Mo ni boss kichechefu anakamua tu Simba; Simba brand kubwa kama hutaki kuweka pesa tuachie timu yetu

Mo ni boss kichechefu anakamua tu Simba; Simba brand kubwa kama hutaki kuweka pesa tuachie timu yetu

Ila wana lunyasi kwa lawama 🙌🙌

Tatizo la Simba linaanzia kwa mashabiki maandazi halafu linakuja kwa viongozi.

MO alitoa B 7 tena hapo kuna watakaovunkiwa mkataba na kulipa fidia miaka 4 mfululizo unadhani ni rahisi?
Na wewe unaamini hao wachezaji walisajiliwa kwa bilioni saba.
 
Joint kwani Mo alikuwa na kiasi gani cha thamani ya Simba kabla ya kuja kununua hisa??

Wanachama waweke pesa ya nini?

Yeye ndio anataka umiliki 49% peke yake milele ndio anazilipia, au akija kutaka anaziuza. Wakati wanachma wataendea kulipia kadi milele, maana yake itakuwa ziadi ya hizo pesa.


Wanachama wanamili BRAND ya Simba, ndio maana amekuja, kam nendo Simba halina maana kwanimi hakwenda kunua Namungo.

Hiyo thamani liyomleta ndio hiyo 51%.
Wengine wanaongea bila kujua, Simba ilikuwa inamilikiwa na wanachama asilimia 100 mtu kaja kununua asilimia 49 itakuwaje wanachama walipie hisa zao?
 
Back
Top Bottom