kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Yupo bize na Uzi wa KIBU vs mayeleOKW BOBAN SUNZU yeye anasemaje kuhusu Bill 20?
Wapi hao? Wa kutoka wapi?ASEPE KAMA VIPI waje watu wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazo zuri, ila sidhani kama atakubaliAkiona anapata hasara auze baadhi ya hisa ili wachangie na wengine.
Hataki aiache timu aache kulalama..Mtani Kalpana umeiona hii? Mnamfirisi mtoto wa watu..!!! GENTAMYCINE mchangieni mwenzenu, mmemtia hasara vya kutosha..!!
MTANI, Kalpana YAANI MNATAKA MKIMTIA HARA AKAE TU KIMYA..!!!??Hataki aiache timu aache kulalama..
Huyu ni Ashura Zungu tuHuu ni ukweli.
Kuna mtu alikuwa ameajiriwa na Mo siku hizi amamuita "Mudi" kama njia ya mzunguko ya kumshusha hadhi yake. Lakini ukweli unabaki kuwa ukweli kwamba Mo anao uwezo wa kuiajiri familia yao yote na kuwalipa mshahara mpaka mwisho wa maisha yao!!
Ukiona hataki kuiacha ujue anapata faida kubwa kuliko hyo hasara anayoisema public..kwanza yy kuwepo Simba tuu kunampa vitu vingi hata kama sio hela..vinaboost biashara yake kinamna moja au nyingineMTANI, Kalpana YAANI MNATAKA MKIMTIA HARA AKAE TU KIMYA..!!!??
Akiona Simba imepata matokeo mazuri anatengeneza mazingira ya kuonesha kuwa inamtia hasara. Lengo ni kuwapata mapato ya Champions League kwa kuwaogopesha Wanasimba waone kuwa yeye ndio anayeibeba timu. Hii tabia si nzuri kabisa. Mbona walipofungwa na Raja hakusema yote haya.Tajiri kwa kulalamika huyu
Huyo hana hizo shobo anajua kula na kipofu!Iko siku tutasikia haya toka kwa GSM, na huu ndiyo ukweli!!