kidonto
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 2,322
- 3,604
Amka Mkuu, Simba ilishauzwa.Sio muda mtaona Shoo .
Bahati watu wenu waliopo Serikalini wanajua kuwapambania sisi tuna Kigwangala tu wengine wote wapo busy na business zao.
Amka Mkuu, Simba ilishauzwa.Sio muda mtaona Shoo .
Bahati watu wenu waliopo Serikalini wanajua kuwapambania sisi tuna Kigwangala tu wengine wote wapo busy na business zao.
Huo ugumu umetengenezwa kimkakati, usifikiri hawawezi kugawa kadi kama Yanga. Sasa ulitaka wanachama wawe laki sita, halafu kafaida wanagawanaje? Wengine wabaki kuwa washangiliaji tu, wenye haki wakiwa wengi makelele yanaongezekaWanachama wapi hao ?
5000 kupata card ya Simba ni ngumu kuliko kumtafuta kangaroo. Mangungu sio signatory yupo Mwenyekiti jina with no machinery & power.
Tulishawahi kucheza Finali CAF bila Mo alichosaidia ni kufungwa na Yanga 5x consecutively.Hivi nani aliyekukaririsha kwamba kigezo Cha kugundua Simba ni mbovu kuwa ni kufungwa na Yanga?
Simba hii ni miongoni mwa timu Bora zaidi barani Afrika kwa sasa. Ndio ukweli huyo hata kama hutaki.
Nb.
Hakuna msimu Simba imewahi kufanya vizuri zaidi tofauti na Simba hii chini ya Mo kwenye misimu sita iliyopita.
Simba nguvu moja!
Kanjibai hawezi toa B 7 wewe. Hizo ni figure za kwenye Tv tuIla wana lunyasi kwa lawama 🙌🙌
Tatizo la Simba linaanzia kwa mashabiki maandazi halafu linakuja kwa viongozi.
MO alitoa B 7 tena hapo kuna watakaovunkiwa mkataba na kulipa fidia miaka 4 mfululizo unadhani ni rahisi?
Hapo inabidi uongeze nyingine 99 ziwe nguvu mia sio Moja tena maana Moja Haina kituHivi nani aliyekukaririsha kwamba kigezo Cha kugundua Simba ni mbovu kuwa ni kufungwa na Yanga?
Simba hii ni miongoni mwa timu Bora zaidi barani Afrika kwa sasa. Ndio ukweli huyo hata kama hutaki.
Nb.
Hakuna msimu Simba imewahi kufanya vizuri zaidi tofauti na Simba hii chini ya Mo kwenye misimu sita iliyopita.
Simba nguvu moja!
Unaweza ukanikumbusha kikombe ambacho tumepata/ stage tuliyofika Kwa sasa we didn't reach before Kanjibai?Mtoa post na Wajinga wenzio acheni ulevi...Waambie hao Simba waanike balance sheet yao tuone kama wana-run timu kwa faida....
Hii Simba yako ilianzishwa miaka takriban 90 iliyopita..
Kabla ya ujio wa MO Dewji ili-achieve nini huko nyuma kabla ya Mo.
Nyie ndie vile vihuni-kunuka jezi..
Yaani wewe ndio una uchungu na timu kuliko anayetapanya mabilioni yake...
Hivi kweli wewe kwa akili zako (kama hujakaririshwa) unafikiri Mo hawezi kuuza bidhaa zake bila kujihusisha na Simba..
Yaani ndio nyie football inspirational speakers.......Kwamba ooh Simba ni brand kubwa.....ina fans hai milioni 4....
kila shabiki akihamasishwa vizuri achangie japo elfu moja tu kwa mwezi....Club itakusanya bilioni 4 kwa kila mwezi...hivyo kwa hesabu ya harakax2 kila mwaka inauhakika wa kupata 40 bilioni...
Kwanza fedha ya hizo Hisa 49% ameshatoa? Na kama ametoa ziko Bank ipi? Tuanzie hapo kwanza.Joint kwani Mo alikuwa na kiasi gani cha thamani ya Simba kabla ya kuja kununua hisa??
Wanachama waweke pesa ya nini?
Yeye ndio anataka umiliki 49% peke yake milele ndio anazilipia, au akija kutaka anaziuza. Wakati wanachma wataendea kulipia kadi milele, maana yake itakuwa ziadi ya hizo pesa.
Wanachama wanamili BRAND ya Simba, ndio maana amekuja, kam nendo Simba halina maana kwanimi hakwenda kunua Namungo.
Hiyo thamani liyomleta ndio hiyo 51%.
Kwenye katiba yenu kuna mkurugenzi wa wanachama kwanini Hadi leo hajachaguliwa?Salute kwenu Wana Lunyasi!
