Gongo mbona whisky tu
Pombe mm nakandqmizaaa kwa kwenda mbele
Ova
😭😭😭
Gongo mbona whisky tu
Pombe mm nakandqmizaaa kwa kwenda mbele
Ova
Urais tu wa tanganyika
Mchonga aliwazidi kete😂
Ila mchonga alikuwa akili nyingi sana
Sijui alimanuva vp kuwaweka watu wazito
Kama kina sykes pemben
Ova
Mbona wengi walifungua tu
Nakumbuka hii. Cha ajabu enzi za hoja ya Wazawa kupewa priority kwenye umiliki wa aina fulani za biashara dhidi ya Wahindi miaka ile, walikuwa mstari wa mbele ilhali wao wenyewe siyo Wazawa kamili. Walikuwa wanataka wapewe competetive advantage ya kisheria kwenye biashara ya Travel Agency kwa kivuli cha uzawa.Walikuwa na travel agency ya mwanzo mwanzo
Sykes tours,jamaa walikuwa mbele ya wakati
Kus3ma ukweli....wao walikuwa na itikadi za kimagharibi sana
Walikuwa hawana ujamaaa
Jamaa itikadi zao ni za kibapari zaidi
Ova
Hawa ni elites nchi hii in every meaningful sense tokea zamani sana.
Hata hao kina sykes walikuwa vibaraka na mabepari wakubwa...Alikuwa kibaraka wa Waingereza kwani ndio waliomweka madarakani Na Waroma
Wako wengine vibaraka wa waarabuAlikuwa kibaraka wa Waingereza kwani ndio waliomweka madarakani Na Waroma
Ilikuwq moja tu ya wao achana na za wazunguMbona wengi walifungua tu
Mzee said@sema yy hana mentality ya kibiashara alitakiwq sahv awe zaidi ya baresaNakumbuka hii. Cha ajabu enzi za hoja ya Wazawa kupewa priority kwenye umiliki wa aina fulani za biashara dhidi ya Wahindi miaka ile, walikuwa mstari wa mbele ilhali wao wenyewe siyo Wazawa kamili. Walikuwa wanataka wapewe competetive advantage ya kisheria kwenye biashara ya Travel Agency kwa kivuli cha uzawa.
Udini umempofusha Karani mstaafu wa Bandari ya Tanga Mzee MS. Wenzake wapo dynamic wanasaka hela, yeye yupo static na hoja zake za udini.Mzee said@sema yy hana mentality ya kibiashara alitakiwq sahv awe zaidi ya baresa
Maana sykes michongo mingi walikuwa wanaijua
Ova
Hata hao kina sykes walikuwa vibaraka na mabepari wakubwa...
Sykes nachowakubali ni hustling zao,walikuwa na mikakati watu walikuwa wamelala wao walikuwa washaamka
Ova
Kuliko ulivyokupofusha wewe uliyeyavaa matusi huku ukijibadilisha idUdini umempofusha Karani mstaafu wa Bandari ya Tanga Mzee MS. Wenzake wapo dynamic wanasaka hela, yeye yupo static na hoja zake za udini.
Mzee said@sema yy hana mentality ya kibiashara alitakiwq sahv awe zaidi ya baresa
Maana sykes michongo mingi walikuwa wanaijua
Ova
Mzee said@sema yy hana mentality ya kibiashara alitakiwq sahv awe zaidi ya baresa
Maana sykes michongo mingi walikuwa wanaijua
Ova
Hata wahindi walikuwa nazoIlikuwq moja tu ya wao achana na za wazungu
Ova
Sykes na Udini ni meal ticket kwa MS. Bila ya hivi viwili he's nothingKuliko ulivyokupofusha wewe uliyeyavaa matusi huku ukijibadilisha id
Sykes na Udini ni meal ticket kwa MS. Bila ya hivi viwili he's nothing
Wee mtembeza bakuli kwenye mabaa na kanzu lako ili mjenge madrasa tulia dawa ikuingie vizuri. Halafu muulize Maalim wako MS jee kwa Kiingereza, "vizingiti" ndiyo inaitwa "vicinity"? Miaka 30 ya mabadiliko ya kiuchumi, kielimu, kitekonlojia, kisisasa, na tawala za Marais wa imani, yeye bado kabaki na hoja zake zilezile za vitabuni za tokea enzi za kudai Uhuru.
Wenye mentality ya kibiashara ni nyinyi wachungaji majangiri
![]()
KATAVI: Mchungaji akamatwa na Meno 11 ya Tembo akiwa 'ameyahifadhi' kanisani
Imeandikwa na Walter Mguluchuma | Katavi yetu Blog | Mei 09, 2016 Jeshi la Polisi Mkoani Katavi kwa kushirikiana na Askari wa TANAPA wa Hifadhi ya wanyama ya Katavi wamemkamata mchungaji wa Kanisa la Moroviani Kata ya Usevya Tarafa ya Mpimbwe Wilaya ya Mlele akiwa na mtu...www.jamiiforums.com
Hata majiz makubwa nchi hii yanatoka kwao
Bila kusahau yale majiz ya ESCROW ambayo mengne yalitokea huko huko kwao mpaka mababa yao