antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hapo sawa..Kila Raisi anakua na mfumo wake wawadeshaji Jiwe alitumia mbinu ya ubabe kwa kutumia state apparatus
Ila usisingizie deepstate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawa..Kila Raisi anakua na mfumo wake wawadeshaji Jiwe alitumia mbinu ya ubabe kwa kutumia state apparatus
Kama ni wachache namna hiyo ndani ya watu mililion 65+, basi nachelea kusema kuwa watakuwa ni binadamu wa pekee sana na ambao ubinadamu wao unaweza ukawa una qualities za juu sana mithili ya walivyo malaika wa mbinguni. Na kwa sababu hiyo naweza kusema kuwa katika hili binadamu wa aina hii hawawezi kuwa walihusika. Wahusike, lilikuwa na tija gani kwa Taifa?Deepstate inakua na watu wasio zidi watano, huyu Mo hawezi kua kwenye system ya deepstate hata kuisogelea
Mkuu mipango na siri za nchi zinatunzwa na hao watu, mpaka sasa wana jua Raisi gani afuate baada ya huyu aliopo ni watiifu sana kwa nchi yao,Kama ni wachache namna hiyo ndani ya watu mililion 65+, basi nachelea kusema kuwa watakuwa ni binadamu wa pekee sana na ambao ubinadamu wao unaweza ukawa una qualities za juu sana mithili ya walivyo malaika wa mbinguni. Na kwa sababu hiyo naweza kusema kuwa katika hili binadamu wa aina hii hawawezi kuwa walihusika. Wahusike, lilikuwa na tija gani kwa Taifa?
Kwa maelelzo yako ninachoweza kusema kingine hapa ni kwamba hawa ni watu ambao kazi yako kubwa itakuwa ni kuahkiikisha kuwa pale inapowezekana, yale yaliyo positive tu ndiyo yanawotokea waTanzania na zaidi kuhakikisha kuwa mTanzania mmoja mahali fulani anaendelea kupumua leo, wakati kumbe alitakiwa awe hayupo tumeshamsahau miaka kadhaa iliyopita. Hiki ndiyo kitu pekee ambacho naweza ku-infer kutoka kwenye maelezo yako
Wee malaya wa ccm bado upo humu tu??Chadema walimteka Mo na kumpiga Lisu ili kumharibia Magufuli kimataifa lakini ndiyo kwanza akapaa kimataifa hadi umoja wa mataifa wakalilia kifo chake
Kwani nani kakupangia kumpenda magufuli? Ila ukimuita shetani tuliyompenda tutakuona wewe ndio shetani. Uliona jinsi kifo cha jpm kilivyowaliza wengi. Wewe bila shaka watakulilia familia yako tu.Mungu anajuwa shetani ni yupi kati ya mimi na huyo mungu wako Magufuli unayemuabudu pamoja na kwamba amebakia mifupa. Wewe uliyechagua kumuabudu endelea, mimi niliyechagua kumchukia nitamchukia milele. Tusipangiane mtu wa kumpenda
Eti alilindwa na wanyarwanda? Ni uongo na ujinga tu. Mnajidai eti kuna kitu deep state. Uongo mtupu. Nyie cheti feki ni shiida. Maana lazima mjifanye mnajua😂😂Tusisingizie deep state kila kitu. Yale yalikuwa mambo binafsi ya Magufuli including kulindwa na askari wa kutoka RWANDA. Na ndiyo maana alipokufa tu nao wakatokomea kurudi kwao. Yule mtu alikuwa na mambo ya KIHAYAWANI sana
Foolish man.Chadema walimteka Mo na kumpiga Lisu ili kumharibia Magufuli kimataifa lakini ndiyo kwanza akapaa kimataifa hadi umoja wa mataifa wakalilia kifo chake
Hizi sentensi za kipumbaff huwa zinatoka vichwani mwenu mkiwa wazima au mmevuta bangi?Utetezi wa kijinga sana.Mo Dewji atekwe na system kwa lipi? Angeweza au anaweza kuifanya nini nchi hii? Maana mambo mengine tunayajadili bila ku reason. Namuona ni 'msoftiii' tu anayeweza kucheza na akili za wana simba na biashara zake. 🙏🙏🙏
Lazima awe Bakhresa ndiyo uwe na imani?Kwanini Mo na si Bakhresa?
