Mohamed Said ana siasa za kulialia

Ila Nyerere aliweza sana kucheza na saikolojia ya Hawa ndugu
 
Ila Nyerere aliweza sana kucheza na saikolojia ya Hawa ndugu
Nyerere alikuwa intellectual, Msomi asiye wa kubahatisha, yeye akiwa darasani ameshika kalamu na daftari hawa walikuwa mkekani na vyete vya bao mkononi.

Aliwaweza sana wavaa kobasi.
 
Mahmud Said kwenye mahojiano na kwa uchungu alikuja na hoja ya ajabu sana kuwa vizazi vya Waislamu wanaishia kuuza karanga mjini: babu, baba, na wajukuu sababu ya kukosa fursa za elimu kutokana na ubaguzi dhidi ya Waislamu. Hii ni hoja ya kijinga yenye mihemko na isiyokuwa na uhalisia katika tanzania ya leo. Ndugu Mtangazaji ilibidi amuulize: jee hii hali ni kwa Waislamu tu?

Jee, baada ya yote kusemwa, Mahmud Said amefanya jitihada gani mbadala za kuwainua Waislamu wenzake zaidi ya kulialia kila akipewa fursa kwenye international media kama DW, BBC, VOA, Sauti ya Tehran n.k. kitu ambacho anaona sifa sana?


Angeorodhesha concrete efforts alizofanya yeye binafsi kuboresha au kuinua elimu ya Waislamu nchini tokea Uhuru na siyo ku copy and paste orodha ndefu ya machapisho na vyuo alivyoalikwa kuongea huko ng'ambo.
 

Hiyo unayotaka wewe ni kitu chengine
 
Nyerere alikuwa intellectual, Msomi asiye wa kubahatisha, yeye akiwa darasani ameshika kalamu na daftari hawa walikuwa mkekani na vyete vya bao mkononi.

Aliwaweza sana wavaa kobasi.
Ndiyo akafanywa kibaraka wa wazungu baada ya kuwekwa madarakani Na Hao wazungu baada ya kupinduliwa Na majeshi? Akaondoka madarakani Na kuiwacha nchi muflis hata kiatu tukivaa mapira ya gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…