara ya mpira ni rahisi , haya matamko anayafanya kwa jazba sana

Kwanza walikosea sana kumtimua Aussem , alishaanza kulijua soka la Bongo

Wawekezaji wasipoacha kukurupuka na wakiacha kutumia akili zao vizuri kinachopotea ni mtaji uliowekezwa kuendesha huo mradi.

Sidhani kama Simba ni mbovu kiasi hicho, tatizo watu ambao sio wa mpira wapo kwenye ofisi na meza kubwa kubwa za club zetu wakipanga kuhusu mpira uende vipi kibaya zaidi wanayawaza matumbo yao zaidi.

Nawaombea mema Simba SC inapobidi mhindi Anataka apigiwe magoti ni bora wampige chini kwasabbu huo hautakua mpira wa miguu labda rede
 
Yaani kutungwa mechi ya kirafiki ndio ajiuzuru? Aidha hiyo habari si ya kweli au kunatatizo kubwa zaidi hivyo alikua anatafuta sababu! Kimsingi Simba ya uchebe mpaka ya Sasa ina matatizo mawili kiufundi, mosi wachezaji hawako aggressive uwanjani, pili, timu inacheza taratibu Sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moise katumbi hajawa congo kwa karibia miaka 4 akiishi ubelgiji lakin TP mazembe iliendelea kuwasha moto.Azam bila Bakhresa inaenda vizuri tu kwa sababu Mzee salim mali zake zipo kistaarabu.Ninyi bila Mo mtapitisha bakuli kama sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…