Old story
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,264
- 2,152
Atakuwa ni naniNi kuteka kiongozi wa upinzani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa ni naniNi kuteka kiongozi wa upinzani
Anamshukuru "rais" mimi namuuliza "kwa lipi alilokufanyia hali ya kuwa alikuwa anagonga juice na wanandinga pale mjengoni?
Sikumsikia akitamka lolote kutekwa kwako!
Tafadhali sana MO tupe maelezo in a free style mode.
Kina maria sarungi wame tweet mpaka baasi!Ni uoga tu.....ili asitekwe tena
Mtu tangia lini anapatikana kwa ku tweet?Kina maria sarungi wame tweet mpaka baasi!
Wakipaaza sauti "BRING BACK MO" kina TL wameandika mpaka makala!
Zitto Rugaya amepambana mno!
G. Lema kawaita waandishi wa habari kutoa njia mbadala ya kumpata MO!
Mshana Jr akatoa ma conspiracy theory ya abc za utekaji na malengoye!
Pascal Mayalla alishusha nondo hatari! Hii yote ni katika kushinikiza MO apatikane.
IWEJE AMSHUKURU Rais ambaye hatuna ushahidi wa kuguswa kwake na tukio la utekaji?
Kama familia ya MO ilimtegemea rais ilikuwaje wakatutangazia sisi wnanchi tunaomiliki account za tweeter dau la 1b?!Mtu tangia lini anapatikana kwa ku tweet?
Rais ndi mkuu wa majeshi yote nchini na yeye ndio kila kitu yeye ndio ana saidia na kuwezesha vyombo vya ulinzi.
Rais alikuwa ana wasiliana na Familia ya Mo si mpaka atoe tamko kama ninyi
hahahaha Mmeumia Rais kushukuriwa hahahaha imewachomaaaa
External and internal pressure ndozilio mforce raisi amwachia, Mo alijua kwamba alio idhinisha kuawachiwa kwake ni raisi ndomaana alitowa shukurani za kinafiki kwake.Mtu tangia lini anapatikana kwa ku tweet?
Rais ndi mkuu wa majeshi yote nchini na yeye ndio kila kitu yeye ndio ana saidia na kuwezesha vyombo vya ulinzi.
Rais alikuwa ana wasiliana na Familia ya Mo si mpaka atoe tamko kama ninyi
hahahaha Mmeumia Rais kushukuriwa hahahaha imewachomaaaa
Kama mtu hapatikani kwa ku tweet iweje hao wanausalama wazungumzie wanaowapinga huku mitandaoni? Ukweli ni kwamba alilazimishwa kumtaja huyo asiehusikaMtu tangia lini anapatikana kwa ku tweet?
Rais ndi mkuu wa majeshi yote nchini na yeye ndio kila kitu yeye ndio ana saidia na kuwezesha vyombo vya ulinzi.
Rais alikuwa ana wasiliana na Familia ya Mo si mpaka atoe tamko kama ninyi
hahahaha Mmeumia Rais kushukuriwa hahahaha imewachomaaaa
Ndo script aloandikiwa,lazima amshukuru la sivyo.......Mtu tangia lini anapatikana kwa ku tweet?
Rais ndi mkuu wa majeshi yote nchini na yeye ndio kila kitu yeye ndio ana saidia na kuwezesha vyombo vya ulinzi.
Rais alikuwa ana wasiliana na Familia ya Mo si mpaka atoe tamko kama ninyi
hahahaha Mmeumia Rais kushukuriwa hahahaha imewachomaaaa
Wote hao uliowataja bila yakuwa na raisi wetu shupavu na imara, wasinge fanya hayo waliyoyafanya. Hivyo baada ya kumshukuru mmoja mmoja ukimshukuru raisi wa awamu hii ya tano, unakuwa umeshukuru kila mmoja hata wewe mwenyewe unajishukuru. Maana ni raisi huyu huyu aliye wawezesha! Sote tumshukuru raisi wetu kwa kuwezesha Bwana Mo kupatikana. Kwanza bila raisi huyu, huenda hao uliowataja wagelikuwa kwenye shughuli nyingine - kwa mfano ufisadi, madawa ya kulevya. Kutakatisha hela- wasingepata mda wa kumkumbuka Mo! Uwe unajiongeza kwa kufikiri kwenda mbele.Kina maria sarungi wame tweet mpaka baasi!
Wakipaaza sauti "BRING BACK MO" kina TL wameandika mpaka makala!
Zitto Rugaya amepambana mno!
G. Lema kawaita waandishi wa habari kutoa njia mbadala ya kumpata MO!
Mshana Jr akatoa ma conspiracy theory ya abc za utekaji na malengoye!
