Mohamed Said ana siasa za kulialia

Mohamed Said ana siasa za kulialia

Hilo ni wazi ndiyo maana waling'ang'ania majina ya Kizungu waliyobatizwa na Wajerumani hadi la ukoo. Huyu mzee MS kazi kujipendekeza kwa Sykes, ilhali atimize ajenda zake za udini kupitia mgongo wa Sykes.
Schmidt,
Nisingekujibu ila umetumia neno linaloniudhi kupita kiasi.

Kuwa mimi ''najipendekeza.''

Somo tunalijadili huna haja nalo unaona bora tujadili lugha ya Kiingereza na maisha yangu.

Nakuanzia kwa babu yangu Salum Abdallah alikuwa na rafiki yake anaitwa Kleist Sykes wote majirani wanaishi Mtaa wa Kipata nyumba zao milango inatazamana no. 68 na 69 na wanafanya kazi Tanganyika Railways.

Mke wa Kleist Sykes Bi. Mruguru bint Mussa na mke wa babu yangu Salum Abdallah Bi. Zena bint Farijala bibi yangu wakawa majirani na mashoga wakubwa.

Hii ni miaka ya 1920s.

Watoto wao wanacheza pamoja hapo mtaani na wanasoma shule moja Al Jamiatul Islamiyya Muslim School.

Katika shule hii baba yangu alisoma darasa moja na Abdul Sykes.

Mkewe Bwana Abdul Mama Daisy na mama yangu walikuwa mashoga wakubwa toka udogo wao ingawa mama yangu alifariki akiwa mdogo sana mwaka wa 1956.

Kwa Mama Daisy mimi siku zote nilikuwa mtoto wa shoga yake Baya bint Mohamed.
Sasa sijui hapa najipendekezaje na kwa kutafuta kitu gani?

Hawa wazee wangu wameniona nikiwa mtoto hadi nafikia utu uzima.

1640371532277.png

Kulia tuliosimama ni mimi, Yusuf Zialor, Kleist Sykes, Bubby Bukhari, Abdallah Tambaza na waliochutama kulia ni Abdul Mtemvu, Wendo Mwapachu na Kessy mwaka wa 1968.
 
Schmidt,
Nisingekujibu ila umetumia neno linaloniudhi kupita kiasi.
Kuwa mimi ''najipendekeza.''

Somo tunalijadili huna haja nalo unaona bora tujadili lugha ya Kiingereza na maisha yangu.

Nakuanzia kwa babu yangu Salum Abdallah alikuwa na rafiki yake anaitwa Kleist Sykes wote majirani wanaishi Mtaa wa Kipata nyumba zao milango inatazamana no. 68 na 69 na wanafanya kazi Tanganyika Railways.

Mke wa Kleist Sykes Bi. Mruguru bint Mussa na mke wa babu yangu Salum Abdallah Bi. Zena bint Farijala wakawa majirani na mashoga wakubwa.

Hii ni miaka ya 1920s.

Watoto wao wanacheza pamoja hapo mtaani na wanasoma shule moja Al Jamiatul Islamiyya Muslim School.

Katika shule hii baba yangu alisoma darasa moja na Abdul Sykes.

Mkewe Bwana Abdul Mama Daisy na mama yangu walikuwa mashoga wakubwa toka udogo wao ingawa mama yangu alifariki akiwa mdogo sana mwaka wa 1956.

Kwa Mama Daisy mimi siku zote nilikuwa mtoto wa shoga yake Baya bint Mohamed.
Sasa sijui hapa najipendekezaje na kwa kutafuta kitu gani?

Hawa wazee wangu wameniona nikiwa mtoto hadi nafikia utu uzima.

View attachment 2056103
Kulia tuliosimama ni mimi, Yusuf Zialor, Kleist Sykes, Bubby Bukhari, Abdallah Tambaza na waliochutama kulia ni Abdul Mtemvu, Wendo Mwapachu na Kessy mwaka wa 1968.
Kwahiyo hapa unataka kusemaje Mzee Mohamed Said?
 
Mzee hii hoja unaikwepa sana ya ratio ya Wakristu vs Waislamu ukiijibu hii mjadala umeisha ,nahitaji ushahidi kama huo wa Nyerere kwenye awamu za maraisi wengine 5.Enzi za Nyerere inajulikana wasomi walikuwa wachache sana na majority walikuwa ni Wakristu sababu inajulikana ndio maana enzi za ukoloni wapo baadhi ya waislamu walibadilisha majina ili wasome kwenye shule za wakristu
Belo,
Ungelijua.

Swali hilo ni swali niliulizwa mwisho bado kama dakika 10 namaliza mhadhara wangu University of Iowa.

