Mo Dewji akerwa na Clatous Chama baada ya kumsifia Haji Manara Instagram Live

Basi kaongoze wewe ambaye hauko kwenye dustbin
No, sijaamaanisha kuwa Mimi ni bora kuliko wao, wala sikukusidia kumshusha mtu adabu na hadhi yake. Lakini ....... watu ni wenye makosa ya wazi. Unajua unapokuwa Kiongozi unatakiwa kuwa perfect Sana, kusiwe kuna kasoro zinazoonekana hata na macho, sidhani kama tunaelewana ila [emoji120].we are together
 
Aliulizwa kwanini unadhani Simba ina mashabiki wengi zaidi ya Yanga?
Magori: Nilipanda taxi siku moja nikamuuliza dereva wewe ni shabiki wa timu gani? Akasema Simba, basi nikajua kweli tuna mashabiki wengi.
[emoji16][emoji16]
 
Manara ni maarufu Sana, kuliko Mo. Mo ni ndama kabisa
 
Tukubaliane kwa kauli ya MWAMEDI anaendeleza tabia za CCM kuminya uhuru wa kuongea.
 
Chama nae kashamu-unfollow boss huko
 

kuhusu kumunfollow siyo kweli
 
Kuna watu wanadhani pesa peke yake zinaleta ufanisi kwenye mchezo wa soka.
Mafanikio ya mchezo wa Soka ni muunganiko wa mambo mengi.

Mo anatakiwa ajifunze kuishi na watu asiowapenda ambao wana msaada furani kwenye maendeleo ya Simba.

Ni kweli kwamba Simba ni taasisi iliyo zaidi ya Manara na watu wengine, Lakini dhahiri Haji alikuwa na mchango wake kwenye kuiunganisha timu na mashabiki.
Baadhi ya Mashabiki hasa wale waliovutiwa na amsha amsha zake wanaona kuna kitu wamekipoteza ndani Simba.
 
Wanasimba mna kazi ya kumbembeleza mwamedi. Maana bila kubebelezwa hua hatulii
 
Na katika hili sakata asipokuwa makini arakuja kupigwa KO moja tu mpaka akimbilie kutishia kuacha team kama kawaida yake, kwasasa anatakiwa ajue kabisa kuwa licha ya yeye kuachana na Manara haimaanishi kuwa Manara hana watu ndani ya SIMBA SC, na ajue kabisa katika hili manara hajasimama pekeyake.

Kikubwa zaidi akumbuke kuwa Hawa mashabiki wanaojidai kumoenda sasahivi na kumchukia Manara,amewaroga kwa mafanikio kidogo yaliyopatikana ndani ya hii misimu minne, SIMBA SC ikianza kufanya vibaya ndo atawaelewa rasimi.Chukulia mfano YANGA akampiku simba Sc hata kwa misimu miwili tu,alafu ujijibu mwenyewe.
 
Chama kazingua huwez kumsifia mtu aliyefukuzwa kwenye taasisi uliyopo. Kazingua aisee sio kidogo. Alitakiwa mambo za manara aziskip na kuhojiwa hojiwa hata insta live wasiingie aisee
Adui yako hawezi kuwa adui yao yeye kumsifia manara ni jambo lake binafsi ila kuimanisha akili yako kuwa ni msiliti ni akili yako tu
 
Mwamedi abembelezwe maana anataka yeye kugombana na manara kila mtu agombane nae
 
Kama ana ujasiri wa kuingilia privacy ya mchezaji waziwazi vp huko ndani si ndo anawafokea kama watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…