Pascal Mayalla alishusha nondo hatari! Hii yote ni katika kushinikiza MO apatikane.
IWEJE AMSHUKURU Rais ambaye hatuna ushahidi wa kuguswa kwake na tukio la utekaji?
Wewe nakujibu kipengele cha rushwa!Wote hao uliowataja bila yakuwa na raisi wetu shupavu na imara, wasinge fanya hayo waliyoyafanya. Hivyo baada ya kumshukuru mmoja mmoja ukimshukuru raisi wa awamu hii ya tano, unakuwa umeshukuru kila mmoja hata wewe mwenyewe unajishukuru. Maana ni raisi huyu huyu aliye wawezesha! Sote tumshukuru raisi wetu kwa kuwezesha Bwana Mo kupatikana. Kwanza bila raisi huyu, huenda hao uliowataja wagelikuwa kwenye shughuli nyingine - kwa mfano ufisadi, madawa ya kulevya. Kutakatisha hela- wasingepata mda wa kumkumbuka Mo! Uwe unajiongeza kwa kufikiri kwenda mbele.
Nadhani hata Lissu alishukuru japokuwa alitakiwa afee!! Kwa risasi.Anamshukuru "rais" mimi namuuliza "kwa lipi alilokufanyia hali ya kuwa alikuwa anagonga juice na wanandinga pale mjengoni?
Sikumsikia akitamka lolote kutekwa kwako!
Tafadhali sana MO tupe maelezo in a free style mode.
Wanaounga mkono juhudi ni wenye tittle za kuchaguliwa na wananchi!Ndiyo Kubwa la Maadui,
Kakuachia uhai utafanya nini zaidi ya Kushukuru,
Masharti ni Kuunga Mkono Juhudi, soon utaona Malipo ya Watekaji (yakiwa kwenye mfumo wa kuunga mkono juhudi)
Huku Wakitegemea Wanamsimbazi nao kujiunga CCM kwa Ushawishi wa Mo.
Amemshukuru dikteta au?Nadhani hata Lissu alishukuru japokuwa alitakiwa afee!! Kwa risasi.
Mimi mwenyewe nimeshangaa kweli kauli ya kumshukuru raisi sijui kaitoa wapi afu alikua hata hawaangalii usoni!Anamshukuru "rais" mimi namuuliza "kwa lipi alilokufanyia hali ya kuwa alikuwa anagonga juice na wanandinga pale mjengoni?
Sikumsikia akitamka lolote kutekwa kwako!
Tafadhali sana MO tupe maelezo in a free style mode.
Kuna kila dalili zinatuonyesha kuwa anaelekea huko kwenye authoriterian rule hilo hali hitaji uwe Rocket scientist.Amemshukuru dikteta au?
Ukichaa kichaa je!Kuna kila dalili zinatuonyesha kuwa anaelekea huko kwenye authoriterian rule hilo hali hitaji uwe Rocket scientist.
Mkuu Jogi, Mo yuko right kumshukuru JPM, kwa sababu bila ushirikiano na serikali, asinge lipa ransom na kuachiwa huru.Anamshukuru "rais" mimi namuuliza "kwa lipi alilokufanyia hali ya kuwa alikuwa anagonga juice na wanandinga pale mjengoni?
Sikumsikia akitamka lolote kutekwa kwako!
Tafadhali sana MO tupe maelezo in a free style mode.
Ile press conference ya Kamanda Sirro imesaidia.Wanabodi,
Kwa vile Tanzania hatuna matukio ya utekaji wa ransom, usikute jeshi letu la polisi hawana abche mambo haya, na kwa vile niliwahi kushauri humu, tusisubiri tushindwe ndipo tuzomee, ukiweza kusaidia saidia tuu, hivyo hapa nalisaidia jeshi letu la polisi, kwa vile ni kawaida kwa mabilionea kutekwa kwa ransom, hivyo natoa wito kwa jeshi letu la polisi, kama kweli wako serious, kufanya secret monitoring his forex accounts, kupitia kitengo cha FIU kilichopo BOT, ku monitor kila kutu wakiona massive withdrawal of bulky cash, wafanye trails secretly zinapelekwa wapi, pia wawafanyie surveillance, ndugu wote wa karibu, kuanzia kwake, kwa baba yake na ndugu wote haswa Azim Dewji ndie likely the negotiator!, wataona tuu movements, usually usiku wa manane, watawapata watekaji, vinginevyo tutaishia kusikia, Mo, amepatikana ufukwe wa Coco Beach, huku hajitambui na hakumbuki chochote, na hadithi itaishia hapo, kumbe ransom imelipwa!