Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mimi ni mkristo mtulivuKupatanisha wanaotofautiana kimaelewano ni sehemu ya matendo mema, mbona ss umejikalia tu kimya badala ya kutetea huu mgogoro wa kidini[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mkristo mtulivuKupatanisha wanaotofautiana kimaelewano ni sehemu ya matendo mema, mbona ss umejikalia tu kimya badala ya kutetea huu mgogoro wa kidini[emoji848]
Dada faiza, hapo kwa kuanzia huyo mzee mohamed said kasema waislamu walijipanga kuanzisha shule za awali, za sekondari pamoja na vyuo vikuu ila nyerere ndio aliwabania! Swali langu, kwa nini msianzishe sasa hayo mashule na vyuo vikuu????maana sasa ivi ndio rahisi sana kwa kuwa watu wana uelewa miundombinu ipo ya kutosha?
Wewe ni Slow learner...right?Uliza suali lako nijibu
Nafkir umeishiwaWewe ni Slow learner...right?
Kwanini unanipa jukumu la kuuliza swali tena ilihali nimekuuliza maswali ndani ya Uzi huu huu na Uzi haujafutwa.
Rejea maswali niliyokuuliza kisha unijibu kinagaubaga.
Huo ndio mjadala.
Nimeishiwa nini?Nafkir umeishiwa
Ukisoma kichwa kichwa hapa unaweza ukaamini Bibi Titi alifungwa tu bila kosa ila dini yake. Hivi kwanini huwa mnapenda kupandikiza chuki kwenye jamii? Utapata faida gani mkuu watu wakichukiana?!Nyerere alibebwa na Waislam kufika alipofika kisha akawageuka Bibi Titi Mohammed alimfunga kifungo cha maisha kwa kupingana nae baada kumuona ameageuka.
Jina la Bibi Titi likaondoshwa katika historia ya wanaharakati walio dai UHURU wa Tangannyika.
Mwinyi kwa kuujua ukweli ndio aliekuja kumwachia huru na angalau akapewa jina la Mtaa mmoja kama kumbukumbu ya juhudi yake.
Takadiri (ambae mchonga akampachika jina la MTAKADINI)
Vilevile ni mfano mwengine wa wahanga hawa wapo wengi.
Teh ...
wewe ni mjinga na mpumbavu ...
Badilika ...
nyabhingi kwa nini mama yako angekutupa chooni ungali mchanga kama angefuatisha quran na hadithi?Mama angu mzazi ni muislam,mzawa wa kariakoo mtaa wa jangwani...ni muislamu moderate,najua angefatisha quran na hadith kwa 100% angenitupa chooni ningali mchanga sababu ni dini tofauti..narudia uislamu wenyewe na sio wenu huu wa kuigiza unataka watu wote wawe waislamu la sivyo wauawe...
Hii haimaanishi ukristo ni mzuri,ukristo uliua watu wengi kuwalazimisha kuufata pengine kuliko uislamu
Kwa ufupi uislamu na ukristo ni upuuzi wa waarabu na wazungu usiomithirika,mjinga tu asiyeona hadithi za kijinga zilizoandikwa mle na walevi
Siyo kweli!Mwisilamu hata akisoma vipi haelimiki
Ayayayayaya nimejikuta napata midadi (Misismko) ya ajabu sana kwa kujua historia hii tukufu nikatamani kushuka maandiko matakatifu ya Kristo Yesu kwenye Mathayo 7:21-23 dhidi ya waongo.Mkuu Dada yangu, nikuzimiaye, Faiza Foxy, kwanza asante kutuletea hii clip ya Redio Kheri, yenye maurongo wa Mzee wetu na member mwenzetu Maalim Mohamned Said, maana bila wewe kuileta humu, akina sisi, tusingejua jinsi mnavyodanganyana humo na kufanya uchochezi kwenye hizo redio zenu za dini!.
