Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Ni uoga tu.....ili asitekwe tena
Kina maria sarungi wame tweet mpaka baasi!
Wakipaaza sauti "BRING BACK MO" kina TL wameandika mpaka makala!
Zitto Rugaya amepambana mno!
G. Lema kawaita waandishi wa habari kutoa njia mbadala ya kumpata MO!

Mshana Jr akatoa ma conspiracy theory ya abc za utekaji na malengoye!
Pascal Mayalla alishusha nondo hatari! Hii yote ni katika kushinikiza MO apatikane.
IWEJE AMSHUKURU Rais ambaye hatuna ushahidi wa kuguswa kwake na tukio la utekaji?
 
Mtu tangia lini anapatikana kwa ku tweet?
Rais ndi mkuu wa majeshi yote nchini na yeye ndio kila kitu yeye ndio ana saidia na kuwezesha vyombo vya ulinzi.
Rais alikuwa ana wasiliana na Familia ya Mo si mpaka atoe tamko kama ninyi
hahahaha Mmeumia Rais kushukuriwa hahahaha imewachomaaaa
 
Kama familia ya MO ilimtegemea rais ilikuwaje wakatutangazia sisi wnanchi tunaomiliki account za tweeter dau la 1b?!
 
External and internal pressure ndozilio mforce raisi amwachia, Mo alijua kwamba alio idhinisha kuawachiwa kwake ni raisi ndomaana alitowa shukurani za kinafiki kwake.
 
Kama mtu hapatikani kwa ku tweet iweje hao wanausalama wazungumzie wanaowapinga huku mitandaoni? Ukweli ni kwamba alilazimishwa kumtaja huyo asiehusika
 
Ndo script aloandikiwa,lazima amshukuru la sivyo.......
 
Ndiyo Kubwa la Maadui,
Kakuachia uhai utafanya nini zaidi ya Kushukuru,
Masharti ni Kuunga Mkono Juhudi, soon utaona Malipo ya Watekaji (yakiwa kwenye mfumo wa kuunga mkono juhudi)
Huku Wakitegemea Wanamsimbazi nao kujiunga CCM kwa Ushawishi wa Mo.
 
Wote hao uliowataja bila yakuwa na raisi wetu shupavu na imara, wasinge fanya hayo waliyoyafanya. Hivyo baada ya kumshukuru mmoja mmoja ukimshukuru raisi wa awamu hii ya tano, unakuwa umeshukuru kila mmoja hata wewe mwenyewe unajishukuru. Maana ni raisi huyu huyu aliye wawezesha! Sote tumshukuru raisi wetu kwa kuwezesha Bwana Mo kupatikana. Kwanza bila raisi huyu, huenda hao uliowataja wagelikuwa kwenye shughuli nyingine - kwa mfano ufisadi, madawa ya kulevya. Kutakatisha hela- wasingepata mda wa kumkumbuka Mo! Uwe unajiongeza kwa kufikiri kwenda mbele.
 
Wewe nakujibu kipengele cha rushwa!
Ushahidi wa Mh. Nasari kule Arumeru mliufanyia kazi eeh!
 
Anamshukuru "rais" mimi namuuliza "kwa lipi alilokufanyia hali ya kuwa alikuwa anagonga juice na wanandinga pale mjengoni?
Sikumsikia akitamka lolote kutekwa kwako!
Tafadhali sana MO tupe maelezo in a free style mode.
Nadhani hata Lissu alishukuru japokuwa alitakiwa afee!! Kwa risasi.
 
Ndiyo Kubwa la Maadui,
Kakuachia uhai utafanya nini zaidi ya Kushukuru,
Masharti ni Kuunga Mkono Juhudi, soon utaona Malipo ya Watekaji (yakiwa kwenye mfumo wa kuunga mkono juhudi)
Huku Wakitegemea Wanamsimbazi nao kujiunga CCM kwa Ushawishi wa Mo.
Wanaounga mkono juhudi ni wenye tittle za kuchaguliwa na wananchi!
Wananchi wenyewe tunawashangaa mfalme Huhihuhi na mkewe (....)
 
Reactions: prs
Anamshukuru "rais" mimi namuuliza "kwa lipi alilokufanyia hali ya kuwa alikuwa anagonga juice na wanandinga pale mjengoni?
Sikumsikia akitamka lolote kutekwa kwako!
Tafadhali sana MO tupe maelezo in a free style mode.
Mimi mwenyewe nimeshangaa kweli kauli ya kumshukuru raisi sijui kaitoa wapi afu alikua hata hawaangalii usoni!
Wamemfanya kitu kibaya sana
 
Anamshukuru "rais" mimi namuuliza "kwa lipi alilokufanyia hali ya kuwa alikuwa anagonga juice na wanandinga pale mjengoni?
Sikumsikia akitamka lolote kutekwa kwako!
Tafadhali sana MO tupe maelezo in a free style mode.
Mkuu Jogi, Mo yuko right kumshukuru JPM, kwa sababu bila ushirikiano na serikali, asinge lipa ransom na kuachiwa huru.

Marekani hakuna utekaji wa ransom, Wana seal every loose end. Sisi polisi wetu hawana hili wala lile, hivyo kufanikisha biashara hii kufanyika katika ardhi yetu na kumalizika salama.
Tembelea hapa uone nilisema nini
Trends Reading: Tetemeko Bukoba, Walinyamaza, Ajali ya Kivuko, Walinyamaza, Shambulizi la Lisu, Walinyamaza, Hili la MO, Hawata Nyamaza! - JamiiForums
Hapa nilisema
Ile press conference ya Kamanda Sirro imesaidia.

Kwa jambo lolote zuri au jema linalofanywa na ofisa yoyote wa serikali, credits zinakwenda kwa rais, ndiye mwajiri wao.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…