Mo ni boss kichechefu anakamua tu Simba; Simba brand kubwa kama hutaki kuweka pesa tuachie timu yetu

PLOII

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,126
Reaction score
849
Salute kwenu Wana Lunyasi!
Niende kwenye Mada,

Mashabiki na wanachama wa Simba tunamkosea Sana Mangungu. Huyu ni kiongozi yupo kama kipofu hata ukimvutia shimoni anaenda maana haoni.

Kipindi Simba ipo kwenye peak tulipitisha katiba kwa bashasha na Bodi ya Wakurugenzi ikapewa Meno kuliko viongozi wanaotokana na wanachama.

Mo na Timu yake ndio wanatoa ajira Kwa CEO sasa sijui MASLAHI ya wanachama yanalindwa na Nani maana Mangungu sio signatory. Ni bahati mbaya Mangungu kawa gubegube hasemi ukweli kuwa yeye ni debe tupu akina Try again ndio wenye nguvu ndani ya Simba.

Mwaka huu Simba imevuna Pesa kiasi na tunacheza CAFCL MO tunataka vyuma kweli mbona matajiri wengine akina Bakhresa na GSM wanaweka pesa huyu WA kwetu mbona kawa takataka maneno mengi tukisema Sana anasusa haya achia Timu hataki. Honestly we were much better compared at his regime/ time.

Boss gani kila siku unasajili Kwa wasiwasi hadi sasa kutoa 800M Fei atue Msimbazi kashindwa anasubili Mabululu avunjike mguu ndio akamlete amejaa vyuma Kwa 80M.

Hapo Simba foreigners ni 4 Kwa kusaidia kuwajua;
(I) Camara- ambaye nae Kwa sasa kalewa sifa vipengele vingi.

(ii) Mpanzu

(iii) Kalaboue - at least

(iv) Mkwala - at least
Wengine ni matapeli wafukuzwe haraka hawana Kazi wanafanya pale.
Waondoe haraka hata kipindi hatuna udhamini wako hatujawahi kuwa wanachezaji wengi ndani ya kikosi matapeli kama hawa WA kwako.

Mo badilika kaongee na Bakhresa na GSM wao hiyo courage wanatoa wapi...
Otherwise Baba kaa pembeni investors wapo wengi Boss bahili wa Kazi gani tumechoka vipigo Ngao ya jamii sio mbali tusije Lia tena.

​
 
Ila wana lunyasi kwa lawama 🙌🙌

Tatizo la Simba linaanzia kwa mashabiki maandazi halafu linakuja kwa viongozi.

MO alitoa B 7 tena hapo kuna watakaovunkiwa mkataba na kulipa fidia miaka 4 mfululizo unadhani ni rahisi?
 
Asipokamua yeye, watakamua wengine.
Hata siku mpja mnaojiita wenye simba, haitakaa utokee mgawo hata wa 100.

Mtaendelea kuteswa na michango, viingilio na kushangilia au kuchukizwa mkifungwa😂😂
 
Mangungu anawakilisha wanachama ambao hisa zao ni 51%, kwa hiyo ni signatory wa hela 51% wanazitakiwa waweke wanachama. Je, wanachama mmeshaweka sh. ngapi?
Pesa za wanachama

  • Ada ya mwaka
  • Jezi
  • Matangazo kwenye jezi
  • Pesa ya mdhamini mkuu, NBC
  • Pesa ya CAF
  • Pesa ya mdhamini wa timu, Mbet
  • Wapangaji wa HQ Kariakoo.
  • Pesa ya Maudhui, Azam
  • Pesa ya matangazo, Azam

Hizo pesa zooote zinaenda wapi, maana hata siku moja huwezi kuzisikia kwenye HESABU
 
Awaachie Team ki vp wakati ameshainunua Team....!?

Wewe Kazi Yako ni kushangilia team ikifanya vizuri, na kulia Team ikifanya Vibaya, hiyo ndiyo kazi ya Shabiki wa Simba.....!

Kwa Team kama Yanga, Shabiki ni sehemu ya umiriki wa Team.
 