Ndiyo wakanichomekea hilo swali na wakatoa CIA Religious Statistics za dunia na kusema kuwa takwimu zao zinaonyesha Waislam ni minority.

Majibu niliyotoa ndiyo hapo kwa hapo nikaalikwa kwenda kuzungumza Northwestern University.

Hili swali silikwepi ni kuwa kwa mimi kulizungumza tutakaribisha vurugu bila ya sababu ya maana.
 
Halafu ikisha julikana mko wengi kuliko wengine ingawa kiuhalisia ni Kitu kisichowezekana itasaidia nini hasa!? Mtaanza kupata posho!? Au ndio mtarudi na hoja za oic na mahakama ya kadhi?!?
Huyu Pimbi akili yake fupi kama miguu ya mbilikimo.
 
We mwanamke unanitafutia BAN, ila soon ntakutumia picha chafu za Mtume wako Mwamedi yule mfanyabiashara wa Meca

Just wait, endelea kutawadha...!

Hizo zilipendwa tafuta jengine , kajifundishe upya kanisani

Wala huogopi ban unazo id tele kwa viroba,sio Siri kila mtu anakujua
 
We mwanamke unanitafutia BAN, ila soon ntakutumia picha chafu za Mtume wako Mwamedi yule mfanyabiashara wa Meca

Just wait, endelea kutawadha...!
Wala huogopi ban, unazo id tele kwa viroba
Wala sio siri kila mtu anakuelewa
 
Umekuja Na Id asilia Na kofia ya Yesu
Janina,
Unakosea sana ndugu yangu.
Hatuna ugomvi na Yesu.

Huu uzi ni kuhusu dhulma.
Tujikite katika hili ndugu yangu.

Hakuna aliyekuja na jibu kuhusu niliyoyaeleza hapà kuhusu yale ambayo Waislam wamepitia.

Elewa tunasomwa na wengi ambao wako kimya na si Waislam.

Hawa tuwaeleze tunachopigania.
 
Hata hao kina sykes walikuwa vibaraka na mabepari wakubwa...
Sykes nachowakubali ni hustling zao,walikuwa na mikakati watu walikuwa wamelala wao walikuwa washaamka

Ova
Mrangi,
Naona umehama kwenye mada iliyo mezani unakwenda kwengine.

Si kitu na tuzungumze ndugu yangu kuhusu mzee wangu Ally Kleist Sykes.

Mimi "air condition," yangu ya kwanza niliiona òfisini kwa Ally Sykes Mtaa wa Lindi mwisho kama unaelekea Mtaa wa Nkrumah nyuma ya iliyokuwa International Hotel.

Hii ilikuwa miaka ya mwanzo 1960s.

Hii nyumba ilikuwa gorofa moja na ilikuwa mali ya Mwingereza kutoka Kenya, Peter Colmore.

Ofisi hii ilikuwa na ''wall to wall carpet,'' na kulikuwa na ''state of the art recording equipment,'' pamoja na ''reel to reel tape deck.''

Nilipelekwa pale na baba yangu.
Nilikuwa mtoto wa kiasi cha miaka 10 hivi.

Schmidt anasema mimi najipendekeza.

Peter Colmore na Ally Sykes walikuwa kutoka 1958 ''business partners'' kampuni High Fidelity Production iliyokuwa na makao makuu yake Nairobi, Government Road sasa Kenyatta Avenue.

Katika miaka hii Peter Colmore na Ally Sykes walikuwa wawakilishi Afrika ya Mashariki wa makampuni makubwa zaidi ya 20 kutoka Ulaya: Gailey and Roberts, British American Tobacco, Aspro, Coca-Cola, Bata Shoes, Lint and Seed Marketing Board kwa kutaja machache.

Baba yangu aliishi mtaa huu si mbali na ofisi hii ya rafiki yake Ally Sykes.
Hapa ndipo nilipokuja kumjua Peter Colmore.

Peter Colmore ana historia kubwa sana na Ally Sykes na Waafrika wa Afrika ya Mashariki pamoja na viongozi wao maarufu ambae Peter Colmore akinihadithia alikuwa Kabaka Mutesa wa Uganda.

Peter Colmore alikuwa na ndege yake binafsi na Rolls Royce.

Miaka mingi baadae sasa mimi mtu mzima nilikuja kukutana na Peter Colmore nyumbani kwake Muthaiga Nairobi na alinifunza mengi katika historia ya Tanganyika ya 1950s.

Huyu Colmore ndiye aliyemtajirisha Ally Sykes na urafiki wao ulianza 1942 Nairobi wote wakiwa vijana wadogo katika King's African Rifles (KAR) Vita Vya Pili Vya Dunia.

Haya maneno aliniambia mwenyewe Bwana Ally kwa kinywa chake.

