Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Status
Not open for further replies.
WEWE NA FAMILIA NZIA HAMUELEWEKI PMJ NA YESU WAKO MUIGIZAJI FILAMU WA KIENGEREZA ULOWEKA PICHA YAKE KANISANI
NGURUWE PORI WW NA FAMILIA YAKO
NZIA ndio nini Sheikh? Hahaha..

Hujasoma nini...na kuna sababu ipi kuandika miherufi mikubwakubwa

Ufuasi wa Bwn Mudy wa Mecca asiyejua kusoma na kuandika umekusababisha umrithi kutojua kusoma na kuandika.

Slow down twende taaratibu yakhee...!
 
Mimi sio shekh mm wala huo ushekhe cjiui ulivyokaa usifikiri upo na Sheikh hapa mm ni NUNDA TUU FLANI HIVI
LKN NYINYI MUWE KM MIA HIVI NAWEKA SAWA
Sikuelewi sasa Sheikh

KWENE ndio nini?
 
WEWE NA FAMILIA NZIA HAMUELEWEKI PMJ NA YESU WAKO MUIGIZAJI FILAMU WA KIENGEREZA ULOWEKA PICHA YAKE KANISANI
NGURUWE PORI WW NA FAMILIA YAKO
Slow down yakhee

Si umekunywa chai asubuhi...au upo kwny mfungo 6?
 
Mimi sio shekh mm wala huo ushekhe cjiui ulivyokaa usifikiri upo na Sheikh hapa mm ni NUNDA TUU FLANI HIVI
LKN NYINYI MUWE KM MIA HIVI NAWEKA SAWA
Hebu tupe tafsiri ya neno NUNDA

Kisha tuendelee na mjadala yakhee..!

Mbona wafuasi wa Mudy wengine wachache hawapo hivyo?
 
NZIA ndio nini Sheikh? Hahaha..

Hujasoma nini...na kuna sababu ipi kuandika miherufi mikubwakubwa

Ufuasi wa Bwn Mudy wa Mecca asiyejua kusoma na kuandika umekusababisha umrithi kutojua kusoma na kuandika.

Slow down twende taaratibu yakhee...!
Kumbe ushazoe kujadiliana na hao unaowaita Masheikh mm SI mmoja wao nakutuliza unavyokuja
HUU MZUKA MWENGINE UTATULIA MWENYE MSHENZI WEE MIMI SI HAO UNAOWAPA FTARI HUNIBABAISHI KWA CHOCHOTE

UKITAKA HOJA UTAPATA
UKITAKA MATUSI POA
UKITAKA HOJA ZA KIDINI NJOO
 
Pole sana. Naona hujawahi kuishi na Waislam.
Mama angu mzazi ni muislam,mzawa wa kariakoo mtaa wa jangwani...ni muislamu moderate,najua angefatisha quran na hadith kwa 100% angenitupa chooni ningali mchanga sababu ni dini tofauti..narudia uislamu wenyewe na sio wenu huu wa kuigiza unataka watu wote wawe waislamu la sivyo wauawe...
Hii haimaanishi ukristo ni mzuri,ukristo uliua watu wengi kuwalazimisha kuufata pengine kuliko uislamu
Kwa ufupi uislamu na ukristo ni upuuzi wa waarabu na wazungu usiomithirika,mjinga tu asiyeona hadithi za kijinga zilizoandikwa mle na walevi
 
Mimi YAKHEEE??? Hhhhhhh
Karibu sana!
Asante sana NUNDA.

Nijibu bas maswali yangu

Lakini nipe kwanza maana ya neno NUNDA kisha tuendelee na mjadala jamvini.
 
tuache ujinga sasa ,sisi sote ni ndugu hakuna dini,kabila wala tabaka bora ktk jamii yetu ,tupambane Na uchumi tulionao
Kuongelea Historia vipi itakua UJINGA? iongelewe tuu ukweli ujulikane
 
Nmejaribu kuisikiliza hii video ni uchochezi mtupu. Kaongelea suala la wabunge eti wabunge wakristo ni wengi zaidi alisahau kuangalia idadi ya watu na hajagusia kwamba mikoa mingi ya Tanzania inakaliwa na wakristo. Tukubali tukatae wakristo ni wengi zaidi kwa Tanzania kuliko waislam. Waislam wanapatikana kwa wingi ukanda wa pwani , pia kiasi kiasi kidogo Kanda ya Kati na ki kigoma na Zanzibar Ila mikoa iliyobaki ina 95% ya wakristo. Yaani unategemea upate mbunge muislam Njombe kweli, Iringa, Mbeya , Kilimanjaro, Arusha , Mwanza, n.k. ni kitu kisichowezekana hata kidogo. Kubalini hizo nafasi chache mzazopata kutokana na idadi ya waislam mliopo. Sawa kwa Sawa itakuwa ngumu

Kwanza napenda ifahamike kuwa dhumuni la kuipandisha clip hii hapa ni kumpinga huyo anaejiita "Sungura Media" aliyeipandisha clip hii youtube na kuandika kuwa eti ni "video ya siri". Haya mafundisho ya historia ya Alama Mohamed Said siyo siri, yapo mtandaoni, yapo kwenye tovuti yake na yameshajadiliwa sana hapa JF.

