Mo Dewji akerwa na Clatous Chama baada ya kumsifia Haji Manara Instagram Live

Uskute Mo anadanganyika na zile nyomi za Simba

Pale kuna mashabiki upepo tu wengine walivutwa na shombo za manara kwa Yanga

Sasa sikilizia soon ndio mtaelewa Yanga ni ya wananchi[emoji1787]
 
Mimi nimeona Inst boss.Chama ana uhuru wa kuwasiliana na mtu yeyoye na kusema lolote analojisikia (freedom of Speech)ilimrad asivunje tu sheria za nchi.
Ni ujinga kwa mchezaji wakati huu wa mgogoro kujionesha upo upande fulani.
Yaani unamsapoti Kiongozi flani ktk mgogoro.
Hasa ambaye hakulipi chochote.

La vunja mkataba umfuate huko alipo ukanywe naye chai.

Chama kazingua sana.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Boss kachokwaa sema wanashindwaa kumwambia na Ukiona chama kafanya vile jua ameshajipanga kuwa likitokea lolote jambo anapo pakuegemea...!!
 
Ulichoandika hapa kama ndo umemaliza akili yote basi wewe ni zaidi ya Mpuuzi.
 
Sisi team roho mbaya ngoja tuendelee kumchochea Mo mpaka akimbie mwenyewe
 
Acha porojo hujui kitu
 
Kama hufuatilii mambo ya Mpira kaa kimya
 
Huoni kuwa wewe ndio Mpuuzi

manara katumwa kuihujumu timu , kama chama anampenda haji basi aende akalipwe mshahara na haji
Awe katumwa au amejituma sijaongelea hilo. Naongelea lugha ya kishenzi ya mtu kujifanya mtukanaji anawaita wenye mawazo tofauti na yake Machoko.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Boss kachokwaa sema wanashindwaa kumwambia na Ukiona chama kafanya vile jua ameshajipanga kuwa likitokea lolote jambo anapo pakuegemea...!!
Unamchokaje anayekulipa
Mshahara ?
Labda useme umeuchoka
mshahara.
Na umejipanga kwenda kucheza Yanga.
 
Yaab ndio maana yake boss havimbiwii unless una alternative...!!
Bosi ni lazima aheshimiwe la sivyo anakukatia umeme unabaki kulialia kama yule jamaa.
La katafute kazi kwingine
 
Yaani wewe ni Ng'ombe kabisa. Kichwani huna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…