Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,761
- 5,276
Hao unaowasema angalau hawaombi pesa ya kujenga shule. Wanaeneza Injili kwa staili wanayoijua wao. Halafu mnashangaa mpo wachache SerikaliniUnashangaa hlo huku ukijisahaulisha wale wanaodai kumuimbia Yesu mpaka stend.
Na wle wafufua watu na ninyi wenzawazimu mkiamn upo we nguchiro????
Hebu tufafanulie hiyo "the standard of the reasonable man" ina vigezo gani?Kuna kitu kinaitwa, "the standard of the reasonable man."
Belo,Unaweza kutupa ratio ya Wakristu kwa Waislamu kwenye population ya Tanzania?
Wakristu wamejitahidi sana kuwekeza kwenye elimu kuanzia level ya chini na kuendelea tofauti na Waislamu ambao wameweka msisitizo kwenye elimu ya dini
Abu...Unashangaa hlo huku ukijisahaulisha wale wanaodai kumuimbia Yesu mpaka stend.
Na wle wafufua watu na ninyi wenzawazimu mkiamn upo we nguchiro????
“Vicinity vingi kutoka serikali” ndiyo nini? Hicho kitabu uliandikiwa na ghost writer(s) kina Mlamali et al. maana inaonekana Kiingereza chako ni duni. Kwa Kiingereza chako, vicinity ni sawa na vizingiti?hata hivyo wakikabiliwa na vicinity vingi kutoka serikalini.
Hizi hoja ulizozitoa tayari zimeleta mabishano yasiyo na maana na umekubali kukabiliana nayo kama huna factor ya kuverify hayo madai yako hayana msingi na watu wataendelea kukupinga mpaka utapoleta huo ushahidi .Najua hii hoja unaikwepa makusudi kwa sababu ndio itakayopangua hiyo hoja yako kuuBelo,
Katika kitabu cha Abdul Sykes nimejadili tatizo la suala la ratio baina ya Waislam na Wakristo na nikaeleza kuwa ni suala lililogubikwa na unyeti mkubwa.
Kwa ajili hii mimi sipendi kuingia ndani ya gunia hili na kuanza kuchakura kwa kuwa tutafungua mlango wa mabishano yasiyo na maana yoyote.
Mimi nitakueleza historia ya Waislam na elimu.
Baada ya uhuru kupatikana mwaka 1961 Mufti Sheikh Hassan bin Ameir alitangaza kupumzika siasa na kushugulika na elimu ya Waislam.
Akawa sasa katika taasisi yake Daawat Islamiyya kama kiongozi mkuu na akamteua Schneider Abdillah Plantan kuwa katibu wake.
Hawa wote wawili walikuwa mstari wa mbele katika TAA na TANU.
Mwaka wa 1962 ikaitishwa Muslim Congress ya Kwanza mkutano uliohudhuriwa na taasisi zote za Kiislam Tanganyika.
Agenda kuu ilikuwa kujenga shule za msingi na sekondari Tanganyika nzima kuwakwamua Waislam kutokana na kunyimwa elimu na wakoloni.
East African Muslim Welfare Society (EAMWS)chini ya Aga Khan kama Patron ikakabidhiwa kazi hii Tewa Said Tewa akiwa President wa taasisi hiyo kwa upande wa Tanganyika.
Shule zikaanza kujengwa na ikaamuliwa kijengwe Chuo Kikuu na kila kitu kikakamilika.
(Congress ya Pili 1963 ilikuwa ngumu sana.
Waislam walimsomea Rais Nyerere risala iliyoshutumu serikali yake kuwa inahujumu maendeleo ya Waislam).
Jiwe la msingi la Chuo Kikuu liliwekwa na Julius Nyerere akishuhudiwa na Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Tewa Said Tewa na mabalozi wa nchi za Kiislam.
Ghafla ukazushwa mgogoro kuwa kuna Waislam hawamtaki Aga Khan kama kiongozi wa EAMWS na wanataka kujitoa.
Lakini ukweli ni kuwa kulikuwa na nguvu ndani ya serikali iliyotishika na maendeleo ya ujenzi wa shule na chuo kikuu.
EAMWS ikapigwa marufuku na serikali kuwa ni taasisi haramu na serikali ikawaundia Waislam BAKWATA na mali zote za EAMWS zikakabidhiwa kwa BAKWATA.
Mufti Sheikh Hassan bin Ameir akakamatwa na kufukuzwa Tanganyika.
Hii ilikuwa mwaka wa 1968 na mipango yote ya elimu ikawa imekufa.
BAKWATA ikawa sasa inafanya kazi ya kuangalia kama idara ya serikali kuhakikisha kuwa Waislam hawanyanyuki kama walivyopigania uhuru wa Tanganyika.
Ilichukua zaidi ya miaka 30 ya mihangaiko kwa Waislam kuweza kujikusanya upya na kuanza shughuli zao za kujenga shule hata hivyo wakikabiliwa na vicinity vingi kutoka serikalini.