Cheti feki tunaanza na huyo "maliyemu" wenu.Kwa nini alipoulizwa na Ben Saanane kuhusu uhalali wa PhD yake akang'aka na muulizaji kupotea?Maliyemu ndiye alikuwa kilaza na mfoji cheti namba moja.Nyie wenye vyeti feki mnashida
Umeng'ang'ana Magufuli! Kwani Dkt Ulimboka mbona alitekwa? Hayo yapo tu mzee ata kesho na kesho kutwa yanatokea kwa yoyote tuKama Deep state zina operate kiuzembe namna Ile basi Tanzania ilikuwa nchi ya hovyo kuliko hata Burkina Faso. Ile ilikuwa ni rogue unit within the system ambayo ilikuwa inawajibika kwa Magufuli Moja kwa Moja
Kumbe ni suala la imani?Lazima awe Bakhresa ndiyo uwe na imani?
Usipige kelele jenga hoja. Kuwa scientific tu eleza yaani kuna evidence hatarishi ipi kwa nchi ambayo Mo ilibidi atekwe, weka hapa. Wakati mwengine mnajiandikia upuuzi tu kutaja taja system! 🙏🙏🙏Hizi sentensi za kipumbaff huwa zinatoka vichwani mwenu mkiwa wazima au mmevuta bangi?Utetezi wa kijinga sana.
Two wrongs do not make one right. Issue ya Ulimboka siyo kihalalishi cha Magufuli kuua watu aliowauaUmeng'ang'ana Magufuli! Kwani Dkt Ulimboka mbona alitekwa? Hayo yapo tu mzee ata kesho na kesho kutwa yanatokea kwa yoyote tu
Inakumbushiwa tu hiyo issue ya Ulimboka ili watu wajue kwamba hayo mambo yapo toka zamani maana wengine wanafikiri yameanza kipindi chaagufuli tu na kudhani asipokuwepo Magufuli basi hayatakuwepo tena.Two wrongs do not make one right. Issue ya Ulimboka siyo kihalalishi cha Magufuli kuua watu aliowaua
Kwa hiyo kwa sababu ulimboka alitekwa kwa hiyo kuteka na kuua halali?Inakumbushiwa tu hiyo issue ya Ulimboka ili watu wajue kwamba hayo mambo yapo toka zamani maana wengine wanafikiri yameanza kipindi chaagufuli tu na kudhani asipokuwepo Magufuli basi hayatakuwepo tena.
Shetani wa Chatto alimruka kamanda Mambosasa mita kumi juuNi miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA.
Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.
View attachment 2392595
Kauli yako na nyingine nyingi kuhusu CHADEMA ni very cheap, lakini kama ingekua hata na chembe kidogo ya ukweli, basi ccm na utawala wote wa serikali si ungekuwa takataka kabisa!?! Kama serikali yenye majeshi, yaliyo weza kumtoa Idd Amini kwenye nchi yake, haiwezi kulinda raia wake, watu wazito kama Mo na Lisu?! Kama serikali hiyo haiwajui watekaji, ambao hata mtu ‘pumbafu’ kama etwege, anawajua, basi, hiyo ni itakuwa serikali takataka au mafi kabisa?!!?Chadema walimteka Mo na kumpiga Lisu ili kumharibia Magufuli kimataifa lakini ndiyo kwanza akapaa kimataifa hadi umoja wa mataifa wakalilia kifo chake
Washenzi tu, wakati wa escrow, epa, Richmond, dowans, mikataba ya kishenzi ya madini na gasi na rasilimali zetu hao unaowaita wenye siri na mipango walikua wapi? Wakati watu wanaondoka na viroba vya pesa, twiga wanapandishwa ndege? Wapo kwa maslahi ya taifa gani? Au maslahi yao na familia zaoMkuu mipango na siri za nchi zinatunzwa na hao watu, mpaka sasa wana jua Raisi gani afuate baada ya huyu aliopo ni watiifu sana kwa nchi yao,
Akichaguliwa Raisi ndo anakua mpya au mgeni pale anapewa somo na kiapo kwanza na kufanyia mambo furani kwanza, nchi sio mchezo wewe acha tu.