Niende kwenye Mada,
Mashabiki na wanachama wa Simba tunamkosea Sana Mangungu. Huyu ni kiongozi yupo kama kipofu hata ukimvutia shimoni anaenda maana haoni.
Kipindi Simba ipo kwenye peak tulipitisha katiba kwa bashasha na Bodi ya Wakurugenzi ikapewa Meno kuliko viongozi wanaotokana na wanachama.
Mo na Timu yake ndio wanatoa ajira Kwa CEO sasa sijui MASLAHI ya wanachama yanalindwa na Nani maana Mangungu sio signatory. Ni bahati mbaya Mangungu kawa gubegube hasemi ukweli kuwa yeye ni debe tupu akina Try again ndio wenye nguvu ndani ya Simba.
Mwaka huu Simba imevuna Pesa kiasi na tunacheza CAFCL MO tunataka vyuma kweli mbona matajiri wengine akina Bakhresa na GSM wanaweka pesa huyu WA kwetu mbona kawa takataka maneno mengi tukisema Sana anasusa haya achia Timu hataki. Honestly we were much better compared at his regime/ time.
Boss gani kila siku unasajili Kwa wasiwasi hadi sasa kutoa 800M Fei atue Msimbazi kashindwa anasubili Mabululu avunjike mguu ndio akamlete amejaa vyuma Kwa 80M.
Hapo Simba foreigners ni 4 Kwa kusaidia kuwajua;
(I) Camara- ambaye nae Kwa sasa kalewa sifa vipengele vingi.
(ii) Mpanzu
(iii) Kalaboue - at least
(iv) Mkwala - at least
Wengine ni matapeli wafukuzwe haraka hawana Kazi wanafanya pale.
Waondoe haraka hata kipindi hatuna udhamini wako hatujawahi kuwa wanachezaji wengi ndani ya kikosi matapeli kama hawa WA kwako.
Mo badilika kaongee na Bakhresa na GSM wao hiyo courage wanatoa wapi...
Otherwise Baba kaa pembeni investors wapo wengi Boss bahili wa Kazi gani tumechoka vipigo Ngao ya jamii sio mbali tusije Lia tena.
Shida ya SIMBA ni Mo na Timu yake anakwambia Kuna watu wanakwamisha mchakato wa transformation huku yeye ndio top like Simba ni mali yake. Leo SIMBA haifanyi usajili wa wanachama wapya. Watu wengi ndani ya SIMBA sio Wanachama ni mashabiki na hawa wote wanapenda wawe wanachama lakini milango imefungwa.Kwenye katiba yenu kuna mkurugenzi wa wanachama kwanini Hadi leo hajachaguliwa?
Mkurugenzi wa wanachama huyu ndiye mwenye mamlaka na nguvu kuliko mwenyekiti wa Simba, nyie mna jamba jamba tena kwa kuminya mishuzi ili milio isisikike
Muwekezaji wa Simba SC hakitaki hicho cheo cha mkurugenzi wa wanachama kifanye kazi yake kikatiba?
Tatizo la Simba SC ni wanachama katiba yenu siyo mbaya sana, wanachama hamna uthubutu chanya, badala yake mnashinda nyuma ya mikamera
Hoja yangu iko pale pale ya kwamba tatizo la Simba SC ni wanachama ambao hawawezi kuthubutu kuuwajibisha huo uongozi chini ya Mo DewijiShida ya SIMBA ni Mo na Timu yake anakwambia Kuna watu wanakwamisha mchakato wa transformation huku yeye ndio top like Simba ni mali yake. Leo SIMBA haifanyi usajili wa wanachama wapya. Watu wengi ndani ya SIMBA sio Wanachama ni mashabiki na hawa wote wanapenda wawe wanachama lakini milango imefungwa.
Umewahi kujishughulisha hata kidogo kupekua bajeti ya klabu (mapato na matumizi) walau kwa miaka miwili iliyopita?Hizo pesa zooote zinaenda wapi, maana hata siku moja huwezi kuzisikia kwenye HESABU
Huwa naona mapato na matumizi ya Yanga tu.Umewahi kujishughulisha hata kidogo kupekua bajeti ya klabu (mapato na matumizi) walau kwa miaka miwili iliyopita?
V.I.P pointHoja yangu iko pale pale ya kwamba tatizo la Simba SC ni wanachama ambao hawawezi kuthubutu kuuwajibisha huo uongozi chini ya Mo Dewiji
Hitimisho ni bora kuanza upya bila kutegemea muwekezaji ambaye amejitoa ufahamu kukumbatia masilahi binafsi kwa kutumia kauli mbio inayo pumbumbaza wanachama na wapenzi wa Simba, ya Simbaaa! nguvu moja, (nguvu moyaaa!)
Angalizo Mo Dewiji hawezi kujiondoa mwenyewe kwasababu na yeye ana malengo yake