Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Status
Not open for further replies.

Kaka Paskali; umeandika vema. Ila ujue kwa imani ya huyo mzee "urongo" si dhambi na adui zao wakuu ni wawili: Wakristo na Wayahudi (tatizo ni kuwa kwake Ukristo unawakilishwa na Ukatoliki). Na hiyo chuki ilianzishwa na muanzilishi wa hiyo imani yao.
 
Kabla ya uislam kuja mlikuwa na dini gani. Hiyo ndio ilifaa muitete . Hiyo ndio dini ya wafrika. Hakuna asiejua kwamba uislam nao uliletwa
Anzisha mada.

Hapa hatutaki kujuwa, soma mada. Hiyo ni historia ya uhuru wetu, unayo mbadala au huna?
 
Mkuu jitahidi kuinua kiswahili na kiingereza chako, nadhani hoja yako itaeleweka vizuri zaidi.
 
Nyerere hakuanzisha chama. Nyerere alikaribishwa na Wazee wa Dar. Akina Sykes. Chama aanzishe Nyerere jina la chama atowe Abdul Wahid Sykes na Ally Sykes?
 
Sawa lakini huo ni uamuzi wako ambavyo uhuru wako wa kujichagulia ulivyokupeleka huko, itakuwa si vizuri kuwaita waislamu au wakristo wapuuzi kwa kuwa tu wewe huamini wanachokiamini. Kwani sisi kama wanadamu tunahitajiana baadhi yetu, tofauti zetu za imani zisilete kutukanana, wewe si unaona humu JF watu wanaweza kutofautiana kwenye mada moja na wakakubaliana mwenye mada nyingine, na binadamu hujafa hujaumbika huu ni msemo mzuri sana. Tuweke hoja fikirishi na si kashfa na matusi.
 
Ninachojua mimi AMNUT ndio kilichokua chama cha kiislam na kwa mujibu wa chama hicho kilitaka uhuru ucheleweshwe eti mpaka waislam wote wapate elimu. Ila inawezekana ndani ya Tanu kulikua na baadhi ya waislam pamoja na wafwas wa dini zingine kwa hio hilo haliwezi kufanya Tanu kua chama cha kislam.
 
Ni Biblia gani hiyo ya wapi inatumika katika dini gani au dhehebi gani iliyoutaja uislamu kwenye maandiko yake?
Kumbuka uislamu upo mwaka 1440 sasa ukristo una miaka zaidi ya 2000.
Katika Ukristo sisi ni watu wa uzima hatuneni mauti tena wala dhambi Kristo Yesu alishayashinda hayo na sisi watu wa mataifa tumekombolewa kupitia damu yake.
Huwezi kumsikia Mkristo anaongea au anawaza kuchinjwa, kupigwa mawe, ama kufa siku atakayorudi Messiah ama sasa! kwa sababu hatuna Torati tena tuna habari njema Kristo katuweka huru.
Ukristo hauna maandiko popote yakumlazimisha mtu kuwa Mkristo kwa vitisho Mungu huwa anajipambanua kwa namna yake Kama alivyofanya kwa mzee wetu Remy Ongala.
 
Nyerere hakuanzisha chama. Nyerere alikaribishwa na Wazee wa Dar. Akina Sykes. Chama aanzishe Nyerere jina la chama atowe Abdul Wahid Sykes na Ally Sykes?
Faiza unamatatizo fulani na Wakristo? Founder wa TANU ni Julius Kambarage Nyerere huwezi kupinga hilo kokote
 
Neno ipuuzi sio tusi,ni sifa ya kitu kulingana na ushahidi uliopo
Baada ya kusoma biblia na quran kwa kina nimefikia muafaka kuwa ni imani za kipuuzi,..sijui kuhusu wewe
 
Torati haipo tena katika Ukristo ni mfu.
 
Baada ya kumaliza kuandika pumba zako we sigara nyota nenda bafuni kaoshe vipuyuyu mumeo anarudi kaa mkao akugonge "0713"
 
Falla, Ni folly
 
Neno ipuuzi sio tusi,ni sifa ya kitu kulingana na ushahidi uliopo
Baada ya kusoma biblia na quran kwa kina nimefikia muafaka kuwa ni imani za kipuuzi,..sijui kuhusu wewe
Naomba unipe huo ushahidi wa upuuzi ndani ya Quran baada ya wewe kuisoma kwa kina, ili niufahamu na kuutafakari.
 
Unabii hautafsriki hivyo Mkuu. Basi unabii mwingine unasema nchi zote zinazotegemea mafuta zitakuwa mufilisi muda siom mrefu sana. ZITAKUWA CHOKA MBAYA. Kwa mabadiliko ya teknolojia na magari ya umeme na nishati mbadala we unaonaje ? SIO NDIO MWELEKEO, hata Saudi Arabia ameanza kuwekeza kwenye bishara tofauti. Hiyo nguvu wakati wako mufilisi choka mbaya itatoka wapi au kwa Ibilisibin Shetuani bin lucifer
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…