kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
“Nimewekeza kwenye @SimbaSCTanzania sio kwaajili ya pesa, huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana ni bilioni 20 lakini tukifanya mahesabu imefika labda bilioni 50 ambazo nimewekeza, kama ningependa raha au kitu kingine bilioni 50 ningenunua hata ndege,” @moodewji, Rais wa heshima wa simba
Mooo kwanini huwa anajitokeza tukishapiga hela?
Mooo kwanini huwa anajitokeza tukishapiga hela?