Kwa kuanzia tuu, kuanzia headline ya bandiko hili ni urongo, Tanu hakijawahi kuwa ni chama cha Kiislamu, kuanzia kuasisiwa kwake, hakuna Muislamu yoyote aliwahi kuasisi chama chochote cha kupigania uhuru wa Tanganyika, Tanu ilitokana na TAA, ambayo ilitokana na AA. Muasisi wa AA ni Mkristo Cecil Kalaghe, muasisi wa TAA ni Mkristo Dr. Kyaruzi, na muasisi wa Tanu ni Mkristo Mwl. Julius Kambarage Nyerere, tangu AA, TAA hadi TANU, hakuna wakati wowote vyama hivi viliwahi kuwa vya dini fulani, ila kitu ambacho ni kweli, Tanu ilimuwa na members wengi Waislamu kuliko Wakristu, ila nguvu ya chama chochote ni logistical support, mfadhili mkuu wa Tanu ni Mkristo tajiri Mzee John Rupia, na sio wale masikini wa Gerezani japo pia tusiudharau mchango wao wa senti 5 ya samaki, senti 10,senti 20 ya mbuni, thumuni ya sungura, na shilingi ya mwenge, enzi hizo, noti ni ya shilingi 5, 10,20, 50 na noti kubwa ilikuwa Sh.100 ya masai.
Nimeisikiliza yote nikakuta ...Du...!, mnapigwa kamba kweli kweli na Mzee wetu huyu...
huu ni muendelezo wa ule ule urongo wa siku zote wa uchochezi wa udini, kusingizia kitu cha urongo marehemu kina karma kali sana!.
Japo namheshimu sana Maalim Mohammed Said, kitu pekee mimi ninachotofautiana nae ni matumizi ya takwimu za urongo ili kupush forward agenda zake ovu za uchochezi wa udini.
Kwenye mahojiano hayo, ameongopa kuwa 76% ya wabunge wa Bunge la JMT, ni Wakatoliki,18% madhehebu mengine ya Kikristu yaliyobakia, halafu Waislamu ni just 6%!. Huu ni urongo wa kiwango cha lami mchana kweupe. Mtu huhitaji kufanya sensa ya Wabunge Waislamu kujua huu ni urongo, bila hata sensa, Wabunge wote kutoka Zanzibar ni Waislamu ambao kabla hujawajumlisha wabunge Waislamu wa bara, hao Wanzibar tuu wenyewe wanafanya theluthi moja ya Wabunge wote!. Huu ni urongo!.
Hata kwa kutumia tuu just ordinary common sense, inakuja kweli akilini, 76% ya wabunge wakawa ni Wakatoliki?!,this doesnt make sense to me, this is non sense, just bull shit!.
(ashakum for this)
Ukiwa na asilimia 99% ya ukweli, na just 1% ya urongo, huo urongo una nullify ukweli wote wa hoja zake kuzifanya null and void ab initio.
P.
Wa kiislamu,wa kikristo ni hadithi nyinginenyabhingi kwa nini mama yako angekutupa chooni ungali mchanga kama angefuatisha quran na hadithi?
Najua Quran wala hadithi haziamuru watoto wauliwe hata kama mtoto wa nje ya ndoa haruhusiwi kuuwawa.
Mwinyi mwaka 1972 alikuwa na mamlaka gani ya kumtoa jela bibi Titi , mwaka aliotolewa jela?Mwinyi kwa kuujua ukweli ndio aliekuja kumwachia huru na angalau akapewa jina la Mtaa mmoja kama kumbukumbu ya juhudi yake.
Kabla ya uislam kuja mlikuwa na dini gani. Hiyo ndio ilifaa muitete . Hiyo ndio dini ya wafrika. Hakuna asiejua kwamba uislam nao uliletwa"A people without the knowledge of their past history, origin and culture is like a tree without roots." - Marcus Garvey
Mimi naifahamu kwa kiasi FulaniMimi hata sio Mkristu ndugu
Na kama unasema eti makundi mengine yanaishi kwa amani na Waislam pengine hujui kinachoendelea kwenye hii Dunia
Unaifahamu Historia ya India na Pakistan, Wahindu vs Waislam? Au Wabuddha vs Waislam?
A suggestion to think about!Mi nadhani kwa Elimu yake uliyotujuza kuwa nayo, analakufanya kuwasaidia waislam badala ya historia isiyo tija. Ikiwa ni kweli so what?
What happened ?
Au mwahitaji mrusishiwe Tanu (ccm) yenu? Ichukueni maana imetusababishia umasikini usio stahimilika , no vision no plans wao wanawaza kushinda uchaguzi na kugawana vyeo. Hakuna mikakati ya sayansi na teknolijia wala uchumi.
Take it
Mwinyi mwaka 1972 alikuwa na mamlaka gani ya kumtoa jela bibi Titi , mwaka aliotolewa jela?