Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulisemaje kuhusu kuhangaika na mambo ya jirani?Tumia lugha ya kiume
Na kweli.Wanasimba wana kazi mbili, kushabikia timu na kumbembeleza tajiri wao asikate tamaa
Kwangu pako shwari umesikia GSM ana lalamika?Wewe ulisemaje kuhusu kuhangaika na mambo ya jirani?View attachment 2684888
Mropokaji kiaje wakati anaeleza hali halisi?Iwe tu kaongea kwa mzaha au kwa makusudi fulani ku catch attention ila kama yupo serious atakuwa MJINGA na MLOPOKAJI.
Imepenya hioHizi ni tabia za kike. Inabidi Mo aondoke kwenye avatar yangu
Mshaanza kuleta tafsiri zenu,mwezenu anateketeza fedha nyie mnaleta maneno.Iwe tu kaongea kwa mzaha au kwa makusudi fulani ku catch attention ila kama yupo serious atakuwa MJINGA na MLOPOKAJI.
Pako shwari na wakati CEO wenu yupo katika hatua za mwisho kurusha taulo. Au unafikiri hatujui?Kwangu pako shwari umesikia GSM ana lalamika?
Utakula wapi sasa Chawa kama Chawa?Hizi ni tabia za kike. Inabidi Mo aondoke kwenye avatar yangu
Pambabeni nae...kila mtu ashinde mechi zakeNipo mkuu.
Nafanya usajili wa namba 6 na kazi ya kumbembeleza Mayele, naye anapenda kubembelezwa kama Mo.
mbona hii tweet haionekani kwenye account ya mo dewj mwenyew? au alipost akafuta?Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa.
View attachment 2684802
😂😂😂 Sasa sisi sindo tunasusa kabisaDOH KAMA TAJIRI ANAKATA TAMAA.. DUNIANI KUGUMU