Hujaelewa swali au na wewe unalikimbia kama anavyolikimbia,Post no 562 ni malalamiko yake ya kila siku
Tunaomba atupe total namba ya population ya Wakristu na waislamu ili tuweze kujua kama kweli wanapendelewa?
Kama population sio 50/50 sidhani kama madai yake yana msingi
Mohamed Said ni mkristo tena?Kwani ilikuwaje swali hili wakristo wakalikimbia kwenye sensa Na ilhali wao ndio wakilipigia njuga
Belo.Hujaelewa swali au na wewe unalikimbia kama anavyolikimbia,Post no 562 ni malalamiko yake ya kila siku
Tunaomba atupe total namba ya population ya Wakristu na waislamu ili tuweze kujua kama kweli wanapendelewa?
Kama population sio 50/50 sidhani kama madai yake yana msingi
Lupweko,Wapigania uhuru walishakufa, sasa hivi tunapigania umoja na uchumi. Historia zinazoturudisha nyuma kutugawa na kutuchochea hazina nafasi nyakati hizi
Hayo ni mawazo yako. Mimi maeneo mengi tu nimeishi na kufanya kazi na watu wa makabila na dini tofauti, wala hawana hisia za kudhulumiwa kitabaka. Sana sana watu wanapambana na kupata uchumiLupweko,
Umoja hutoweza kuupata penye dhulma.
Huko libya na irak, pakistan na afghanistan dhulma ilikuwa ni ya nini wakati kote huko ni Mafirauni ninyi watupu.Lupweko,
Umoja hutoweza kuupata penye dhulma.
Dhulma ndiyo hugawa umma ukawa mapande mawili yaliyohasimiana.
Haki hujenga mapenzi na kuwaleta watu pamoja.
Huko libya na irak, pakistan na afghanistan dhulma ilikuwa ni ya nini wakati kote huko ni Mafirauni ninyi watupu.
Mbona mnauana wenyewe
Lupweko,Hayo ni mawazo yako. Mimi maeneo mengi tu nimeishi na kufanya kazi na watu wa makabila na dini tofauti, wala hawana hisia za kudhulumiwa kitabaka. Sana sana watu wanapambana na kupata uchumi
Na mimi nikuulize; kwa nini waisilamu nchini hawajanyanyua silaha dhidi ya 'dhuluma'?Kwa nini Wakikuyu Kenya walinyanyua silaha kupitia Mau Mau dhidi ya Waingereza?
.....
Hakuna binadamu anaekubali kudhulumiwa.
Mzee wangu Mohamed Said,Belo,
Baada ya kuhujumiwa EAMWS mradi wa ujenzi wa Chuo Kikuu na ujenzi wa shule ukafa.
Hapa sasa kuna historia ya yale yaliyokuwa yakifanyika ndani ya Wizara ya Elimu.
Wizara hii ilikuwa mfano wa kigango na kulikuwa na mpango maalum wa kupitisha wanafunzi kuingia sekondari na vyuo vya elimu ya juu.
Waislam walikuwa hawazidi 10% na miaka yote ya utawala wa Nyerere Waziri wa Elimu ilikuwa lazima awe Mkristo.
Mawaziri 8 waliopita katika Wizara hii wote walikuwa Wakristo.
Mwaka wa 1987 Prof. Malima ndiye akajakuwa Waziri wa kwanza wa Elimu Muislam na aliyoyakuta hapo yalimshtua na akaandika barua ya siri kumweleza Rais Ali Hassan Mwinyi yale yaliyopo hapo wizarani.
Hii barua iliibiwa na kuvujishwa kwingi kwa watendaji wa serikali na kwa vyombo vya habari.
Prof. Malima alieleza mpango uliodumu kwa muda mrefu ambao ulikuwa unadumaza vijana wa Kiislam katika kupata elimu ya juu.
Katika watu walioipata taarifa hii ni Rais Mstaafu Julius Nyerere wakati ule akiwa Mwenyekiti wa CCM.
Prof. Malima akawateua Waislam 4 kushika nafasi katika kurugenzi mbalimbali.
Katika hawa wakurugenzi alikuwa kijana mmoja kutoka Moshi jina lake Kenya Abdallah Hassan.
Balaa lake lilikuwa kubwa sana.
Tuishe hapo tusonge mbele.
Lakini huko nyuma katika miaka ya 1970 OIC walitaka kujenga Chuo Kikuu Tanzania.
Serikali ilikataa kutoka kibali na chuo kikajengwa Mbale Uganda.
Katika miaka ya 80 vijana wa Warsha walijipenyeza BAKWATA kwa nia ya kuboresha elimu ya Waislam na vijana hao wakabadilisha shule za BAKWATA 4 walizozirithi kutoka EAMWS kuwa seminari.
Shule hizi zikaanza kufanya vizuri.
Serikali iliingilia kati na wale vijana wakaondolewa katika uongozi wa BAKWATA na kupigwa marufuku kutoendesha taasisi yoyote ya Kiislam Tanzania.
Hawa vijana hawakukubali kushindwa wakajenga shule inaitwa Masjid Quba.
Serikali ikakataa kuisajili lakini hawa vijana wakaendelea kusomesha bila tasjila hadi Prof. Malima alipokuwa Waziri wa Elimu alipoipa tasjila.
Yapo mengi, mengi sana haiwezekani yote kuelezwa hapa.
Na mimi nikuulize; kwa nini waisilamu nchini hawajanyanyua silaha dhidi ya 'dhuluma'?
Lupweko,Na mimi nikuulize; kwa nini waisilamu nchini hawajanyanyua silaha dhidi ya 'dhuluma'?
