Mohamed Said alifungwa wakati wa Nyerere, asamehewa wakati wa Rais Samia

Huyo jamaa kwanza ilibidi jeshi lake mshughulikie kwa uzembe wa kupoteza silaha

~Hapo bar alipokuwa anakunywa alikaa meza ya peke yake kwenye kona?

[emoji457]Kitu ambacho nahisi huenda yeye hakuwa moja kwa moja kwenye tukio labda alipanga dili na mtu ambaye ndio huyo jambazi mkuu sasa vile angeipata hiyo bunduki then akaacha begi kwenye meza watu wakachukua yeye akaendelea kunywa huku akisubiri gawio baada ya tukio.(wazo la kwanza).

[emoji457] Kitu kingine nafikiria huenda hiyo ni story tu ametunga mbele ya mwandishi ili aonekane hausiki labda alifanya kweli tukio halafu akakamatwa kwenye tukio ila kwa sasa ndio anatusimulia hivyo ili tu apate huruma za watu.

[emoji457]Kuhusu sheria za kutoka Lindo na silaha huenda alipiga dili na waliompokea Lindo ila kitakachopatikana baada ya tukio wagawane au siri ikivuja wasitajane (kitaalamu inaitwa nipe point maelezo nitajijua).
 
Sijui lakini, na wala sio kwa ubaya; nimeisoma makala, sijaona mahali ambapo jamaa anailaumu mamlaka/mahakama, is like anajua alikosea na this is why kaeleza bila kudanganya kilicho mtokea so kwangu mimi nimeuchukulia hu ni kama ushuhuda ambao unatakiwa kua funzo kwetu sote; anyway, nilicho jifunza ni kwamba kumbe uzembe kidogo tu unaweza kukupelekea kuawa
 
Swali lako la mwisho kuhusu kumuibia bunduki na ndani ya muda mchache ikatumika kwenye ujambazi..inawezekana Ni watu wanaomjua (anaokunywa nao kila siku) walikuwa na uhakika wa kuipata bunduki maana wanamjua Ni mzembe wa kutunza bunduki yake..
 
Hivi ni kwanini majambazi wasiwe wananunua tu zile toy guns kubwa za watoto ili kufanya ujambazi, lengo lao huwa ni kuiba au kuua?
 
Hivi ni kwanini majambazi wasiwe wananunua tu zile toy guns kubwa za watoto ili kufanya ujambazi, lengo lao huwa ni kuiba au kuua?
Lengo Ni kuiba.. lakini kwenye kuiba lolote laweza kutokea wakalazimika kuuwa..
Wanabeba na matoy na bundukuki zisizokuwa na risasi lakini angalau bunduki moja lazima iwe ya ukweli na risasi ziwemo..
 
Akikutana na anaebiwa ana mchuma wa Kweli?

Usifananishe ujambazi wa kweli na ule wa kwny Movie

Uvamie nyumbani kwa mtu na vile viplastik vya elf 3 mia tano?
Hivi ni kwanini majambazi wasiwe wananunua tu zile toy guns kubwa za watoto ili kufanya ujambazi, lengo lao huwa ni kuiba au kuua?
 
Akikutana na anaebiwa ana mchuma wa Kweli?

Usifananishe ujambazi wa kweli na ule wa kwny Movie

Uvamie nyumbani kwa mtu na vile viplastik vya elf 3 mia tano?
Kwani atajua kwamba hivyo ni viplastiki, siatajua ni bunduki kweli? Kwani lengo ni kuuana au?
 
Mie mwnyw kilichonileta ni Nyerere na Samia, baada ya kusoma nikaona mtoa post naye anania ovu...akamalizie kifungo cha aliyeachiwa
Inaonyesha watu wengi hawasomi magazeti siku hizi. Hii stori kama alivyosema mleta stori hii, imetoka kwenye gazeti la Mwananchi la tarehe 8/2/2022.
 
Kwanini hakukabidhi silaha alipotoka lindo....
 
Mohamed Said aseme tu ukweli kuwa alikodisha silaha na vitambulisho vyake Kwa ma-jambazi wakatekeleza tukio!

Kabisa, yani inaonekana tukio lilisha pangwa sasa akawapa watu silaha yeye akaingia bar kula bia.
Alikuwa na uhakika mpunga upo njiani sasanaona hao vibaka mambo yalivyo kuwa magumu waka kimbia na kutupa begi lenye silaha na vitambulisho.
Hapo ndio moto ulipoanza kumuwakia. Na nashangaa kwanini alipata msamaha.
 
huyu ni JAMBAZI LILILOUA WATU WENGI. Hili jambazi kwa nini limeachwa huru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…