Mfahamu Alama Mohamed Said:

Sheikh Mohamed Said Abdallah alizaliwa mnamo tarehe 25 Februarikatika mwaka wa 1952 huko Gerezani jijini Dar es Salaam - ambapo ndiko kulikokuwa na asili ya upinzani dhidi ya ukoloni wa Waingereza katika Tanganyika. Babu yake, Mzee Salum Abdallah Popo alikuwa muasisi wa harakati za vyama vya wafanyakazi na alikuwa mmoja kati ya watu wa awali kabisa kuanzisha upinzani na kuunga mkono hoja ya kupinga utawala wa kikoloni. Mwaka wa 1947, Mzee Popo aliongoza mgomo wa kwanza nchini Tanganyika katika majimbo ya kati nchi uliopangwa na wafanyakazi wa Tanganyika Railways. Tanganyika ilipopata uhuru wake mwaka 1961, Mzee Popo aliachana na mkono wa Nyerere kama jinsi wengi walivyofanya na alitiwa kizuizini na serikali kwa ajili ya msimamo wake wa kuwa vyama vya wafanyakazi sharti viwe huru. Akiwa mwenyekiti wa Tanganyika Railways African Union (TRAU) alipinga vyama vya wafanyakazi kuwekwa chini ya Tanganyika African National Union (TANU) chini ya Rais Julius Nyerere. Sheikh Mohamed Said ana shahada katika masuala ya Sayansi ya Siasa kutoka katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Vilevile ana Stashahada katika masuala ya Maritime Studies kutoka katika Chuo Kikuu cha Wales huko mjini [[Cardiff, Uingereza na nyingine ya BIMA kutoka katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha cha Dar es Salaam (IFM).

Utafiti juu ya historia ya uhuru wa TangayikaEdit

Mohamed Said amefanya utafiti mwingi sana juu ya historia ya uhuru wa Tanganyika, historia ambayo kabla ya utafiti wake ilichukuliwa kama iliyohitimishwa na ameweza kufukua mambo muhimu ambayo yalifichwa katika historia iliyokuwa ikitambulikana rasmi. Alianza kufahamika zaidi katika miaka ya themanini kupitia makala zake za kusisimua zilizokuwa zinahangaisha fikra za wasomaji kwa kufichua yale yaliyofichwam zilizoelezea mchango muhimu wa Waislamu na Uislamu katika harakati za kupinga ukoloni katika Tanganyika na khiyana waliofanyiwa Waislamu na serikali zote mbili, yaani, kabla ya uhuru na baada ya uhuru - jambo ambalo kwa wakati ule lilikuwa mwiko kufanyiwa utafiti au kuandikwa. Makala hizo zilipata kuchapishwa katika magazeti na majarida maarufu barani Afrika na katika magazeti ndani na nje ya Tanzania. Baadhi tu ya makala zake za utafiti ni pamoja na "In Praise of Ancestors" (1988), "Africa Events (London), "Abdulwahid Sykes: Founder of a Political Movement" Africa Events - London (1988), "Islam and Politics in Tanzania" (1989), Al Haq Internation (Karachi), "The Plight of Tanzania Muslim" (1993) Change (Dar es Salaam) na "The Secular Unsecular State" (1995) Change (Dar es Salaam).

Tazama piaEdit

Viungo vya Nje

Chanzo: https://sw.m.wikipedia.org/wiki/Mohamed_Said

cc: Mohamed Said
 
Kumbe ushazoe kujadiliana na hao unaowaita Masheikh mm SI mmoja wao nakutuliza unavyokuja
HUU MZUKA MWENGINE UTATULIA MWENYE MSHENZI WEE MIMI SI HAO UNAOWAPA FTARI HUNIBABAISHI KWA CHOCHOTE

UKITAKA HOJA UTAPATA
UKITAKA MATUSI POA
UKITAKA HOJA ZA KIDINI NJOO
Hahaha...

Punguza jazba na Matusi NUNDA.

Umepanic,

Twende taratibu, usije ukamuudhi Bwn. Mudy wa Mecca huko aliko.

Kwanza Tumswalie Mtume (S.A.W)
 
Nmejaribu kuisikiliza hii video ni uchochezi mtupu. Kaongelea suala la wabunge eti wabunge wakristo ni wengi zaidi alisahau kuangalia idadi ya watu na hajagusia kwamba mikoa mingi ya Tanzania inakaliwa na wakristo. Tukubali tukatae wakristo ni wengi zaidi kwa Tanzania kuliko waislam. Waislam wanapatikana kwa wingi ukanda wa pwani , pia kiasi kiasi kidogo Kanda ya Kati na ki kigoma na Zanzibar Ila mikoa iliyobaki ina 95% ya wakristo. Yaani unategemea upate mbunge muislam Njombe kweli, Iringa, Mbeya , Kilimanjaro, Arusha , Mwanza, n.k. ni kitu kisichowezekana hata kidogo. Kubalini hizo nafasi chache mzazopata kutokana na idadi ya waislam mliopo. Sawa kwa Sawa itakuwa ngumu
SUALA LA IPI IDADI KUBWA TUIACHE VYENGINEVYO LILETENI KTK SENSA MBN MLIKATAA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom