Mo ni boss kichechefu anakamua tu Simba; Simba brand kubwa kama hutaki kuweka pesa tuachie timu yetu

Ila wana lunyasi kwa lawama πŸ™ŒπŸ™Œ

Tatizo la Simba linaanzia kwa mashabiki maandazi halafu linakuja kwa viongozi.

MO alitoa B 7 tena hapo kuna watakaovunkiwa mkataba na kulipa fidia miaka 4 mfululizo unadhani ni rahisi?
Na wewe unaamini hao wachezaji walisajiliwa kwa bilioni saba.
 
Wengine wanaongea bila kujua, Simba ilikuwa inamilikiwa na wanachama asilimia 100 mtu kaja kununua asilimia 49 itakuwaje wanachama walipie hisa zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…