Mangungu anawakilisha wanachama ambao hisa zao ni 51%, kwa hiyo ni signatory wa hela 51% wanazitakiwa waweke wanachama. Je, wanachama mmeshaweka sh. ngapi?
Wanachama wapi hao ?
5000 kupata card ya Simba ni ngumu kuliko kumtafuta kangaroo. Mangungu sio signatory yupo Mwenyekiti jina with no machinery & power.
 
Pesa za wanachama

  • Ada ya mwaka
  • Jezi
  • Matangazo kwenye jezi
  • Pesa ya mdhamini mkuu, NBC
  • Pesa ya CAF
  • Pesa ya mdhamini wa timu, Mbet
  • Wapangaji wa HQ Kariakoo.

Hizo pesa zooote zinaenda wapi, maana hata siku moja huwezi kuzisikia kwenye HESABU
Hizo ni za joint, mwekezaji na wanachama. Anapoweka 49% na ninyi muweke 51% ili hivyo ulivyotaja mje kugawana kwa uwiano huo. Yaani ulitaka wanachama muwe mnapata tu hela za wadhamini na zawadi, halafu mwekezaji awe anasajili na kulipa mishahara? Huo ubia gani duniani?
 
Ila wana lunyasi kwa lawama 🙌🙌

Tatizo la Simba linaanzia kwa mashabiki maandazi halafu linakuja kwa viongozi.

MO alitoa B 7 tena hapo kuna watakaovunkiwa mkataba na kulipa fidia miaka 4 mfululizo unadhani ni rahisi?
Uliziona ?
Kwa akili zako 7B Kwa kikosi kile.... ?
Use ordinary senses for normal issues
 
Wanachama wapi hao ?
5000 kupata card ya Simba ni ngumu kuliko kumtafuta kangaroo. Mangungu sio signatory yupo Mwenyekiti jina with no machinery & power.
Ndio hao wachache watakaofaidi gawio. Usifikiri wanaobana usajili wa wanachama wapya hawana akili, wsna maana yao.
 
Awaachie Team ki vp wakati ameshainunua Team....!?

Wewe Kazi Yako ni kushangilia team ikifanya vizuri, na kulia Team ikifanya Vibaya, hiyo ndiyo kazi ya Shabiki wa Simba.....!

Kwa Team kama Yanga, Shabiki ni sehemu ya umiriki wa Team.
Sio muda mtaona Shoo .
Bahati watu wenu waliopo Serikalini wanajua kuwapambania sisi tuna Kigwangala tu wengine wote wapo busy na business zao.
 
Hizo ni za joint, mwekezaji na wanachama. Anapoweka 49% na ninyi muweke 51% ili hivyo ulivyotaja mje kugawana kwa uwiano huo. Yaani ulitaka wanachama muwe mnapata tu hela za wadhamini na zawadi, halafu mwekezaji awe anasajili na kulipa mishahara? Huo ubia gani duniani?
Joint kwani Mo alikuwa na kiasi gani cha thamani ya Simba kabla ya kuja kununua hisa??

Wanachama waweke pesa ya nini?

Yeye ndio anataka umiliki 49% peke yake milele ndio anazilipia, au akija kutaka anaziuza. Wakati wanachma wataendea kulipia kadi milele, maana yake itakuwa ziadi ya hizo pesa.

Wanachama wanamili BRAND ya Simba, ndio maana amekuja, kam nendo Simba halina maana kwanimi hakwenda kunua Namungo.

Hiyo thamani liyomleta ndio hiyo 51%.
 
Hivi nani aliyekukaririsha kwamba kigezo Cha kugundua Simba ni mbovu kuwa ni kufungwa na Yanga?
Simba hii ni miongoni mwa timu Bora zaidi barani Afrika kwa sasa. Ndio ukweli huyo hata kama hutaki.
Nb.
Hakuna msimu Simba imewahi kufanya vizuri zaidi tofauti na Simba hii chini ya Mo kwenye misimu sita iliyopita.
Simba nguvu moja!
 
Back
Top Bottom