Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Karibu tena nyumbani. Kashoggi (rip) masikini yeye hakuweza kurejea! Haya basi tuhadithie hao Wazungu wawili wa Mamboleo wanasema walikutekea nini?
 
unajua masharti aliyopewa na waliomteka?... kama polisi walishindwa kumtafuta, aende huko akafanyeje?... awashukuru watekaji kwa kumuachia salama
 
Mo ametokea Msumbiji kwa miguu!!!
 
Kama hatasema kilichomsibu itakuwa ngumu jamii kimuelewa. Hili swala limetoka private kwenda public..., ila kama tweeter ya kwanza anashukuru jeshi la police kwetu tushasoma uelekeo .... Roma style na kujaribu kuimba vionyimbo uchwara na jamii iliyolichukulia tukio kwa uzito ikiachwa na butwaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…