Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Status
Not open for further replies.

Huyo Said ni mjinga mkubwa pamoja na kuwa amesoma ila hajaelimika, sasa umri umekwenda anasubiri mungu achukue uhai afanye jambo litakaloacha alama yake baada ya kifo aache Udini na ubinafsi.
 
Uliza suali lako nijibu
Wewe ni Slow learner...right?

Kwanini unanipa jukumu la kuuliza swali tena ilihali nimekuuliza maswali ndani ya Uzi huu huu na Uzi haujafutwa.

Rejea maswali niliyokuuliza kisha unijibu kinagaubaga.

Huo ndio mjadala.
 
Wewe ni Slow learner...right?

Kwanini unanipa jukumu la kuuliza swali tena ilihali nimekuuliza maswali ndani ya Uzi huu huu na Uzi haujafutwa.

Rejea maswali niliyokuuliza kisha unijibu kinagaubaga.

Huo ndio mjadala.
Nafkir umeishiwa
 
Ukisoma kichwa kichwa hapa unaweza ukaamini Bibi Titi alifungwa tu bila kosa ila dini yake. Hivi kwanini huwa mnapenda kupandikiza chuki kwenye jamii? Utapata faida gani mkuu watu wakichukiana?!
 
Teh ...

wewe ni mjinga na mpumbavu ...

Badilika ...

Nafurahi kutaarifu kuwa mimi SIO mjinga na wala SI mpumbavu kama ulivyoandika hapa - unless ulikuwa unamu-address mtu mwingine.
All the same; Ingependeza (kwa manufaa ya wengi) ukauainisha huo "ujinga na upumbavu" ulio uona wewe.
 
nyabhingi kwa nini mama yako angekutupa chooni ungali mchanga kama angefuatisha quran na hadithi?
Najua Quran wala hadithi haziamuru watoto wauliwe hata kama mtoto wa nje ya ndoa haruhusiwi kuuwawa.
 
Ayayayayaya nimejikuta napata midadi (Misismko) ya ajabu sana kwa kujua historia hii tukufu nikatamani kushuka maandiko matakatifu ya Kristo Yesu kwenye Mathayo 7:21-23 dhidi ya waongo.
Huyu Bi Faiza anamatamanio makubwa sana kwa siku za usoni kuona Taifa letu linakuwa lakidini au watu wote waTanzania tunakuwa waislamu kitu ambacho hakiwezi kutokea daima.
Kwa sisi wakristo tuna amini wokovu ni akili njema. Nahisi nina wito wa kuwa muinjilisti 😂😂
 
Kati ya mambo ya kipuuzi tunayoshabikia ni hili la kusema chama fulani au dini fulani ilileta Uhuru. Uhuru tulipewa tu na Waingereza baada ya kuona kuendelea kushikilia Makoloni ni gharama kwao baada ya vita.

Jambo jingine la kipuuzi ni kutambuana kwa Dini zetu, Makabila yetu, Vyama vyetu badala ya Utanzania wetu. Mwalimu Nyerere alijitahidi kwa uwezo wake kutuunganisha pamoja, lakini sasa umoja wa taifa letu unamomonyoka, Tujisahihishe!
 
nyabhingi kwa nini mama yako angekutupa chooni ungali mchanga kama angefuatisha quran na hadithi?
Najua Quran wala hadithi haziamuru watoto wauliwe hata kama mtoto wa nje ya ndoa haruhusiwi kuuwawa.
Wa kiislamu,wa kikristo ni hadithi nyingine
Mimi kwa sasa sio mkristo wala muislamu lakini ukiniuliza nina amani upuuzi gani ukitawala dunia kati ya uislamu na ukristo nitakwambia bora upuuzi wa kikristo sababu at least siku hizi wameacha kuua watu kwa kuwalazimisha kuufata,wanawatia uzombi wa akili kwa kuwaaminisha kuna mungu mtu anaitwa yesu siku moja atashuka mawinguni na jeshi la viumbe vinavyoitwa malaika kuwahukumu...garbage
 
Hivi huyu Bw Said anafanya utafiti gani wa kutufanya Watanzania wote tumuamini?, maana kuna dhana imejengeka kana kwamba harakati za kupinga ukoloni zilifanyika tu Dar es Salaam...kwamba ma great thinker wote wa nchi hii waliishi Dar?

Na tukumbuke pia hata Mwalimu akiwa Makerere alikuwa na mpango wa kuanzisha chama cha kupigania uhuru, lakini alishauriwa/ambiwa kuhusu yanayoendelea Dar, chama cha TAA na hivyo alisitisha mpango wake na kufungua tawi la TAA.

Mwalimu alimtaja Mzee Mwangosi kama mmoja wa waliomshauri na kumtaka aje Dar kuungana nao, na sidhani kama Watu kama hawa kina Mwangosi wanatajwa kwenye hizi historia feki za Bw Said, maana yeye kang'ang'ana na Waisilamu tu.

Ni kweli kwa location ya Dar si ajabu kukuta wengi wao ni waumini wa dini ya kiislamu, lakini hao hao waliona umuhimu wa Mwalimu, hata kama sio wote ila wengi wao waliona hivyo...yeye Bw Said hakuwepo, maana labda angechagua upande wa kupinga.

Mwalimu ndio alikuja na 'road map'.....sanasana Wazee wa Bw Said walikazana kumshirikisha 'dua' zao ngumu ambazo Mwalimu alilazimika kushiriki ili tu waende sawa.
 
Sawa,nini kifanyike sasa ili tuirudishe TANU kwa waislamu?
 
Mwinyi kwa kuujua ukweli ndio aliekuja kumwachia huru na angalau akapewa jina la Mtaa mmoja kama kumbukumbu ya juhudi yake.
Mwinyi mwaka 1972 alikuwa na mamlaka gani ya kumtoa jela bibi Titi , mwaka aliotolewa jela?
 
"A people without the knowledge of their past history, origin and culture is like a tree without roots." - Marcus Garvey
Kabla ya uislam kuja mlikuwa na dini gani. Hiyo ndio ilifaa muitete . Hiyo ndio dini ya wafrika. Hakuna asiejua kwamba uislam nao uliletwa
 
Mimi hata sio Mkristu ndugu
Na kama unasema eti makundi mengine yanaishi kwa amani na Waislam pengine hujui kinachoendelea kwenye hii Dunia

Unaifahamu Historia ya India na Pakistan, Wahindu vs Waislam? Au Wabuddha vs Waislam?
Mimi naifahamu kwa kiasi Fulani
 
A suggestion to think about!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…