Historia hii ni Part Three ya kitabu cha Sykes na sehemu hii nimeipa anuani, "Conspiracy Against Islam," yaani Njama Dhidi ya Uislam.
Hiki ni kisa kirefu na kipo katika kitabu cha Abdul Sykes.
Utafiti wako uta-make sense pia ukiweka mchanganuo kama huo kwenye utawala wa Mwinyi,Mkapa , Jakaya na SamiaSerikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:
Mawaziri na Manaibu: 30.
Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.
Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.
Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.
Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.
Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.
Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.
Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.
Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.
Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.
Wakurugenzi mbalimbali: 249.
Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.
Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.
Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.
Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.
Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33
Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.
Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.
Jumla Kuu ya Uteuzi:
Waislamu asilimia 20%.
Wakristo asilimia 80%.
GE2020 - Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020. UTANGULIZI Ugonjwa wa Korona – COVID-19 Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...www.jamiiforums.com
Schmidt,“Vicinity vingi kutoka serikali” ndiyo nini? Hicho kitabu uliandikiwa na ghost writer(s) kina Mlamali et al. maana inaonekana Kiingereza chako ni duni. Kwa Kiingereza chako, vicinity ni sawa na vizingiti?
Hao unaowasema angalau hawaombi pesa ya kujenga shule. Wanaeneza Injili kwa staili wanayoijua wao. Halafu mnashangaa mpo wachache Serikalini
Abu...
Usishambulie dini ya wengine.
Huu mjadala si wa nani dini yake ya haki.
Hapa tunaeleza dhulma dhidi ya Waislam.
Tafadhali acha kufanya hivyo utaharibu mjadala.
Mimi natukanwa lakini simjibu anaenitukana lakini najibu anaeniuliza maswali.
Hii ndiyo njia bora ya kueleza matatizo tuliyonayo.
Waliokuwa hawajui wanapata fursa ya kujifunza.
Mimi sikuelewi unamaanisha niniEdwayne ni jina kutoka dini ya Chato?
Mbona unakimbia swali?
Kiswahili kimeanza kukupiga chenga?Mimi sikuelewi unamaanisha nini
Hakuna kitu kinaitwa wakristu au waislamu wote ni watanzania.. dini ni utapeliUnaweza kutupa ratio ya Wakristu kwa Waislamu kwenye population ya Tanzania?
Wakristu wamejitahidi sana kuwekeza kwenye elimu kuanzia level ya chini na kuendelea tofauti na Waislamu ambao wameweka msisitizo kwenye elimu ya dini
Mzee kwani kipimo cha mtanzania ni dini au utanzania na uafrika wake?Abu...
Usishambulie dini ya wengine.
Huu mjadala si wa nani dini yake ya haki.
Hapa tunaeleza dhulma dhidi ya Waislam.
Tafadhali acha kufanya hivyo utaharibu mjadala.
Mimi natukanwa lakini simjibu anaenitukana lakini najibu anaeniuliza maswali.
Hii ndiyo njia bora ya kueleza matatizo tuliyonayo.
Waliokuwa hawajui wanapata fursa ya kujifunza.
Uafrika ndiyo kitu gani?Mzee kwani kipimo cha mtanzania ni dini au utanzania na uafrika wake?
Kwanza unafikiri wakina sykes walikuwa wafia dini wao tena walikua na umaghsribi zaidiHao unaowasema angalau hawaombi pesa ya kujenga shule. Wanaeneza Injili kwa staili wanayoijua wao. Halafu mnashangaa mpo wachache Serikalini
Hilo ni wazi ndiyo maana waling'ang'ania majina ya Kizungu waliyobatizwa na Wajerumani hadi la ukoo. Huyu mzee MS kazi kujipendekeza kwa Sykes, ilhali atimize ajenda zake za udini kupitia mgongo wa Sykes.Kwanza unafikiri wakina sykes walikuwa wafia dini wao tena walikua na umaghsribi zaidi
Sema mzee wetu Mohamed Said anawapelrka huko zaidi
Ova
Wee mtembeza bakuli kwenye mabaa na kanzu lako ili mjenge madrasa tulia dawa ikuingie vizuri. Halafu muulize Maalim wako MS jee kwa Kiingereza, "vizingiti" ndiyo inaitwa "vicinity"? Miaka 30 ya mabadiliko ya kiuchumi, kielimu, kitekonlojia, kisisasa, na tawala za Marais wa imani, yeye bado kabaki na hoja zake zilezile za vitabuni za tokea enzi za kudai Uhuru.Et hawaombi pesa ,hzo kelele zao mwisho lazma waombe sadaka kwa ajili ya bwana.
Ndugu kama kuna wenye imani ya kizezeta basi ninyi.
Mana mpaka kuna wanaodai wanafufua wafu na mnawashangilia kweli ninyi ni zaid ya mazuzu
Wafia dini ni wakatoliki Na akina gwajima Kama Vile huelewiKwanza unafikiri wakina sykes walikuwa wafia dini wao tena walikua na umaghsribi zaidi
Sema mzee wetu Mohamed Said anawapelrka huko zaidi
Ova