Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Status
Not open for further replies.
tumbo bro, yaani kutetea tumbo na kuhakikisha shibe inaendelea unaweza lopoka lolote mbona mifano mingi tu,
 
Lakini sasa nchi ni ya wakristo.
 
Wacha ubishi Historia ya Tanganyika imechakachuliwa mfano mzur ni huo mfano wa BIBI TITI MOHAMED ambae alikua Mwanamke wa mwanzo kuwa Mwenyekit ya Jumuia ya wanawake wa TANU
Unaweza kutueleza kosa alilolifanya mpk kuhukumiwa kifungo cha Maisha na Nyerere??

Tuanzie hapo kwanza
 
Wakati Nyerere anafanya hayo...waislam walikuwa wapi?
Kukujibu nitoke katika mada kidogo nijibu suali lifuatalo

Wakati Demokrasia inabanwa katiba inavunjwa magazetu yanafungwa midomo wapinazan kufunguliwa kesi ktk awamu hii
Wapinzani walikuwa wapi??
 
wewe umri wako ulikuwepo wakati anakamatwa tukio hilo wengi wapo hai na kumbukumbu kibao endeleeni kudanganyana
 
Kukujibu nitoke katika mada kidogo nijibu suali lifuatalo

Wakati Demokrasia inabanwa katiba inavunjwa magazetu yanafungwa midomo wapinazan kufunguliwa kesi ktk awamu hii
Wapinzani walikuwa wapi??
Hujajibu swali uliloulizwa,

Badala yake unauliza swali ambalo sijalihitaji.

Jibu swali uliloulizwa kisha tusonge mbele sheikh.

Waislam walikuwa wapi?
 
Asilimia kubwa ya waislamu wa hivyo ni walioshika dini.. utofauti wa mwislamu wa aina hiyo ni sifuri ukilinganisha na Mpumbavu!
 
Kama Mfungo wa Ramadhani ungekuwa ni mwaka mzima .... kuna uongo mwingine tusingekuwa tunausikia!!
Hahaha, Walikuwa wanasubiri mfungo uishe waanze Uzushi wao.

Hata Kitimoto italika sana wallah.
 
Mkuu Dega, mijadala humu inaendeshwa kwa hoja, mleta mada kaleta hoja ya uongo, na kuleta mahojiano yenye uongo mwingi na ukweli kidogo, tukaonyesha urongo ulipo.

Sasa wewe katika hili la Bibi Titi, hoja yako ni ipi haswa?.
P
 

Well said
 

What is the solution sasa?

Mi naona labda tufanye kitu kimoja...Tupige chini dini zote kabisa?

Au wewe unasemaje?

Au ulitafsiri vibaya kwamba huenda the founding fathers in the list happened kwamba walikua na islamic names na sio kwamba dini ndio imepelekea founding of the nation?

Huenda maana sidhani tunaweza unganisha directly uislamu kama religious denomination makusudically kupitia its decisions kama religious block ili intervene katika founding ya hii nchi...Maana ushahidi ninao uona hapo ni ushahidi unaonesha wale members happened kua walikua na dini yao kua ilikua uislamu which huezi dhibitisha directly kwamba uislamu kama taasisi ili-effect ki-decision kupata hii nchi.

Labda wewe unadhani solution iweje ili kila mtu aridhike hapa?
 
Uislamu ni janga la ulimwengu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…