Mohamed Said ana siasa za kulialia

Urais tu wa tanganyika
Mchonga aliwazidi keteπŸ˜‚
Ila mchonga alikuwa akili nyingi sana
Sijui alimanuva vp kuwaweka watu wazito
Kama kina sykes pemben

Ova

Alikuwa kibaraka wa Waingereza kwani ndio waliomweka madarakani Na Waroma
 
Walikuwa na travel agency ya mwanzo mwanzo
Sykes tours,jamaa walikuwa mbele ya wakati
Kus3ma ukweli....wao walikuwa na itikadi za kimagharibi sana
Walikuwa hawana ujamaaa
Jamaa itikadi zao ni za kibapari zaidi

Ova
Nakumbuka hii. Cha ajabu enzi za hoja ya Wazawa kupewa priority kwenye umiliki wa aina fulani za biashara dhidi ya Wahindi miaka ile, walikuwa mstari wa mbele ilhali wao wenyewe siyo Wazawa kamili. Walikuwa wanataka wapewe competetive advantage ya kisheria kwenye biashara ya Travel Agency kwa kivuli cha uzawa.
 
Alikuwa kibaraka wa Waingereza kwani ndio waliomweka madarakani Na Waroma
Hata hao kina sykes walikuwa vibaraka na mabepari wakubwa...
Sykes nachowakubali ni hustling zao,walikuwa na mikakati watu walikuwa wamelala wao walikuwa washaamka

Ova
 
Mzee said@sema yy hana mentality ya kibiashara alitakiwq sahv awe zaidi ya baresa
Maana sykes michongo mingi walikuwa wanaijua

Ova
 
Hata hao kina sykes walikuwa vibaraka na mabepari wakubwa...
Sykes nachowakubali ni hustling zao,walikuwa na mikakati watu walikuwa wamelala wao walikuwa washaamka

Ova

Waliwekwa madarakani baada kupinduliwa Na Nani ? Au makaburu?
 
Udini umempofusha Karani mstaafu wa Bandari ya Tanga Mzee MS. Wenzake wapo dynamic wanasaka hela, yeye yupo static na hoja zake za udini.
Kuliko ulivyokupofusha wewe uliyeyavaa matusi huku ukijibadilisha id
 
Mzee said@sema yy hana mentality ya kibiashara alitakiwq sahv awe zaidi ya baresa
Maana sykes michongo mingi walikuwa wanaijua

Ova
Mzee said@sema yy hana mentality ya kibiashara alitakiwq sahv awe zaidi ya baresa
Maana sykes michongo mingi walikuwa wanaijua

Ova

Wenye mentality ya kibiashara ni nyinyi wachungaji majangiri

 
Hahaaaa !!!!dawa imepenya hyo,jibu swal wale wanopiga kelele na kukata viuno stend wakidai wanamwimbia bwana na mwisho wakidai sadaka kwa ajil ya bwana.

Ww ni miongoni mwa mazumbukuku,punguani waheed
 
Hata majiz makubwa nchi hii yanatoka kwao
Bila kusahau yale majiz ya ESCROW ambayo mengne yalitokea huko huko kwao mpaka mababa yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…