Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

Tumia lugha ya kiume
Wewe ulisemaje kuhusu kuhangaika na mambo ya jirani?
Screenshot_20230711-143507.png
 
mo ndio mhujumu namba Moja wa Simba na ndio chanzo cha migogoro.
Ana watu wake kupitia bodi ya Simba,alimleta Hadi Mtendaji mkuu kutoka kwake, alihonga sana ili awe mwekezaj wa pekee Simba na Bado amekuwa anajitukuza yeye binafsi badala ya Simba maana utakuta kwenye magazeti mo ameingilia usajili Simba kwa na hii tabia ameianza Toka enzi Mkwabi akiwa mwenyekiti.
kwa hatua iliyofikia Simba haiwezi kukosa mwekezaji kwani Simba ni brand inayojiuza.
 
Back
Top Bottom