Mo ni boss kichechefu anakamua tu Simba; Simba brand kubwa kama hutaki kuweka pesa tuachie timu yetu

Sio muda mtaona Shoo .
Bahati watu wenu waliopo Serikalini wanajua kuwapambania sisi tuna Kigwangala tu wengine wote wapo busy na business zao.
Amka Mkuu, Simba ilishauzwa.
 
Wanachama wapi hao ?
5000 kupata card ya Simba ni ngumu kuliko kumtafuta kangaroo. Mangungu sio signatory yupo Mwenyekiti jina with no machinery & power.
Huo ugumu umetengenezwa kimkakati, usifikiri hawawezi kugawa kadi kama Yanga. Sasa ulitaka wanachama wawe laki sita, halafu kafaida wanagawanaje? Wengine wabaki kuwa washangiliaji tu, wenye haki wakiwa wengi makelele yanaongezeka
 
October tunaenda na Prof Samia kiongozi wa kasi na ubunifu. [emoji1621][emoji1621]

Miradi mizito, Mafanikio ni kila kona: diplomasia, uchumi, kilimo, afya, na uwekezaji
huku sauti ya Tanzania ikisikika dunia nzima.

Tuna kila sababu za kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan profesa wa siasa na uongozi

Oktoba ni mitano tena bila kupinga!

#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
 
Tulishawahi kucheza Finali CAF bila Mo alichosaidia ni kufungwa na Yanga 5x consecutively.
 
Ila wana lunyasi kwa lawama 🙌🙌

Tatizo la Simba linaanzia kwa mashabiki maandazi halafu linakuja kwa viongozi.

MO alitoa B 7 tena hapo kuna watakaovunkiwa mkataba na kulipa fidia miaka 4 mfululizo unadhani ni rahisi?
Kanjibai hawezi toa B 7 wewe. Hizo ni figure za kwenye Tv tu
 
Hapo inabidi uongeze nyingine 99 ziwe nguvu mia sio Moja tena maana Moja Haina kitu
 
Mtoa post na Wajinga wenzio acheni ulevi...Waambie hao Simba waanike balance sheet yao tuone kama wana-run timu kwa faida....

Hii Simba yako ilianzishwa miaka takriban 90 iliyopita..
Kabla ya ujio wa MO Dewji ili-achieve nini huko nyuma kabla ya Mo.

Nyie ndie vile vihuni-kunuka jezi..
Yaani wewe ndio una uchungu na timu kuliko anayetapanya mabilioni yake...

Hivi kweli wewe kwa akili zako (kama hujakaririshwa) unafikiri Mo hawezi kuuza bidhaa zake bila kujihusisha na Simba..

Yaani ndio nyie football inspirational speakers.......Kwamba ooh Simba ni  brand  kubwa.....ina fans hai milioni 4....
kila shabiki akihamasishwa vizuri achangie japo elfu moja tu kwa mwezi....Club itakusanya bilioni 4 kwa kila mwezi...hivyo kwa hesabu ya harakax2 kila mwaka inauhakika wa kupata 40 bilioni...
 
Unaweza ukanikumbusha kikombe ambacho tumepata/ stage tuliyofika Kwa sasa we didn't reach before Kanjibai?

We need to argue in a serious way, Kanjibai is a parasite is eating silently with no profit to majority shareholder, he is throwing off the scent. SIMBA ilishawahi kucheza Fainali za CAF nothing new we can be proud of... na nini maana ya investor? We need a serious transformation from managerial issues & scouting sio maneno. We did it alone out of your presence so we expect you to add value/ improvement.
 
Mkifungwa na Yanga ndio mnajua Timu hakuna sio haya MO akiwaachia Timu yenu nani afuate..
 
Kwanza fedha ya hizo Hisa 49% ameshatoa? Na kama ametoa ziko Bank ipi? Tuanzie hapo kwanza.
 
Kwenye katiba yenu kuna mkurugenzi wa wanachama kwanini Hadi leo hajachaguliwa?

Mkurugenzi wa wanachama huyu ndiye mwenye mamlaka na nguvu kuliko mwenyekiti wa Simba, nyie mna jamba jamba tena kwa kuminya mishuzi ili milio isisikike

Muwekezaji wa Simba SC hakitaki hicho cheo cha mkurugenzi wa wanachama kifanye kazi yake kikatiba?

Tatizo la Simba SC ni wanachama katiba yenu siyo mbaya sana, wanachama hamna uthubutu chanya, badala yake mnashinda nyuma ya mikamera
 
Shida ya SIMBA ni Mo na Timu yake anakwambia Kuna watu wanakwamisha mchakato wa transformation huku yeye ndio top like Simba ni mali yake. Leo SIMBA haifanyi usajili wa wanachama wapya. Watu wengi ndani ya SIMBA sio Wanachama ni mashabiki na hawa wote wanapenda wawe wanachama lakini milango imefungwa.
 
Hoja yangu iko pale pale ya kwamba tatizo la Simba SC ni wanachama ambao hawawezi kuthubutu kuuwajibisha huo uongozi chini ya Mo Dewiji

Hitimisho ni bora kuanza upya bila kutegemea muwekezaji ambaye amejitoa ufahamu kukumbatia masilahi binafsi kwa kutumia kauli mbio inayo pumbumbaza wanachama na wapenzi wa Simba, ya Simbaaa! nguvu moja, (nguvu moyaaa!)
Angalizo Mo Dewiji hawezi kujiondoa mwenyewe kwasababu na yeye ana malengo yake
 
Hizo pesa zooote zinaenda wapi, maana hata siku moja huwezi kuzisikia kwenye HESABU
Umewahi kujishughulisha hata kidogo kupekua bajeti ya klabu (mapato na matumizi) walau kwa miaka miwili iliyopita?
 
Umewahi kujishughulisha hata kidogo kupekua bajeti ya klabu (mapato na matumizi) walau kwa miaka miwili iliyopita?
Huwa naona mapato na matumizi ya Yanga tu.

Ya Simba sijawahi kuyaona

 
V.I.P point
 
Umewahi kujishughulisha hata kidogo kupekua bajeti ya klabu (mapato na matumizi) walau kwa miaka miwili iliyopita?
Huwa tunasomewa Kila Mwaka of which is unrealistic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…