Makao...Mzee wangu Mohamed Said,
Awali ya yote nakupongeza kwa kutupa elimu hii.Nina mambo nataka kujuzwa kidogo,
1. Unaweza kutujuza Barua hii ya Prof. Malima kwa aliekuwa rais wa wakati ule ilikuwa ikieleza nini zaidi?Nashangazwa vipi barua ya siri ivuje?
2.Natamani nijue zaidi kuhusu Mr Kenya Abdallah Hassan, ni nani hasa, nini alifanya?Na vipi harakati zake na mwisho wake ulikuwaje?
Shukran.
The Phy...
Mimi sipo hapa kufanya ubishi niko hapa kusomesha.
Umeniuliza swali la 20:80 nimekupa jibu lake na hiyo nyongeza ambayo hukuniomba lakini niliamini itakusaidia kupanua fikra zako.
Umeridhika na jibu langu kuhusu 20:80?
Umeniuliza kwa kuwa ulikuwa hujui na sasa nimekusomesha umejua na umeongeza maarifa yako.
Nilichotegemea kutoka kwako ni shukurani si kuendeleza ubishi.
Wengi niliowatumia taarifa hiyo ndani na nje ya mipaka yetu wamenipa majibu tofauti sana na yako.
Wote wamenishukuru kwa taarifa hiyo na kusema wamenufaika sana kwa kujua hali hii yetu inayokabili jamii moja katika nchi yetu.
Hata hapa barzani naona kumeingia ukimya ambao si wa kawaida.
Wewe ndiyo wa kwanza kuzungumza toka jana.
Nasubiri kuwasikia wengine hapa jamvini.
Nakushukuru sana kwa kunifunza kuhusu, "competence."
Nimecheka sana.
"It takes all sorts of people to make the world go round."
Huu ni msemo marehemu Mzee Kitwana Kondo akipenda kuusema.m
Sijui neno ubishi kwa tafsiri yako linamaana gani lakini maswali niliyouliza yalihitaji ufafanuzi unajisifu unasomesha huku unatumia maneno ya kejeli? Nimeuliza ww unatumia utaalamu gani kutambua dini za watu!?The Phy...
Mimi sipo hapa kufanya ubishi niko hapa kusomesha.
Umeniuliza swali la 20:80 nimekupa jibu lake na hiyo nyongeza ambayo hukuniomba lakini niliamini itakusaidia kupanua fikra zako.
Umeridhika na jibu langu kuhusu 20:80?
Umeniuliza kwa kuwa ulikuwa hujui na sasa nimekusomesha umejua na umeongeza maarifa yako.
Nilichotegemea kutoka kwako ni shukurani si kuendeleza ubishi.
Wengi niliowatumia taarifa hiyo ndani na nje ya mipaka yetu wamenipa majibu tofauti sana na yako.
Wote wamenishukuru kwa taarifa hiyo na kusema wamenufaika sana kwa kujua hali hii yetu inayokabili jamii moja katika nchi yetu.
Hata hapa barzani naona kumeingia ukimya ambao si wa kawaida.
Wewe ndiyo wa kwanza kuzungumza toka jana.
Nasubiri kuwasikia wengine hapa jamvini.
Nakushukuru sana kwa kunifunza kuhusu, "competence."
Nimecheka sana.
"It takes all sorts of people to make the world go round."
Huu ni msemo marehemu Mzee Kitwana Kondo akipenda kuusema.
The Phy...Sijui neno ubishi kwa tafsiri yako linamaana gani lakini maswali niliyouliza yalihitaji ufafanuzi unajisifu unasomesha huku unatumia maneno ya kejeli? Nimeuliza ww unatumia utaalamu gani kutambua dini za watu!?
Hiki kigezo unachotumia kubainisha dini za watu hakina uhalisia kwani wewe unaamini kwamba kila Mohamed lazima awe muisilamu au jina ndio linaamua dini ya mtu!? Mbona tuna watanzania wengi tu wanatumia majina yanayonasibishwa na imani fulani wakati sio!? Kwa nini utumie kigezo cha kudhaniwa kuhalalisha madai?The Phy...
Umeuliza swali na nimekujibu swali na kukupa nyongeza ambayo naamini hukuitegemea na hii imewashtua wengi viongozi katika vyuo vikuu.
Unaniuliza imani za hawa ambazo majina na picha zao ziko hapo kuwa nawatambuaje?
Sasa hapa anaefanya mzaha, kejeli na kebehi nani, mimi au wewe?
Pima kina cha maji.
Huoni jinsi ukumbi ulivyokuwa kimya kwa hii nyongeza niliyokutunuku wewe ili ujue ukweli na kile ambacho Waislam tunakieleza?
Unadhani mimi niko hapa kutaniana na wewe?
Wenzako wengi wako kimya.
Jiulize kwa nini?
Unapodhihiri ukweli uongo ni wenye kutoweka.
Kaa kimya subiri serikali itoe jibu iwe leo au hata baada ya miaka 100.
The Phy...Hiki kigezo unachotumia kubainisha dini za watu hakina uhalisia kwani wewe unaamini kwamba kila Mohamed lazima awe muisilamu au jina ndio linaamua dini ya mtu!? Mbona tuna watanzania wengi tu wanatumia majina yanayonasibishwa na imani fulani wakati sio!? Kwa nini utumie kigezo cha kudhaniwa kuhalalisha madai?
Unadhani kwa nini Nyerere alisema mkitaka kujua mko wangapi mkahesabiane huko mnakoabudu!?
Hivi kumbe alikuwa karani wa bandari? Pamoja na masters yake ya UK?Udini umempofusha Karani mstaafu wa Bandari ya Tanga Mzee MS. Wenzake wapo dynamic wanasaka hela, yeye yupo static na hoja zake za udini.