SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
- Thread starter
- #81
Yanga kuwa na goli hata moja la kufungwa kuzidi Simba baada ya mechi zote hizi ni ishara kuwa Yanga haina ubora wa kiwango hiko unachotamba nacho.Eti timu Bora kwa takwimu,,mbona umekimbilia timu iliyofungwa magoli machache wakati mmeruhusu 8 yanga karuhusu 9 kwaiyo iyo tofauti ya goli Moja ndio ubora?
Mmefunga magoli mangapi na yanga kafunga mangapi?
Yanga kuishia makundi klabu bingwa na wewe kuendelea kuwepo kule kwenye wamama cup sio kigezo cha ubora wa Simba kaangalie uzito wa michuano husika ambayo Kila timu ilikuwa inashiriki ndio uongee,, yanga uko alifika fainali na Wala awaringi!
Tengenezeni timu msijifariji ubora wa Simba uwezi kulinganisha na ubora wa yanga ata ukimuuliza kichaa atakwambia acha kukaza fuvu!
Hiyo tofauti ya magoli ya kufunga ndiyo hoja ya udhamini ndiyo inaingia hapo. Sikutegemea ungekwenda huko.
Kwa rank za CAF, Simba ni bora kuliko timu zote zilizokuwa katika kundi la Yanga. Sfaxien, Costantine na Al Ahly Tripoli ya Mabululu ndiyo unataka kulinganisha na Vital'O, Marumo Galaxy na Bamako?
Na lini ulibadili jinsia maana kombe hilo hilo la wamama ulishiriki na unatamba kufika fainali.