Bosspraise
Member
- Feb 10, 2020
- 98
- 74
- Thread starter
-
- #21
VITU VYA KUWA NAVYO ILI UPATE KIBALI CHA UJENZI
ππ
Kuwa na michoro ya ramani ya jengo iliyo kamilika,
iwasilishwe ikiwa kwenye majalada kwa namna ambayo inaweza kufunguliwa na kusomeka.
Michoro hiyo iwasilishwe ifuatavyo:-
β’ Seti tatu za michoro ya jengo (Archectural drawing)
β’ Seti mbili za michoro ya vyuma/mihimili (structural drawings) kwa michoro ya ghorofa
MICHORO ILIYOANDALIWA IONYESHE NINI
Michoro itakayoandaliwa inatakiwa ionyeshe mambo yafuatayo:-
ππ» Namna jengo litakavyokuwa (plans, sections, elevations, foundation and roof plan)*
ππ»Namba na eneo la kiwanja kilipo
ππ» Jina la mmilikaji ardhi inayohusika
ππ»Jina la mchoraji, ujuzi na anwani
ππ»Ukubwa wa jengo kwa mita za mraba
ππ» Ujazo wa kiwanja (Plot coverage)
ππ»Uwiano (Plot ratio)
ππ» Matumizi yanayokusudiwa
ππ»Idadi ya maegesho yatakayokuwepo
ππ» Umbali wa jengo kutoka kwenye mipaka ya kiwanja (setbacks)
ππ» Mfumo wa kutoa maji taka hadi kwenye mashimo
VIAMBATANISHO
ππ»Fomu za maombi zilizojazwa kwa usahihi
β’ Hati ya mmiliki wa kiwanja au barua ya toleo
ππ»Kumbumbuku nyingine zinazohusu kiwanja hicho kama hati za mauzo, makabidhiano n.k
ππ» Nakala za risiti ya kodi ya kiwanja na kodi ya majengo
ππ»Mabadiliko ya matumizi ya ardhi
P.s Blchomes tutakuandalia documents zote zinazohitaji kupata kibali cha ujenzi ... zinazotakiwa kuandaliwa na msanifu wa majengo ..
. Na kufatilia kibali cha ujenzi kama utahitaji hiyo huduma dar es salaam.
Wasiliana nasi zaidi 0742892195