Nilipomueleza Peter Colmore maneno haya na yeye akaniambia kuwa hakupata kumpelekea Ally Sykes kazi ikamshinda kisha akaongeza akasema anashukuru ikiwa maisha yake yamemnufaisha binadamu mwenzake.

Nina mswada nimeandika wa maisha ya Ally Sykes, ''Under the Shadow of British Colonialism...'' na humo mna historia ya kusisimua ya marafiki hawa wawili.

Siku nyingine nitakuleteeni historia ya Jim Bailey kutoka Afrika ya Kusini Mzungu mwingine tajiri kufuru niliyemjua kupitia mgongo wa Ally Sykes.

Nikienda kwenye ofisi yangu nitaweka picha ya Peter Colmore.

Colmore akimchukia sana Mwalimu Nyerere ingawa walikuwa marafiki wakati wa kupigania uhuru na TANU ikipokea vijisenti kutoka kwa watu hawa.

Azimio la Arusha la mwaka wa 1967 ndiyo lililowagombanisha.

Kwa hakika kama nitasema tuweke barza hapa kuhusu historia hizi tutamaliza deli zima la kahawa.

Ukipenda ingia hapo chini unisikilize ninavyomzungumza Ally Sykes na Mohamed Ghassani:



1640403604586.png

Peter Colmore nyumbani kwake Muthaiga, Nairobi
 
Jela kuna mashekhe 300, jee kuna mapedre au wachungaji wangapi jela?. Ubaguzi anaosema Mohamed Said inataka umuelewe vizuri. Waliopigania nchi hii ikapata UHURU ni waislamu. Hamna MKRISTO aliyepigania Tanganyika. Muulizeni Nyerere.
 
Hizo zilipendwa tafuta jengine , kajifundishe upya kanisani

Wala huogopi ban unazo id tele kwa viroba,sio Siri kila mtu anakujua
Kaka kwa hisani yako ndugu yangu.
Acha kushambulia dini.

Nakusihi ndugu yangu.
 
Aijibu mara ngapi au unakuwa husomi nenda nyuma kidogo utaiona
Sijaona alipojibu na yeye mwenyewe hawezi jibu hilo swali litasababisha ugomvi,nyionyeshe alipojibu au nitajie hilo jibu lake
 
Belo,
Ungelijua.

Swali hilo ni swali niliulizwa mwisho bado kama dakika 10 namaliza mhadhara wangu University of Iowa.

Ndiyo wakanichomekea hilo swali na wakatoa CIA Religious Statistics za dunia na kusema kuwa takwimu zao zinaonyesha Waislam ni minority.

Majibu niliyotoa ndiyo hapo kwa hapo nikaalikwa kwenda kuzungumza Northwestern University.

Hili swali silikwepi ni kuwa kwa mimi kulizungumza tutakaribisha vurugu bila ya sababu ya maana.
Mzee MS,kwa nini ukiulizwa maswali unakimbia hujibu hata moja ,unarudia story zile zile .Hoja zako hazina msingi kama unakimbia kujibu maswali muhimu
 
Mzee MS,kwa nini ukiulizwa maswali unakimbia hujibu hata moja ,unarudia story zile zile .Hoja zako hazina msingi kama unakimbia kujibu maswali muhimu
Belo,
Najibu maswali kwa kadiri ya uwezo wangu labda sijibu kama wewe unavyopenda.

Hili la kwanza.

Pili ni kuwa kurudia historia ni muhimu katika uandishi wa mtandaoni kwa kuwa kila siku kunakuwa na wasomaji wapya ambao ndiyo leo wananisoma.

Kuna kundi kubwa sana la watu wanaonisoma na wengi wako kimya hawatii neno ni wasomaji tu.

Kuna wakati mwingine huwa simjibu mtu nakaa kimya hasa ikiwa namuona anauliza kwa njia za kejeli na kunishambulia mimi binafsi.

Lakini ikiwa umeona swali ulilouliza nimejibu lakini taarifa hazitoshi hebu nigutue.

Ikiwa nataka kujibu nitakujibu la sitaki nitakufahamisha na wewe utakuwa umefahamu kuwa nimekataa swali lako.

Ama hilo kuwa hoja zangu hazina msingi si jambo kubwa kwangu kwani wapo wanaona nina hoja za maana.

Kughitilafiana ndiyo ubinadamu.
 
Soma post #562
Hujaelewa swali au na wewe unalikimbia kama anavyolikimbia,Post no 562 ni malalamiko yake ya kila siku

Tunaomba atupe total namba ya population ya Wakristu na waislamu ili tuweze kujua kama kweli wanapendelewa?

Kama population sio 50/50 sidhani kama madai yake yana msingi
 
Back
Top Bottom